BAHATI ATUHUMIWA KUIBA IDEA YA WIMBO WA JE UNANIFIKIRIA KUTOKA KWA MARIOO

BAHATI ATUHUMIWA KUIBA IDEA YA WIMBO WA JE UNANIFIKIRIA KUTOKA KWA MARIOO

Mkali wa muziki nchini Bahati ameingia tena katika mijadala kwenye mitandao nchini  baada ya kudaiwa kuiba  idea ya wimbo wa  ‘For You’ wa msanii  wa Bongofleva Marioo Kulingana na ripoti inayosambaa mitandaoni, inadaiwa Bahati ametumia mdundo na ubunifu wa video wa wimbo huo kwenye wimbo wake mpya wa”Je unanifikiria”, hivyo kuibua maswali mengi miongoni mwa […]

Read More
 BEBE COOL AWACHANA WAANDAJI WA TUZO ZA MUZIKI UGANDA

BEBE COOL AWACHANA WAANDAJI WA TUZO ZA MUZIKI UGANDA

Mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda Bebe Cool amewatolea uvivu waandaji wa tuzo za muziki nchini humo kwa kuwapa wasanii tuzo ambazo hazina muhimu wowote. Akiwa kwenye moja ya Interview Bebe Cool amesema waandaji wa tuzo nchini Uganda wamekuwa na mazoea ya kuwapa wasanii tuzo ambazo msanii hawezi uuza na akapata pesa za kujikimu kimaisha. […]

Read More
 PROFESSOR JAY ADOKEZA KOLABO YAKE NA G-NAKO

PROFESSOR JAY ADOKEZA KOLABO YAKE NA G-NAKO

Nyota wa muziki wa Bongofleva Professor Jay ametangaza ujio wa ngoma yake mpya ambayo amemshirikisha G-nako. Rapa huyo mkongwe wa muziki nchini Tanzania ametuweka wazi hilo kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii huku picha ikimuonesha akiwa studio na mtayarishaji Bin Laden wa Tongwe Records. Ni muendelezo wa Kolabo zake na vijana wa sasa kwenye […]

Read More
 TANASHA DONNA AFUNGUKA SABABU ZA KUPUNGUA KWA VIEWERS YOUTUBE

TANASHA DONNA AFUNGUKA SABABU ZA KUPUNGUA KWA VIEWERS YOUTUBE

Nyota wa muziki nchini Tanasha Donna amefunguka kuwa awali alilazimshwa kufanya mziki ambao hakumpenda ilipata watazamaji wengi wa haraka kwenye mtandao wa youtube. Kwenye kikao cha maswali na majibu aliyokuwa anafanya na mashabiki zake kwenye mtandao wa Instagram, Tanasha amesema kuwa sababu kuu ni kuwa amebadilisha aina ya mziki anaofanya na ni mziki anaopenda kando […]

Read More
 DAVIDO ALAMBA DILI NONO LA KUWA BALOZI WA KAMPUNI YA PUMA

DAVIDO ALAMBA DILI NONO LA KUWA BALOZI WA KAMPUNI YA PUMA

Davido ametangaza kusaini dili nono la kuwa balozi wa kampuni maarufu ya mavazi ya michezo duniani PUMA. Mkali huyo kutoka nchini Nigeria atakuwa na jukumu la kuitangaza kampuni hiyo kwenye soko la Afrika ambalo linakuwa kwa kasi. Kwa mujibu wa ripoti, inaelezwa kuwa Davido pia atakuwa na jukumu la kuitangaza PUMA kwenye eneo la kusini […]

Read More
 RAYVANNY KUSHIRIKI KWENYE ZIARA YA MALUMA “PAPI JUANCHO” MWAKA WA 2022

RAYVANNY KUSHIRIKI KWENYE ZIARA YA MALUMA “PAPI JUANCHO” MWAKA WA 2022

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania, Raynvanny amehisiwa kuwa huwenda akashiriki ziara ya kimataifa ya nyota wa muziki wa nchini Colombia, Maluma. Rayvanny anahisiwa kuwa atashiriki ziara hiyo iliyopewa jina la album ya tano ya Maluma ‘Papi Juancho’ inayotarajiwa kuanza rasnu Februari 2021. Hii ni baada ya ujumbe wa Rayvanny kupitia ukurasa wake wa Instagram […]

