KHADIJA KOPA AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU ISHU YA DIAMOND KUTOKA KIMAPENZI NA ZUCHU

KHADIJA KOPA AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU ISHU YA DIAMOND KUTOKA KIMAPENZI NA ZUCHU

Moja kati ya headlines zinazo gonga vichwa vya habari mtandaoni ni issue inayomtaja mwanamuziki diamond platnumz kutaka kumuoa mwanamuziki mwenzake zuchu , sakata ambalo kila mtu analizungumzia katika namna yake. Sasa mama mzazi wa zuchu, Khadija Kopa amezungumzia kile kinachoitwa penzi jipya mtandaoni kati ya binti yake, Zuchu na Diamond Platnumz. Kwenye mahojiano Kopa  ambaye […]

Read More
 BEBE COOL KUZINDUA TUZO YAKE YA MUZIKI AMBAYO ITAGHARIMU SHILLINGI MILLIONI 127

BEBE COOL KUZINDUA TUZO YAKE YA MUZIKI AMBAYO ITAGHARIMU SHILLINGI MILLIONI 127

Msanii mkongwe kwenye muziki nchini Uganda Bebe Cool alitangaza mwishoni mwaka 2021 aliahidi kuzindua tuzo yake ya kila mwaka kwa ajili ya kutambua juhudi za wasanii wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya muziki nchini Uganda. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni Bebe Cool amesema ametanga shillingi millioni 127 za Kenya ambayo itatumika kuendesha shughuli ya kuzindua […]

Read More
 KODAK BLACK: SIJAWAHI KUMALIZA MWAKA BILA KWENDA JELA

KODAK BLACK: SIJAWAHI KUMALIZA MWAKA BILA KWENDA JELA

Rapa kutoka nchini Marekani, Kodak Black amesema mwaka 2022 anataka kuiondoa laana ya kwenda jela tofauti na miaka mingine. Kodak Black amesema tangu atimize miaka 14 hajawahi kumaliza mwaka bila kwenda jela na kwa sasa anataka abadili historia hiyo. Kodak Black ameongeza kwa kusema kwa sasa ameshaachana na mwenendo mbaya wa maisha na nguvu zake […]

Read More
 CAVANI BADO YUPO YUPO MANCHESTER UNITED

CAVANI BADO YUPO YUPO MANCHESTER UNITED

Baada ya tetesi kuwa staa wa Uruguay ambaye anaichezea Manchester United, Edson Cavani anasitisha mkataba wake na klabu hiyo ya England, majibu yamepatikana. Ralf Rangnick ambaye ni kocha wa timu hiyo amethibitisha kuwa Cavani bado yupo Manchester United na hana mpango wa kuhamia Barcelona kama ilivokuwa ikidaiwa. “Cavani hatoondoka Januari hii, tulikaa nae tukaelewana vizuri […]

Read More
 PIA PONDS KUFUNGULIA MASHTAKA PROMOTA KWA KUMSUSHIA TAARIFA UONGO

PIA PONDS KUFUNGULIA MASHTAKA PROMOTA KWA KUMSUSHIA TAARIFA UONGO

Msanii wa kike nchini Uganda Pia Ponds amekanusha tuhuma zilizoibuliwa na promota kuwa alidinda kutumbuiza kwenye onyesho la mkesha wa mwaka mpya  lilofanyika jiji London Uingereza licha ya kulipwa pesa zote. Kupitia mitandao yake kijamii Pia Ponds amesema mapromota onesho hilo hawakumlipa pesa zake zote lakni pia walikwenda kinyume na maktaba walioweka kabla ya shoo. […]

Read More
 ALBAMU MPYA KHALIGRAPH JONES INVISIBLE CURRENCY KUTOKA MUDA WOWOTE KUTOKA SASA

ALBAMU MPYA KHALIGRAPH JONES INVISIBLE CURRENCY KUTOKA MUDA WOWOTE KUTOKA SASA

Mkali wa muziki wa Hiphop nchini Khalighraph Jones yupo tayari kuiboresha playlist yako hivi karibuni, Kwa mujibu wa Papa Jones anasema albamu yake mpya kutoka studio “Invisible Currency” itaingia sokoni mwezi huu wa Januari. Khalighraph Jones ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo ameandika ” Happy New year Everybody, 2022 we elevate, now […]

Read More
 DIANA MARUA AFUTA VIDEO YA TUHUMA ZA UBAKAJI DHIDI YA WILLY PAUL YOUTUBE

DIANA MARUA AFUTA VIDEO YA TUHUMA ZA UBAKAJI DHIDI YA WILLY PAUL YOUTUBE

Mwanamitandao aliyegeukia muziki  Diana Marua amefuta video aliyotengeneza akidai kuwa staa wa muziki nchini Willy Paul alijaribu kumbaka. Hii ni baada ya  mahakama ya Milimani kutoa amri  ikimtaka Diana Marua kufuta video ambayo alipakia YouTube mnamo Desemba 9  yenye jina la ‘My Untold Story, Willy Paul tried to rape me’ ikielezwa kuwa madai yake yameathiri […]

Read More