TWITTER KUWEKA SEHEMU YA KU-RETWEET KWA KUTUMIA PICHA NA VIDEO
App ya Twitter inaongeza sehemu mpya katika option za ku-retweet ambayo itaitwa “Quote Tweet with reaction”. Sehemu hii itawezesha watumiaji kuonyesha reaction zao katika Tweet kwa kutumia video au picha. Mfano unaweza kuona tweet, ukaamua kupiga picha ya kureact (kujibu tweet au kuelezea tweet). Picha hiyo inaambatana na tweet ambayo “ume-retweet with reactions”. Ukipost zote […]
Read More