ROSE MUHANDO ATUHUMIWA KUTOKA KIMAPENZI NA MWANABLOGU MAARUFU NCHINI KENYA LORD MUTAI

ROSE MUHANDO ATUHUMIWA KUTOKA KIMAPENZI NA MWANABLOGU MAARUFU NCHINI KENYA LORD MUTAI

Msanii mashuhuri wa nyimbo za injili nchini Tanzania rose Muhando ameusimamisha mtandao wa Twitter kwa Jina lake kukaa kwenye orodha ya ‘Topics’ ambazo zinazungumzwa zaidi kwenye mtandao huo nchini Kenya. Hii ni baada ya mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter kwa jina la bookten kudai hitmaker huyo wa ngoma ya  “Nibebe” aliwahi kutoka kimapenzi na […]

Read More
 KANYE WEST NA BILLIE EILISH WATAJWA  KUWA VINARA KWENYE TAMASHA LA COACHELLA 2022

KANYE WEST NA BILLIE EILISH WATAJWA KUWA VINARA KWENYE TAMASHA LA COACHELLA 2022

Rapa Kanye West pamoja na msanii mwenzake Billie Ellish wametajwa kuwa watakuwa wasanii vinara kwenye tamasha la maarufu la muziki nchini Marekani, Coachella mwaka wa 2022. Chanzo kimoja kimeuthibitishia mtandao wa Variety kuhusu taarifa hii. Hii itakuwa mara ya pili kwa Kanye West kuwa msanii kinara kwenye tamasha hilo kubwa, mwaka 2011alifanya hivyo tena huku […]

Read More
 FOBY AUPONDA UWEZO WA MARIOO KWENYE MUZIKI WA BONGOFLEVA

FOBY AUPONDA UWEZO WA MARIOO KWENYE MUZIKI WA BONGOFLEVA

Msanii wa Bongofleva Foby amefunguka kuwa mkali wa ngoma ya “Beer tamu” Marioo hawezi kuvikwa taji la Ufalme wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kupitia mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni, mwanamuziki huyo amedai kwamba Marioo hawezi kuwa mfalme wa muziki wa Bongofleva ikiwa anaimba muziki wa Amapiano, kwani mfalme anatakiwa kukuza na kufanya mziki wao […]

Read More
 RAPA WANGECHI ADOKEZA UJIO WA ALBUM MPYA YA SCAR MKADINALI

RAPA WANGECHI ADOKEZA UJIO WA ALBUM MPYA YA SCAR MKADINALI

Rapa wa kike nchini Wangechi amedokeza kuwa member wa  kundi la Wakadinali, Scar Mkadinali ana mpango wa kuachia album yake mpya mwisho mwa mwezi huu wa Januari. Wangechi amethibitisha hilo kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram kwa kusema kwamba  album ya rapa huyo iitwayo Easy itaingia sokoni januari  24 mwaka huu. Hata hivyo […]

Read More
 NADIA MUKAMI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UJA UZITO WAKE NA ARROW BOY

NADIA MUKAMI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UJA UZITO WAKE NA ARROW BOY

Staa wa muziki nchini Nadia Mukami ameshindwa kuvumilia kinachoendelea mtandaoni kuhusu uja uzito wake na Arrow boy. Kupitia video aliyoishare kwenye ukurasa wake wa instagram Nadia Mukami amedokeza kuwa alipoteza uja uzito wake mwishoni mwa mwaka wa 2021. Hitmaker huyo wa “Roho Mbaya” amesema licha ya kupoteza uja uzito wake aliahuma kutoweka wazi habari hiyo […]

Read More
 MWALIMU RACHEL AISIMAMISHA TWITTER KWA TUHUMA ZA KUISAMBARATISHA KUNDI LA SAILORS GANG

MWALIMU RACHEL AISIMAMISHA TWITTER KWA TUHUMA ZA KUISAMBARATISHA KUNDI LA SAILORS GANG

Aliyekuwa meneja wa kundi la Sailors Gang Mwalimu Rachel ameusimamisha mtandao wa Twitter kwa Jina lake kukaa namba 9 kwenye orodha ya ‘Topics’ ambazo zinazungumzwa zaidi kwenye mtandao huo nchini Kenya. Hadi sasa mtandao huo unaonesha jina la  Mwalimu Rachel  limeongelewa kwenye zaidi ya Tweets 2,562 ikiwa ni masaa machache tu tangu member wa Sailor […]

Read More
 RONALDO AMEVURUGA KIWANGO CHA BRUNO FERNANDES MAN UNITED

RONALDO AMEVURUGA KIWANGO CHA BRUNO FERNANDES MAN UNITED

Cristiano Ronaldo kurejea ndani ya Manchester United kumesababisha mshambuliaji wa timu hiyo, Bruno Fernandes kupoteza ubora wake. Hayo ni maoni ya nguli wa timu hiyo, Andy Cole ambaye ameeleza kuwa Wareno hao wanapata shida kucheza pamoja. Fernandes alikuwa staa wa timu na kuonyesha ubora wa juu lakini ameshindwa kuwa katika ubora wa juu msimu huu. […]

Read More
 NYOTA NDOGO AMSHAMBULIA MWANABLOGU ALIYEMZUSHIA TAARIFA ZA UONGO

NYOTA NDOGO AMSHAMBULIA MWANABLOGU ALIYEMZUSHIA TAARIFA ZA UONGO

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Nyota Ndogo amechukizwa na kitendo cha mwanablogu mmoja  kuchapisha taarifa za uongo dhidi yake. Mwanablogu huyo alichapisha taarifa akisema kwamba Nyota Ndogo  alidai kwenye moja ya interview kuwa asipoimba jina lake litazidi kuzungumziwa nchini ikizangatiwa kuwa ni msanii mkongwe ambaye ameacha alama kwenye tasnia ya muziki nchini. Sasa kupitia instagram […]

Read More
 ALBUM YA MBOSSO “DEFINITION OF LOVE” YAWEKA REKODI KWENYE DIGITAL PLATFORMS MBALI MBALI

ALBUM YA MBOSSO “DEFINITION OF LOVE” YAWEKA REKODI KWENYE DIGITAL PLATFORMS MBALI MBALI

Hatimaye albamu ya mwanamuziki wa Bongofleva, Mbosso ‘Definition of Love’ imefanikiwa kufikisha streams zaidi ya Milioni 150. Albamu hiyo ilitoka Machi 9, mwaka 2021 ikiwa na njimbo 12 ambazo ameshirikiana na wasanii zaidi ya nane kutoka Tanzania, Uganda na Nigeria, Streams hizo milioni 150 ni jumla ya streams zote kutoka kwenye mitandao yote iliyowekwa albamu […]

Read More