DIANA B AIREJESHA CHANELI YAKE YA YOUTUBE BAADA YA KUFUTWA NA WADUKUZI

DIANA B AIREJESHA CHANELI YAKE YA YOUTUBE BAADA YA KUFUTWA NA WADUKUZI

Mwana mitandao aliyegeukia muziki Diana Marua amefanikiwa kurejesha akaunti ya Youtube ambayo ilikuwa imedukuliwa mapema wiki hii. Kupitia ukurasa wa instagram Diana Marua ameshindwa kuficha furaha yake kwa kuipongeza kampuni ya ngoma na uongozi wa Youtube kwa kumsaidia kuirejesha chaneli yake ya youtube yenye subscribers laki 5. Hata hivyo walimwengu kwenye mitandao ya kijamii wameonekana kutofautiana kimawazo […]

Read More
 KIM KARDASHIAN AKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA KANYE WEST KUHUSU UWEPO WA SEXTAPE YAKE NA RAY J

KIM KARDASHIAN AKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA KANYE WEST KUHUSU UWEPO WA SEXTAPE YAKE NA RAY J

Kanye West ameiambia Hollywood Unlocked kwamba alifanikiwa kuupata mkanda wa ngono kutoka kwa Ray J, ikiwa ni sehemu ya pili ya ule ambao ulivuja mwaka 2007 ukimuonesha Ray J na Kim Kardashian wakifanya mapenzi. Kwenye mahojiano ambayo ameyafanya na Hollywood Unlocked, YE amesema Kim alitokwa na machozi baada ya kufikishiwa mkanda huo. “Nilikwenda na kuchukua […]

Read More
 JAY Z KUMFUNGULIA MASHTAKA MPIGA PICHA WAKE KWA KUTUMIA PICHA ZAKE BILA IDHINI

JAY Z KUMFUNGULIA MASHTAKA MPIGA PICHA WAKE KWA KUTUMIA PICHA ZAKE BILA IDHINI

Rapa mkongwe kutoka Marekani Jay-Z ameamua kumfikisha mahakamani aliyekuwa mpiga picha wake kwa madai ya kutumia picha zake Kibiashara bila idhini yake. Baada ya kushindwa kufikia makubaliano nje ya mahakama, sasa shtaka hilo limetajwa kuwa litaanza kusikilizwa Julai 22 mwaka huu. Mwaka jana Jay-Z alifungua mashtaka akidai kwamba mpiga picha huyo aitwaye Jonathan Mannion ambaye […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AWACHANA WANAOPENDA KWENDA GYM, ADAI NI WAVIVU

JOSE CHAMELEONE AWACHANA WANAOPENDA KWENDA GYM, ADAI NI WAVIVU

Mwanamuziki Jose Chameleone amewatolea uvivu watu wanaopenda kufanya mazoezi akiwataja kuwa ni wavivu ambao hawana chochote cha kufanya maishani mwao. Akiwa kwenye moja ya Interview Chameleone anasema aliwahi kwenda gym lakini aligundua kuwa alikuwa anapoteza muda wake mwingi, na hivyo akaamua kuacha. Hitmaker huyo wa “Baliwa” amesema alihamua kuwekeza muda wake katika kufanya kazi, na […]

Read More
 EKO DYDDA ATANGAZA KUWANIA WADHFA WA UWAKILISHI WADI MATHARE KASKAZINI KWENYE UCHAGUZI MKUU 2022

EKO DYDDA ATANGAZA KUWANIA WADHFA WA UWAKILISHI WADI MATHARE KASKAZINI KWENYE UCHAGUZI MKUU 2022

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Eko Dydda ametia nia ya kugombea uwakilishi wadi ya Mathare Kaskazini kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Kupitia ukurasa wake wa instagram  hitmaker huyo wa “Niko na Reason” amesema kuwa amesukumwa kugombea kiti cha uwakilishi wadi wa eneo hilo kutokana na kero ambazo vijana wamekutana nazo kwenye suala la kusaka ajira. Aidha […]

Read More
 NYOTA NDOGO: NDOA SIO JELA, UKISHINDWA ONDOKA TU

NYOTA NDOGO: NDOA SIO JELA, UKISHINDWA ONDOKA TU

Msanii mkongwe kwenye tasnia ya muziki nchini Nyota Ndogo amefunguka kuhusu visa vya mauji ambavyo vimeongezeka miongoni mwa wana ndoa katika siku za hivi karibuni. Kupitia waraka mrefu aliouandika kupitia ukurasa wake wa Instagram Nyota Ndogo amesema kuwa ndoa siyo jela, na mtu akishindwa na masuala ya ndoa anapaswa kuondoka kwani ndoa za siku hizi siyo kama za zamani […]

Read More