Read More
 NADIA MUKAMI KUMCHUKULIA HATUA KALI ALIYEFUTA VIDEO YA WIMBO WA TESA YOUTUBE

NADIA MUKAMI KUMCHUKULIA HATUA KALI ALIYEFUTA VIDEO YA WIMBO WA TESA YOUTUBE

Staa wa muziki nchini Nadia Mukami ameonyesha kusikitishwa na kitendo cha wimbo wake wa Tesa aliyomshirikisha fena Gitu na Khalighraph Jones kuondolewa kwenye mtandao wa youtube kwa madai ya hakimiliki. Kupitia ukurasa wake wa instagram Nadia Mukami amehapa kupambana na msanii aliyesababisha wimbo wake kuondolewa kwenye mtandao wa youtube kwa kusema kwamba yupo tayari kutumia […]

Read More
 ABBY CHAMS ADAI CHANGAMOTO YA KUTONGOZWA NA MAPRODYUZA KARIBU IMFANYE AACHE MUZIKI

ABBY CHAMS ADAI CHANGAMOTO YA KUTONGOZWA NA MAPRODYUZA KARIBU IMFANYE AACHE MUZIKI

Msanii wa Bongofleva, Abby Chams anasema amepitia changamoto katika harakati zake kama msanii wa kike hasa katika mchakato wa uandishi wa muziki, kurekodi na kuhakikisha kwamba wimbo wake unasikizwa na umma. Abby anasema kwamba kwa miaka mingi tangu aanze safari ya muziki amekabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kutongozwa na watayarishaji wa muziki na waelekezi wa […]

Read More
 ANGELINA ATANGAZA KUHAMIA UGANDA NA KUFANYA MUZIKI RASMI

ANGELINA ATANGAZA KUHAMIA UGANDA NA KUFANYA MUZIKI RASMI

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Angelina ni moja kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kimataifa.. Mrembo huyo mzaliwa wa London, Uingereza ameachia ngoma kali kama Ghetto Loving, Go Down na nyingine ambazo ziliacha alama kwenye tasnia ya muziki nchini Uganda. Sasa akiwa kwenye mahojiano na Galaxy FM  Angelina amedokeza mpango wa kuhamia nchini uganda kwa […]

Read More
 50 CENTS ATANGAZA KUJA NA SERIES MPYA “QUEEN NZINGA”

50 CENTS ATANGAZA KUJA NA SERIES MPYA “QUEEN NZINGA”

Mkongwe wa muziki wa Hiphop kutoka Marekani 50 Cent ameuweka muziki kando, anaendelea kujikita kwenye upande wa kutayarisha filamu na vipindi vya televisheni. Siku chache baada ya kutangaza kuja na series ‘Murder Was the Case’ ambayo itagusia historia ya kweli ya rapa Snoop Dogg, 50 Cent ametangaza tena ujio wa series mpya nyingine chini ya […]

Read More
 BIG SEAN AMJIBU KANYE WEST,ADAI ALICHOKISEMA KWENYE MAHOJIANO NA DRINKS CHAMPS NI UJINGA

BIG SEAN AMJIBU KANYE WEST,ADAI ALICHOKISEMA KWENYE MAHOJIANO NA DRINKS CHAMPS NI UJINGA

Rapa kutoka nchini marekani Big Sean amesema anampenda sana Kanye West na anampa heshima zote kwa upendo aliomuonesha kumshika mkono hadi kufahamika, lakini kwa alichokisema kwenye mahojiano na Drink Champs mwezi Novemba mwaka huu ni ujinga mtupu. Big Sean amekuwa mgeni mpya wa Drink Champs, kipindi ambacho kitaruka Jumamosi hii, Sean amesikika akisema “Nampenda Kanye. […]

Read More
 ARROW BOY AKANUSHA TUHUMA ZA KUWA NA BABY MAMA

ARROW BOY AKANUSHA TUHUMA ZA KUWA NA BABY MAMA

Nyota wa muziki nchini Arrow Boy amekanusha tuhuma za kumtekeleza Baby mama wake. Akijibu swali la shabiki yake aliyetaka kujua kama ana mtoto kwenye kikao cha maswali na majibu kwenye mtandao wa instagram Hitmaker huyo wa usinimwage amesema hana mwanamke yeyote zaidi ya Nadia Mukami. Ikumbukwe mwezi Agosti mwaka huu Arrow Boy alituhumiwa kumtekeleza Baby […]

Read More