HARMONIZE AGEUKIA FANI YA UIGIZAJI, ATANGAZA KUJA NA FILAMU

HARMONIZE AGEUKIA FANI YA UIGIZAJI, ATANGAZA KUJA NA FILAMU

Mwanamuziki na Rais wa lebo ya Konde Music Worldwide Harmonize ametangaza kuingia kwenye fani ya uigizaji muda wowote kutoka sasa. Harmonize ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake Women alichoshirikiana na Otile Brown ameweka wazi hilo kupitia InstaStory yake ambapo ameandika kuwa filamu hiyo kwa mara ya kwanza itaoneshwa kupitia mtandao wa Ceek. Harmonize ameandika […]

Read More
 RAPPER NLE CHOPPA AZICHAPA NA SHABIKI WA NBA YOUNGBOY BAADA KURUSHIANA MANENO MAKALI WAKIWA AIRPORT

RAPPER NLE CHOPPA AZICHAPA NA SHABIKI WA NBA YOUNGBOY BAADA KURUSHIANA MANENO MAKALI WAKIWA AIRPORT

Rapa NLE Choppa kutoka nchini Marekani wamerushiana makonde na shabiki wa rapa NBA YoungBoy baada ya kuingia kwenye ugomvi  wakiwa uwanja wa ndege. Inasemekana kuwa ngumi ya kichwa na ya shingo vilitosha kumuangusha chini shabiki huyo ambaye alibamiza kichwa chini baada ya kuanguka na kulala hapo hapo. Sababu ya ugomvi huo inasemekana kuwa ni baada […]

Read More
 RINGTONE: HUDDAH MONROE ALINITAKA KIMAPENZI NIKAMKATAA

RINGTONE: HUDDAH MONROE ALINITAKA KIMAPENZI NIKAMKATAA

Mwanamuziki wa nyimbo za Injil nchini, Ringtone Apoko amedia kuwa mrembo maarufu mtandaoni nchini, Huddah Monroe aliwahi kumtongoza lakini akamkataa. Kauli yake inakuja mara baada ya Huddah kuibuka na kudai kuwa hajaona mwanaume ambaye amekidhi vigezo vya kuwa naye nchini Kenya. Sasa  Ringtone ameibuka na kusema “Tumekuwa na safari refu sana ya maisha na Huddah […]

Read More
 SOCIALITE MAARUFU MTANDAONI VERA SIDIKA KUFANYA TENA UPASUAJI WA MATITI

SOCIALITE MAARUFU MTANDAONI VERA SIDIKA KUFANYA TENA UPASUAJI WA MATITI

Mrembo maarufu mtandaoni nchini Kenya na Afrika Mashariki, Vera Sidika amesema atafanya tena upasuaji wa matiti yake ili kuboresha muonekana wake baada ya kumaliza kuzaa. Kupitia Instagram page yake Vera Sidika amesema anatamani kupata matiti yenye umbo la mviringo na ambayo yamesisima ila kwa sasa anataka kwanza aikuze familia yake. “Kunyonyesha hakujawahi kunisumbua hata kidogo, […]

Read More
 ALBUM YA RAPA BREEDER LW “BAZENGA MENTALITY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY KENYA

ALBUM YA RAPA BREEDER LW “BAZENGA MENTALITY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY KENYA

Album ya Rapa breeder Lw, Bazenga Mentality inaendelea kufanya makubwa kwenye mitandao ya kuuza na kusikiliza muziki duniani. Mpaka sasa imefikisha jumla ya streams MILIONI 1 kwenye mtandao wa kupakua na kusikiliza muziki wa Boomplay. Album hiyo  ya ” Bazenga Mentality ” iliachiwa rasmi Juni 30 mwaka wa 2021, ikiwa na jumla ya mizinga 15  za moto. Ikumbukwe Album […]

Read More
 AMBER ROSE AFUNGUKA KUHUSU TWEET YAKE  YA MWAKA 2015 INAYOONEKANA KUMPONZA EX WAKE KANYE WEST

AMBER ROSE AFUNGUKA KUHUSU TWEET YAKE YA MWAKA 2015 INAYOONEKANA KUMPONZA EX WAKE KANYE WEST

Mwanamitindo kutoka Marekani, Amber Rose amevunja kimya chake kuhusu sakata linaloizingira ndoa ya  Kim Kardashian na Kanye West baada ya watu kumkumbusha tweet yake ya zamani aliyomponda Kanye West. Tweet hiyo aliyoipost mwaka 2015 baada ya kuachana na Kanye West ilisomeka  “Kanye West, nitawaachia ‘Kartrashians’ wakudhalilishe pale ambapo watakuwa wamemalizana na wewe.” Hiyo ilikuwa baada […]

Read More