BEBE COOL AWAPA SOMO WAANDISHI WA NYIMBO NCHINI UGANDA

BEBE COOL AWAPA SOMO WAANDISHI WA NYIMBO NCHINI UGANDA

Nyota wa muziki nchini Uganda Bebe Cool amewashauri waandishi wa nyimbo nchini humo kuelekeza nguvu zao kwenye suala la kuandika nyimbo badala ya kujilazimisha kuwa waimbaji. Kwenye mahojiano na runinga moja nchini Uganda Bebe Cool amesema ni vigumu kwa msanii kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja kwenye tasnia ya muziki kwani mwisho wa siku moja humpokonya. Ikumbukwe Bebe Cool hajakuwa na uhusiano mzuri […]

Read More
 KENRAZY AAPA KUTOFANYA KAZI TENA NA CHAMA CHA KISIASA CHA ODM KISA MALIPO DUNI

KENRAZY AAPA KUTOFANYA KAZI TENA NA CHAMA CHA KISIASA CHA ODM KISA MALIPO DUNI

Staa wa muziki nchini Kenrazy amefunguka namna alivyolipwa malipo duni na chama cha kisiasa cha ODM wakati wa kampeni za urais mwaka wa 2013. Akihojiwa na Iko Nini, Kenrazy amesema alikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa chama hicho kwani aliandamana nao kwenye kampeni zao nyingi. Hitmaker huyo wa “Mbilikimo Mkora” amesema licha ya kutumbuiza kwenye misafara tofauti za kampeini […]

Read More
 AKOTHEE AJUTA  KUWA MTU MAARUFU, ASEMA UMAARUFU UNAMTESA

AKOTHEE AJUTA KUWA MTU MAARUFU, ASEMA UMAARUFU UNAMTESA

Msanii na mfanyibiashara maarufu nchini Akothee amefunguka changamoto za kuwa mtu maarufu. Kupitia waraka mrefu aliouchapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram Akothee amesema anajutia kuwa maarufu kwani anapata wakati mgumu sana kufurahia maisha yake ya faraghani kama watu wengine kwani mashabiki wamekuwa wakimrekodi kwa siri akiwa na familia yake maeneo  ya umma. Hitmaker huyo “Sweet […]

Read More
 MASHABIKI WAMSHAMBULIA NELLY KISA KUMPA ZAWADI NDOGO MWANAMKE ALIYEMRUDISHIA MAMILIONI

MASHABIKI WAMSHAMBULIA NELLY KISA KUMPA ZAWADI NDOGO MWANAMKE ALIYEMRUDISHIA MAMILIONI

Mashabiki wamemtolea na kumtupia maneno mwanamuziki Nelly kutoka nchini Marekani baada ya stori ya mwanamke mmoja ambaye alipewa shilling 11,388 za kenya kama zawadi baada ya kuokota na kulirudisha begi la Nelly lililokuwa na zaidi ya shilling milllioni 11 za kenya. Hata hivyo Nelly aliibuka na kukanusha taarifa hiyo kupitia ukurasa wa instagram ambao uliweka […]

Read More
 JOSE CHAMELEONE AMFUTA KAZI MENEJA WAKE BIJOU FORTUNATE KISA UZEMBE KAZINI

JOSE CHAMELEONE AMFUTA KAZI MENEJA WAKE BIJOU FORTUNATE KISA UZEMBE KAZINI

Bosi wa lebo ya leone island Jose Chameleone amemfuta kazi meneja wake Bijou Fortunate. Inadaiwa kuwa Bijou ameshindwa kumleta Chameleone dili kubwa za kimataifa kitu ambacho kimemfanya msanii huyo kutoridhika na utenda kazi wake. Hata hivyo duru za kuaminika zinasema kuwa chameleone anafadhalisha kufanya kazi na meneja wake zamani Robert Mutiima ambaye kipindi cha nyuma […]

Read More
 BROWN MAUZO NA VERA SIDIKA MBIONI KUFUNGA NDOA

BROWN MAUZO NA VERA SIDIKA MBIONI KUFUNGA NDOA

Tutegemee ndoa kutoka kwenye couple ya mwanamuziki Brown mauzo na mrembo mwenye shape matata Vera Sidika mapema week ijayo. Hayo yamebainishwa kutoka kwa Instagram page ya mwanamuziki brown mauzo ambaye ameShare picha ya mrembo huyo na kuandika ujumbe unao ashiria kuwepo kwa ndoa kati yao huku akiweka wazi tarehe husika ya tukio hilo kuwa ni […]

Read More
 SANAIPEI TANDE AWAANIKA MAPROMOTA NA MADEEJAY WA KENYA WANAOMTAKA KIMAPENZI KABLA YA KUMPA SHOWS

SANAIPEI TANDE AWAANIKA MAPROMOTA NA MADEEJAY WA KENYA WANAOMTAKA KIMAPENZI KABLA YA KUMPA SHOWS

Msanii kike nchini Sanaipei Tande amezua gumzo mtandaoni mara baada ya kudai kuwa mapromota na madeejay wa Kenya wamekuwa wakimtaka kimapenzi kabla ya kumpa nafasi ya kutumbuiza kwenye matamasha ya muziki. Hata hivyo walimwengu kwenye mitandao ya kijamii wamemtaka sanaipei tande aweke wazi majina ya mapromota na madeejay hao wanaoendeleza kadhia hiyo ili wasanii wachanga […]

Read More