WILLY PAUL ACHUKIZWA NA JINA LA MKUNAJI, ATAKA MASHABIKI WAACHE KUMUITA JINA HILO
Mwanamuziki maarufu nchini Willy paul amewataka mashabiki zake kuacha kumuita jina la utani la Mkunaji. Kupitia instagram Willy paul amesema jina hilo ni la kishetani na lina mikosi mingi, hivyo hataki kuhusishwa nalo. Hitmaker huyo wa “My Woman” amesema tangu aanze kutumia jina la mkunaji amejipata kwenye kashfa nyingi ambazo amedai zimemuaharibia chapa au brand […]
Read More