HARMONIZE ATANGAZA UJIO WA TAMASHA LA “AFRO EAST CARNIVAL”
Mwanamuziki wa bongofleva Harmonize ameitangaza rasmi Machi 5, mwaka wa 2022 kuwa tarehe rasmi ambayo tamasha lake ‘Afro East Carnival’ litafanyika Jijini Dar Es Salaam. Kwa mujibu wake, tamasha hilo litawakutanisha kwenye steji moja nyota wakubwa kwenye kiwanda cha muziki Afrika Mashariki. Hii si mara ya kwanza kwa Harmonize kupanga kufanyika kwa tamasha kubwa la […]
Read More