HARMONIZE AANZA MCHAKATO WA KUWA-FOLLOW BACK MASHABIKI ZAKE KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM

HARMONIZE AANZA MCHAKATO WA KUWA-FOLLOW BACK MASHABIKI ZAKE KATIKA MTANDAO WA INSTAGRAM

Baada ya mwanamuziki wa Bongofleva Harmonize kuwafuta urafiki watu wote ambao alikuwa ame-wafollow katika mtandao wake wa Instagram hatimaye msanii huyo ameanza zoezi la kuwa follow back tena mashabiki na watu waliowahi kumfollow. Ukitembelea ukurasa wa Instagram wa Harmonize utagundua ameongeza idadi ya (Following) kutoka 1 mpaka 283. Utakumbuka mwishoni mwa mwaka wa 2021 mwanamuziki […]

Read More
 KANYE WEST AWEKEWA VIKWAZO KUINGIA KWENYE BIRTHDAY  PARTY YA BINTI YAKE, CHICAGO WEST

KANYE WEST AWEKEWA VIKWAZO KUINGIA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA BINTI YAKE, CHICAGO WEST

Kanye West ameamua kuanika wazi kila kitu ambacho kinaendelea baina yake na Kim Kardashian, usiku wa kuamkia leo ameeleza namna ambavyo aliwekewa vikwazo kuingia kwenye birthday party ya binti yake, Chicago West. YE anadai kwamba hakupewa kabisa location ya wapi party hiyo itafanyika,ila juhudi za Travis Scott zilisaidia kwani alimtumia location na alifika eneo hilo […]

Read More
 PIA PONDS AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA KUHUSU MWAANDISHI WA HITSONG YAKE “TUPAATE”

PIA PONDS AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA KUHUSU MWAANDISHI WA HITSONG YAKE “TUPAATE”

Female singer kutoka nchini Uganda Pia Ponds amewaacha mashabiki na maswali mengi kuhusu ni nani hasa alimuandikia wimbo wake wa “Tupaate”. Hii ni baada ya mrembo huyo kuibuka na kujinasibu kuwa yeye ndiye mwaandishi halisi wa wimbo huo kauli ambayo inakinzana na aliyoitoa mwaka wa 2021 aliposema kuwa msanii mwenzake Azawi ndiye alihusika kwenye uandishi […]

Read More
 SIJAWAHI KUMTUMA MTU AWAVUNJIE WASANII WENZANGU HESHIMA, ASEMA HARMONIZE

SIJAWAHI KUMTUMA MTU AWAVUNJIE WASANII WENZANGU HESHIMA, ASEMA HARMONIZE

Msanii wa Bongofleva kutoka Konde Music Worldwide, Harmonize amesema hajawai kutuma watu kuzungumza vibaya kuhusu washindani wake. Hitmaker huyo wa “Teacher” amefunguka hayo kwenye kituo kimoja cha radio ambapo ameeleza kuwa haweza kumtuma mtu yeyote kuwashambulia mahasidi wake kwa sababu hakuna kitu chochote wataongeza kwa kazi zake. “Mkiona mtu yeyote anaenda kumzungumzia mtu fulani basi […]

Read More
 RAPPER KHALIGRAPH JONES MBIONI KUACHIA WIMBO WA INJILI

RAPPER KHALIGRAPH JONES MBIONI KUACHIA WIMBO WA INJILI

Rapper mnoma kwa michuano kutoka Kenya Khaligraph Jones huenda akageukia muziki wa injili baada ya kushare video clip ikimuonesha akiimba na kutayarisha wimbo wa dini. Hata hivyo rapper huyo ambaye amewahi kutamba na hitSong kama “Mazishi, Leave Me Alone, na Yes bana”  anatajwa kulelewa kwenye misingi thabiti ya dini ya Kikristo na mpaka sasa mama […]

Read More
 RAPPER SNOOP DOGG KUJA NA BIDHAA ZENYE KUTUMIA NYAMA YA MBWA

RAPPER SNOOP DOGG KUJA NA BIDHAA ZENYE KUTUMIA NYAMA YA MBWA

Miaka sita baada ya kusema kuwa “kamwe hatokula tena nyama au bidhaa zenye nyama ya mbwa” rapper mkongwe kutoka, Marekani Snoop Dogg anapanga kuzindua chapa au bidhaa zake inayoitwa “Snoop Doggs,” zitakazo tumia nyama ya mbwa. Kulingana na uwasilishaji wa kisheria wa hivi majuzi mawakili wa nguli huyo wa hip-hop walituma maombi mwezi uliopita katika […]

Read More
 RIHANNA AANDIKA REKODI NYINGINE YOUTUBE, VIDEO YAKE YAFIKISHA VIEWS BILLIONI 1

RIHANNA AANDIKA REKODI NYINGINE YOUTUBE, VIDEO YAKE YAFIKISHA VIEWS BILLIONI 1

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Rihanna anaelekea mwaka wa sita bila kuachia kazi yoyote ya muziki lakini kila siku anaweka rekodi. Rihanna ameandika rekodi nyingine kwa video yake “stay” kufikisha jumla ya views bilioni 1 kwenye mtandao wa youtube. Hii inamfanya rihanna kutanua rekodi yake ya kuwa msanii wa kike mwenye video nyingi zaidi zenye watazamaji […]

Read More