MSANII WA BONGOFLEVA HARMONIZE AKANUSHA KUWA SINGLE

MSANII WA BONGOFLEVA HARMONIZE AKANUSHA KUWA SINGLE

Baada ya kuchukua headlines siku ya jana kwa kuelezea kuwa hana mpenzi mwanamuziki wa Bongofleva Harmonize ameibuka kukanusha taarifa hizo ambazo zilienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram mkali huyo wa ngoma ya Teacher’ ameandika ujumbe wa kukanusha taarifa hizo ,huku akitaka kuheshimiwa akiambatanisha na emoji za […]

Read More
 YESE OMAN RAFIKI AKIRI KUUMIZWA N KITENDO CHA MSANII VIVIAN TENDO KUJIONDOA ROUTE ENTERTAINMENT

YESE OMAN RAFIKI AKIRI KUUMIZWA N KITENDO CHA MSANII VIVIAN TENDO KUJIONDOA ROUTE ENTERTAINMENT

Msanii na mwaandishi wa nyimbo kutoka nchini Uganda Oman Rafiki amefunguka na kudai kuwa aliumizwa na kitendo cha msanii Vivian Tendo kujiondoa kwenye lebo ya muziki ya Route Entertainment. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni Oman Rafiki amesema licha ya kuumizwa na kitendo cha mrembo huyo kumkimbia hatokataa tamaa ya kuwasajili wasanii wapya wenye vipaji […]

Read More
 ADELE AMWAGA MACHOZI AKITANGAZA KUAHIRISHA MATAMASHA YAKE YA MJINI LAS VEGAS

ADELE AMWAGA MACHOZI AKITANGAZA KUAHIRISHA MATAMASHA YAKE YA MJINI LAS VEGAS

Mwanamuziki kutoka Uingereza Adele amejikuta akimwaga machozi wakati akitangaza kuahirishwa kwa maonesho yake 24 ya mjini Las Vegas (Las Vegas Residency) ambapo onesho la kwanza lilipangwa kuanza Januari 21 mwaka huu katika ukumbi wa Caesars Palace’s Colosseum. Adele amesema kuahirishwa kwa maonesho yake kumekuja kufuatia nusu ya timu yake kukutwa na maambukizi ya Corona. “Naomba […]

Read More
 PENZI LA HARMONIZE NA BRIANA LAINGIWA NA UKUNGU,HARMONIZE ATANGAZA KUWA SINGLE

PENZI LA HARMONIZE NA BRIANA LAINGIWA NA UKUNGU,HARMONIZE ATANGAZA KUWA SINGLE

Huenda penzi la mwanamuziki na C.E.O.wa KondeGang Harmonize na mpenzi wake mzungu raia wa Australia Briana limevunjika. Kulingana na mfululizo wa post zake kupitia insta story yake kwenye mtandao wa instagram harmonize amesema kuwa haamini kama yupo singo tena. Haikuishia hapo ameenda mbali na kuandika ujumbe ambao unahisiwakumlenga moja kwa moja mchumba wake Briana kwa […]

Read More
 PAPA CIDY AWAOMBA MASHABIKI KUCHANGA SHILLINGI MILLIONI 3.2 ZA KENYA KWA AJILI YA KUFUFUA MUZIKI WAKE

PAPA CIDY AWAOMBA MASHABIKI KUCHANGA SHILLINGI MILLIONI 3.2 ZA KENYA KWA AJILI YA KUFUFUA MUZIKI WAKE

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Papa Cidy ametoa wito kwa mashabiki zake kuanzisha kampeini ya kuchangisha shillingi millioni 3.2 za Kenya zitakazomsaidia kufufua muziki wake. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni Papa Cidy amesema nyimbo zake hazijakuwa zikipigwa kwenye vituo vya redio na runinga kwa sababu hana pesa za kutosha za kusukuma kazi zake za muziki. […]

Read More
 MSANII WA BONGOFLEVA TID ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

MSANII WA BONGOFLEVA TID ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva TID ametangaza ujio wa album yake mpya ambayo ana mpango wa kuiachia ndani ya mwaka huu wa 2022. Akizungumza na refresh TID amesema tayari album yake mpya imekamilika kwa asilimia mia moja na kilichobaki kwa sasa ni suala la kuiachia ila hajatuambia tarehe rasmi ya album hiyo kuingia sokoni. Hitmaker huyo wa “Nyota Yangu” amesema album […]

Read More