SHEEBAH KARUNGI AWAPA SOMO MASHABIKI ZAKE

SHEEBAH KARUNGI AWAPA SOMO MASHABIKI ZAKE

Nyota wa muziki nchini Uganda Sheebah Karungi amewaonya mashabiki zake dhidi ya kuendeshwa na shinikizo za jamii inayowazunguka. Kupitia mitandao yake kijamii Sheebah amewataka mashabiki zake kufanya vitu ambavyo vitawapa furaha na amani kwa ajili ya kuleta matokeo chanya kwenye jamii badala ya kuwa watumwa wakufuata mkumbo ambao jamii inataka. Hitmaker huyo wa  “Yamba Mukama” ameenda […]

Read More
 RAPPER KENDRICK LAMAR KUKATA KIU YA MASHABIKI ZAKE KWA WIMBO MPYA

RAPPER KENDRICK LAMAR KUKATA KIU YA MASHABIKI ZAKE KWA WIMBO MPYA

Rapa kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar ataikata kiu yako ya muziki muda wowote kuanzia sasa. Jarida la BILLBOARD limeripoti kuna uwezekano mkubwa wa Rapa Kendrick lamar kuachia wimbo mpya kati ya Februali 2 au 11 Kabla hajapanda jukwaani katika tamasha la Super Bowl Halftime Show. Tamasha hilo litawakutanisha maRapa kama Dr. Dre, Eminem, Snoop Dog, na linatarajiwa […]

Read More
 ALBUM YA GUARDIAN ANGEL “VICTORY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY

ALBUM YA GUARDIAN ANGEL “VICTORY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Guardian Angel anazidi kufanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni na Album yake ” Victory ” ambayo tayari ina takriban miezi miwili tangu itoke rasmi. Goods ni kwamba Album ya “Victory”  imefanikiwa kufikisha jumla ya Streams millioni moja kwenye mtandao wa kusikiliza na kupakua muziki wa Boomplay Kenya. Album ya […]

Read More
 RAYVANNY ATANGAZA TAREHE RASMI YA KUACHIA FLOWERS II EP

RAYVANNY ATANGAZA TAREHE RASMI YA KUACHIA FLOWERS II EP

CEO wa Next Level Music na Member wa WcB msanii Rayvanny ameachia Track list ya , EP  yake iitwayo Flowers II’. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rayvanny ameshare artwork ya EP hiyo yenye Jumla ya Nyimbo 9 za moto ambapo amesema itaingia rasmi Sokoni Februari 10, mwaka wa 2022. Kwenye Followers II EP Rayvanny amewashirikisha […]

Read More
 NI RASMI SASA RIHANNA ANA UJA UZITO WA MPENZI WAKE ASAP ROCKY

NI RASMI SASA RIHANNA ANA UJA UZITO WA MPENZI WAKE ASAP ROCKY

Ni Rasmi sasa mwanamuziki kutoka nchini marekani Rihanna ni mjamzito. Mwimbaji huyo ambaye pia ni mwanamitindo anatarajia mtoto wake wa kwanza na rapa Asap Rocky. Tovuti mbali mbali za nchini Marekani zimeripoti taarifa hii kufuatia picha ambazo zimewaonesha wawili hao wakiwa matembezini mjini New York wikendi iliyopita. Mwaka 2019 ziliibuka taarifa kama hizi lakini alizikanusha […]

Read More
 GRENADE AFUNGUKA SABABU ZA WAREMBO WA UGANDA KUMGANDA KAMA GUNDI

GRENADE AFUNGUKA SABABU ZA WAREMBO WA UGANDA KUMGANDA KAMA GUNDI

Msanii kutoka nchini Uganda Grenade amefunguka siri ambayo imewafanya wanawake wengi nchini humo kumpenda bila sababu za msingi. Kwenye mahojiano na Galaxy FM Grenade amejitapa kuwa ana ujuzi wa kipekee linapokuja swala la kutumia ulimi wake kuwashawishi wanawake ambapo ameenda mbali zaidi na kujinasibu kuwa swala hilo limewafanya wanawake wengi nchini uganda kumzimia kimapenzi. Grenade […]

Read More
 DRAKE ALIPITA NA MREMBO JULIA FOX KABLA YA KANYE WEST

DRAKE ALIPITA NA MREMBO JULIA FOX KABLA YA KANYE WEST

Kumbe Rapa Kanye West kutoka nchini Marekani amepita sehemu ambayo rapa mwenzake Drake alipita kitambo. Taarifa mpya mjini zinadai kwamba Drake aliwahi kuwa na mahusiano na mrembo Julia Fox ambaye kwa sasa yupo penzini na Kanye West. Kwa mujibu wa tovuti ya Page Six, penzi lao lilianza mwaka 2020 kufuatia ukaribu ulioanza mwaka 2019 baada […]

Read More