RAPA GRAVITY OMUTUJJU ATISHIA KUJITOA UHAI KISA MUZIKI

RAPA GRAVITY OMUTUJJU ATISHIA KUJITOA UHAI KISA MUZIKI

Rapa kutoka Uganda Gravity Omutujju ametoa wito kwa Rais Yoweri Museveni kutofunga tena uchumi wa taifa hilo kutokana na Corona. Rapa huyo ametishia kujitoa uhai kama rais wa Uganda Yoweri Museveni atasitisha tena matamasha ya muziki mara baada ya kufungwa kwa kipindi cha miaka miwili. Omutujju amesema ana mpango wa kuandaa shoo katika eneo la […]

Read More
 TUZO ZA GRAMMY ZAAHIRISHWA KWA MWAKA WA PILI MFULULIZO

TUZO ZA GRAMMY ZAAHIRISHWA KWA MWAKA WA PILI MFULULIZO

Hafla ya Tuzo za Grammy iliyokuwa ifanyike Januari 31 mwaka huu imeahirishwa kufuatia tishio la kirusi cha Omicron. Waandaaji wa tuzo hizo wametoa taarifa rasmi januari 5 mwaka huu huku tarehe mpya ikiwa bado ni kitendawili. Huu unakuwa mwaka wa pili mfululizo kwa tuzo hizo kuahirishwa, mwaka jana ziliahirishwa kutoka Januari na kufanyika Machi 14, […]

Read More
 JASON DERULO AMPIGA MTU NGUMI YA USO KISA KUITWA USHER

JASON DERULO AMPIGA MTU NGUMI YA USO KISA KUITWA USHER

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jason Derulo anadaiwa kuwashambulia watu wawili baada ya watu hao kumwita jina la “Usher” Kwa mujibu wa TMZ wameripoti kuwa tukio hilo limetokea kwenye Hoteli moja huko Las Vegas nchini Marekani. Mashahidi wanasema kuwa mtu mmoja alimwita Jason kwa jina la Usher jambo ambalo lilimchukiza staa huyo na kuanza kumshambulia kwa […]

Read More
 DAVID WONDER ANYOSHA MAELEZO KUHUSU BIFU LAKE NA BAHATI

DAVID WONDER ANYOSHA MAELEZO KUHUSU BIFU LAKE NA BAHATI

Msanii wa nyimbo za injili nchini David Wonder amefunguka kuhusu ishu ya kuwa kwenye bifu na staa wa muziki nchini Bahati mara baada ya nyimbo zake alizofanya na msanii huyo akiwa chini ya lebo ya EMB kufutwa kwenye mtandao wa Youtube. Akipiga stori na mwanahabari Nicholas Kioko kwenye mtandao wa Youtube David Wonder amesema hana […]

Read More
 ERIC OMONDI AJA NA MASHARTI MAPYA YA MALIPO KWA WASANII WA KENYA

ERIC OMONDI AJA NA MASHARTI MAPYA YA MALIPO KWA WASANII WA KENYA

Mchekeshaji  ambaye hivi karibuni ameibuka na kupigania maslahi ya muziki wa Kenya Eric Omondi ameibuka tena na kuwapa masharti waandaaji wa matamasha ya muziki nchini. Eric Omondi amesema wasaanii wanapaswa kulipwa asilimia 70 ya pesa kabla ya show na inayobaki wapewe wakishafika kwenye eneo ambalo show itafanyika. Lakini pia hajaishia hapo amewataka waandaji wa matamasha […]

Read More
 PENZI LA TANASHA DONNA NA OMAH LAY  LAKOLEA MITANDAONI

PENZI LA TANASHA DONNA NA OMAH LAY LAKOLEA MITANDAONI

Moja kati ya headlines zinazo gonga vichwa vya habari mtandaoni ni issue inayomtaja mwanamuziki wa Nigeria Omah Lay kutoka kimapenzi na staa wa muziki nchini Tanasha Donna, sakata ambalo kila mtu analizungumzia katika namna yake. Katika nyakati tofauti tofauti kwa pamoja kupitia insta story zao kwenye mtandao wa Instagram Wawili hao wameshare picha zinazo onekana […]

Read More