MBOSSO MUHANGA WA KAZI ZILIZOPOTEA KWA PRODYUZA MOCCO GENIUS

MBOSSO MUHANGA WA KAZI ZILIZOPOTEA KWA PRODYUZA MOCCO GENIUS

Mwanamuziki kutoka WCB Wasafi Mbosso amekuwa moja wahanga waliopoteza kazi zao za muziki kwa prodyuza wa muziki wa Bongofleva Mocco Genius . Prodyuza huyo ambaye ametengeneza mikwaju mingi iliyofanya vizuri zikiwemo nyimbo za Zuchu, ametangaza kupoteza data muhimu zenye kazi za wasanii tofauti tofauti zaidi ya 500, ambapo Mbosso kupitia post ya mtayarishaji huyo kwenye […]

Read More
 SHATTA WALE AMVUA NGUO BURNA BOY, ATOA MATUSI MAZITO

SHATTA WALE AMVUA NGUO BURNA BOY, ATOA MATUSI MAZITO

Bifu la Shatta Wale wa Ghana na Burna Boy wa Nigeria linaendelea kushika kasi, Shatta Wale ameibuka na kuweka wazi kuwa yupo tayari kuingia ulingoni na African giant, Burna Boy. Kupitia mfululizo wa tweets za matusi katika mtandao wa Twitter  Shatta Wale alionekana mwenye hasira huku akitoa vitisho kwa Burna Boy asikanyaga kwenye ardhi ya […]

Read More
 DR. DRE KUMLIPA EX WAKE ZAIDI YA BILLIONI 11

DR. DRE KUMLIPA EX WAKE ZAIDI YA BILLIONI 11

Mahakama imemuamuru mtayarishaji nguli wa muziki duniani Dr. Dre kumlipa aliyekuwa mke wake Nicole Young zaidi ya Shilingi bilioni 11za Kenya baada ya kuvunjika kwa ndoa yao Kwa mujibu wa Tmz Dr Dre anatakiwa kuanza kulipa kiwango nusu cha pesa hiyo na nyingine kumalizia ndani ya mwaka mmoja. Hapo awali Nicole Young alitaka agawane mali […]

Read More
 KAMPUNI YA DIOR WASITISHA MKATABA WAO NA RAPA TRAVIS SCOTT

KAMPUNI YA DIOR WASITISHA MKATABA WAO NA RAPA TRAVIS SCOTT

Kampuni ya Fashion ya Dior imeamua kusitisha mkataba wake na Rapa Travis Scott, mkataba uliokuwa uanze mwakani 2022 kutokana na kisa kilichomkuta msanii huyo katika tamasha lake la Astro world ambapo watu 10 walipoteza maisha. Kampuni hiyo imesema imefikia uamuzi huo kama heshima kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika Tamasha la Msanii huyo. Hivyo, hakutakuwa […]

Read More
 EX WA RAY G ADAI HAJUTII KITENDO CHA KUFURAHIA MSIBA ULIOMKUTA MSANII HUYO WA UGANDA

EX WA RAY G ADAI HAJUTII KITENDO CHA KUFURAHIA MSIBA ULIOMKUTA MSANII HUYO WA UGANDA

Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Ray G, Elizabeth Namara amevunja kimya chake baada ya kuonekana akisherehekea kifo cha Binti wa msanii huyo. Kupitia video ya moja kwa moja iliyoweka kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, Elizabeth Namara amethibitisha kuwa hajutii kitendo chake cha kufurahia msiba uliomkuta Ray G ambapo amewaonya wanaomkosa  waache kufuatilia na masaibu […]

Read More
 NADIA MUKAMI KUMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA HIVI KARIBUNI

NADIA MUKAMI KUMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA HIVI KARIBUNI

Msanii nyota nchini Nadia Mukami ametangaza kumtambulisha msanii wake mpya chini lebo ya muziki ya Sevens Creative hub mwanzoni mwa mwaka wa 2022. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema atamsaini msanii wake mpya chini ya Seven Creative Hub mwezi Januari mwaka wa 2022 ambapo amewataka mashabiki zake wakae mkao wa kumpokea msanii huyo ambaye pia […]

Read More
 MASHABIKI WAMVAA REKLESS KWA MADAI YA KUSUSIA SHOW TURKANA

MASHABIKI WAMVAA REKLESS KWA MADAI YA KUSUSIA SHOW TURKANA

Mashabiki wa msanii wa muziki wa gengetone Rekless wameghadhabishwa na hatua ya msanii huyo wa kundi la Ethic Entertainment kukosa kutokea kwenye Onesho la Colour Fest lilofanyika katika hoteli ya kifahari ya Ceamo Village viungani mwa mji wa Lodwar. Kulingana na mashabiki hao walipigwa na butwaa baada Rekless kushindwa kutokea kwenye onesha la Colour Fest […]

Read More
 MAHAKAMA YAMUAMURU DIANA MARUA KUFUTA VIDEO YA TUHUMA ZA UBAKAJI DHIDI YA WILLY PAUL

MAHAKAMA YAMUAMURU DIANA MARUA KUFUTA VIDEO YA TUHUMA ZA UBAKAJI DHIDI YA WILLY PAUL

Mahakama ya Milimani nchini Kenya imemuamuru Diana Marua kufuta video aliyotengeneza akidai kuwa mwanamuziki Willy Paul alijaribu kumbaka. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Willy Paul alichapisha picha ya karatasi ya amri za mahakama iliyotiwa saini na hakimu mkuu mwandamizi D.W Mburu. Amri hiyo ya mahakama inamtaka Diana Marua kufuta video ambayo alipakia YouTube mnamo Desemba […]

Read More