DIANA MARUA APOTEZA AKAUNTI YA YOUTUBE KWA WADUKUZI

DIANA MARUA APOTEZA AKAUNTI YA YOUTUBE KWA WADUKUZI

Mwanamitandao aliyegeukia muziki  Diana Marua amepata pigo kubwa baada ya kupoteza chaneli yake  ya YouTube kwa wadukuzi. Diana Marua ametumia ukurasa wake wa Instagram, kutangaza taarifa  hiyo mbaya kwa mashabiki zake ambayo imemuacha akikadiria hasara. Akaunti hiyo yya youtube ambayo ilidukuliwa ilikuwa na zaidi ya subscribers laki 6 tangu ajiunge na mtandao huo Agosti 19 […]

Read More
 KILLY AWAOMBA MASHABIKI WA KENYA WAMSAIDIE KUPATA ALIYEONDOA VIDEO YA WIMBO WAKE YOUTUBE

KILLY AWAOMBA MASHABIKI WA KENYA WAMSAIDIE KUPATA ALIYEONDOA VIDEO YA WIMBO WAKE YOUTUBE

Msanii wa Bongofleva, Killy amewaomba mashabiki wake waliyopo nchini Kenya kumsaidia kumpata Mutisya Munyithya ambaye ndiye ameipiga copy right YouTube video ya wimbo wake, Ni Yeye ambao amemshirikisha Harmonize. Mwimbaji huyo wa Konde Music Worldwide amewaomba mashabiki wanaomfahamu wawasiliane naye kwa namba +255 65 289 2317. “Mashabiki zangu pendwa poleni sana kwa maumivu ya kuondolewa […]

Read More
 50 CENT KUJA NA FILAMU ITAKAYOANGAZIA MAUJI YA MARAPA NCHINI MAREKANI

50 CENT KUJA NA FILAMU ITAKAYOANGAZIA MAUJI YA MARAPA NCHINI MAREKANI

Nyota wa muziki wa kutoka Marekani 50 Cent ambaye kwa sasa amejikita zaidi kwenye uandaaji wa Filamu na uigizaji ametangaza kuachia tamthia itakayoonesha Kesi za mauaji ya Rapa mbalimbali ambazo zimeshindwa kupatiwa ufumbuzi. 50 anaandaa tamthilia hiyo kwa kushirikiana na Mona Scott-Young Monami na Lionsgate. Tamthilia hiyo itaongozwa na Van Lathan ambaye ni mshindi wa […]

Read More
 PENZI LA PATORAKING WA NIGERIA LAMKOSESHA USINGIZI FEMI ONE

PENZI LA PATORAKING WA NIGERIA LAMKOSESHA USINGIZI FEMI ONE

Msanii wa muziki wa rap nchini Kenya, Femi One, ameshindwa kuficha mapenzi yake kwa nyota wa muziki wa Dancehall kutoka Nigeria, patoranking. Katika kikao cha Maswali na Majibu kupitia insta story yake kwenye mtandao wa instagram , hitmaker huyo wa ‘Utawezana” amesema anatamani kuolewa na nyota huyo wa Nigeria kwa sababu ana akili pia amekuwa […]

Read More
 BIFU LA RAPA LIL DURK NA NBA YOUNGBOY LACHUKUA SURA MPYA

BIFU LA RAPA LIL DURK NA NBA YOUNGBOY LACHUKUA SURA MPYA

Rapa kutoka nchini Marekani Lil Durk amevunja kimya chake kuhusu kinachoendelea mtandaoni kati yake na NBA Youngboy. Lil Durk kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa amelalia pesa nyingi na kuandika ujumbe “mpuuzi” uliotafsiriwa kuwa ni jibu kwa NBA Youngboy Lil Durk ametoa kauli hiyo baada ya rapa NBA Youngboy kum-diss pamoja na label […]

Read More
 MWIIMBAJI MWENYE UTATA NCHINI JUSTINA SYOKAU AWAONYA WANAUME WANAOMTAKA KIMAPENZI

MWIIMBAJI MWENYE UTATA NCHINI JUSTINA SYOKAU AWAONYA WANAUME WANAOMTAKA KIMAPENZI

Msanii wa nyimbo za Injili mwenye utata nchini Justina Syokau anaendelea kushika headlines za habari za burudani nchini na vituko vyake. Katika mahojiano yake ya hivi karibu na runinga ya Ntv, hitmaker huyo twenty twenty ametoa onyo kali kwa wanaume ambao kwa njia moja au nyingine wamefulia kiuchumi wasijaribu kumtokea kimapenzi. Kwa mujibu wa msanii huyo mwanaume […]

Read More