MICHUANO YA AFCON KUENDELEA LEO NCHINI CAMEROON

MICHUANO YA AFCON KUENDELEA LEO NCHINI CAMEROON

Michuano ya fainali za mataifa ya Afrika AFCON zilianza kutimua vumbi jana katika miji ya Cameroon kwa michezo miwili kuchezwa. Mchezo wa mapema katika dimba la Olembe wenyeji indomitable lions Cameroon walianza vema kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Burkina Faso waliotangulia kupata bao. Mchezo wa pili katika kundi hilo umewakutanisha Ethiopia dhidi ya cCape […]

Read More
 HARMONIZE AVUNJA KIMYA CHAKE BAADA YA MKATABA WA COUNTRY BOY KUMALIZIKA KONDE MUSIC WORLDWIDE

HARMONIZE AVUNJA KIMYA CHAKE BAADA YA MKATABA WA COUNTRY BOY KUMALIZIKA KONDE MUSIC WORLDWIDE

Siku chache baada ya Lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide kutangaza kumalizika kwa mkataba baina yao na msanii Country Boy, mmiliki wa lebol hiyo Harmonize ametoa neno. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram, Harmonize amemshukuru Country Boy kwa uwepo wake ndani ya Konde Music Worldwide katika kipindi cha miaka miwili, lakini pia […]

Read More
 HAPPY C ATANGAZA UJIO WA EP YAKE MPYA

HAPPY C ATANGAZA UJIO WA EP YAKE MPYA

Msanii wa muziki kutoka 001 music Happy C ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo ana mpango wa kuachia ndani ya mwaka huu wa 2022. Akiwa kwenye moja ya interview  happy C amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kuipokea EP yake hiyo ambayo kwa mujibu wake itakuwa na jumla ya mikwaju 5 ya moto. […]

Read More
 BEBE COOL AKANUSHA TETESI ZA KUKUTWA NA KIRUSI CHA OMICRON

BEBE COOL AKANUSHA TETESI ZA KUKUTWA NA KIRUSI CHA OMICRON

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Uganda Bebe Cool amefunguka kuhusu ugonjwa uliompelekea kukimbizwa hospitali mwishoni mwa juma lilopita. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Bebe Cool ameweka wazi kuwa alikuwa anaugua malari, ugonjwa ambao hakuwa fikiria utampata. Hitmaker huyo “Gyenvudde” amesema kwa sasa amepata ufahamu wa kwanini Wizara Afya nchini Uganda imekuwa mstari wa mbele kusisitiza […]

Read More
 KIJANA ALIYESUKUMWA NA BURNA BOY AAPA KUVAA SHATI MWAKA MZIMA

KIJANA ALIYESUKUMWA NA BURNA BOY AAPA KUVAA SHATI MWAKA MZIMA

Kijana aliyesukumwa stejini na  Burna Boy ameahidi kutovua shati mwaka mzima, shati ambalo alilivaa usiku ule aliosukumwa wakati akijaribu kuomba msaada kwa Staa huyo wa muziki kutoka nchini Nigeria. Kwenye mahojiano na vyombo vya habari nchini Nigeria kijana huyo amesema ni fahari sana kwake na alifurahishwa na lile tukio ndio maana ameapa kulitunza mwilini shati […]

Read More
 RAPPER COUNTRY BOY AMALIZA MKATABA WAKE NA KONDE MUSIC WORLDWIDE

RAPPER COUNTRY BOY AMALIZA MKATABA WAKE NA KONDE MUSIC WORLDWIDE

Msanii wa Bongofleva Country Boy ameachana rasmi na label ya Konde Music Worldwide kufuatia taarifa kwamba mkataba wake umemalizika. Kupitia page rasmi ya KondeGang katika mtandao wa Instagram ,imethibitisha taarifa hiyo kwa kuandika ujumbe wa kumuaga na kumtakia maisha mapya, huku wakiweka wazi kuwa mkataba wake umemalizika rasmi tarehe 8 Januari mwaka wa 2022 kwa […]

Read More
 WINNIE NWAGI AWACHANA WAKOSOAJI WA MAVAZI YAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

WINNIE NWAGI AWACHANA WAKOSOAJI WA MAVAZI YAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

Msanii wa Swangz Avenue Winnie Nwagi amemtolea uvivu wanaokosoa uvaaji wake wa mavazi kwenye mitandao ya kijamii. Akipiga stori na runinga moja nchini Uganda Winnie Nwagi amewataka wanaochukia mtindo wake wa mavazi wampe kazi ya kumuingizia kipato ili avae mavazi wanazozipenda. Hitmaker huyo wa “Kwata Essimu” amesema hayupo dunia kumfurahisha mtu yeyote ila yupo kwa […]

Read More
 KRG THE DON ADAI ALIHUSIKA KWENYE UDUKUZI WA AKAUNTI YA INSTAGRAM YA MWANABLOGU EDGAR OBARE

KRG THE DON ADAI ALIHUSIKA KWENYE UDUKUZI WA AKAUNTI YA INSTAGRAM YA MWANABLOGU EDGAR OBARE

Mwanamuziki kutoka Kenya KRG The Don amedai kwamba yeye ndiye aliifuta akaunti mpya ya instagram ya mwanablogu mwenye utata nchini humo Edgar Obare. Kupitia instagram page yake KRG ameandika ujumbe wa kejeli kwenda kwa wafuasi wa Edgar Obare kwa kusema kwamba alikuwa ametishia kuifuta akaunti ya mwanablogu huyo ya Instagram ila watu walichukulia kama mzaha. […]

Read More
 POGBA KUONGEZEWA MKATABA MANCHESTER UNITED

POGBA KUONGEZEWA MKATABA MANCHESTER UNITED

Klabu ya Manchester United imepanga kumpa Ofa ya Mkataba mpya Kiungo Paul Pogba wenye thamani ya kiasi Cha pound laki 5 kwa juma na kumfanya Kuwa Mchezaji ghali anayelipwa zaidi Katika Ligi Kuu ya Uingereza Pogba anayeuguza Majeraha anataraji kurejea Uwanjani Mwishoni mwa Mwezi Januari Mkataba wa Pogba unamalizika mwishoni mwa Msimu na Ofa Hiyo […]

Read More