G NAKO AWABARIKI MASHABIKI NA KITIMOTO MINITAPE

G NAKO AWABARIKI MASHABIKI NA KITIMOTO MINITAPE

G-nako ni kati ya ma rappers wanaojua nini cha kuwapa mashabiki wao na kwa muda gani! Rapper huyo ambaye ni moja ya wanoaunda kundi la Weusi mara zote huwa hafanyi kazi mbovu, iwe ni ya kwake au ameshirikishwa. Kwa kujali mashabiki wake kuelekea mwishoni mwa mwaka 2021, G-Nako ameachia Minitape ambayo ameipa jina la ‘Kitimoto’ […]

Read More
 RAGGA DEE AWACHARUKIA WANAOKOSOA TUZO ZA JANZI AWARDS 2021

RAGGA DEE AWACHARUKIA WANAOKOSOA TUZO ZA JANZI AWARDS 2021

Msanii mkongwe kutoka Uganda Ragga Dee amezikingia kifua tuzo za Janzi Awards akisema tuzo hizo ni tofauti na tuzo ambazo tayari zimeandaliwa nchini Uganda. Tuzo hizo ambazo ziliandaliwa wiki hii iliyopita imekosolewa na baadhi ya wasanii kwa kukosa uwazi. Ragga dee amesema tuzo za Janzi zina dhamana kubwa ya takriban shillingi 112,998.26 za Kenya, hivyo […]

Read More
 AKOTHEE ALAZWA HOSPITALI BAADA YA KUUGUA GHAFLA

AKOTHEE ALAZWA HOSPITALI BAADA YA KUUGUA GHAFLA

Staa wa muziki ambaye pia ni mfanyabiashara nchini Akothee amelazwa hospitali kwa mara nyingine mara baada ya kuugua ghafla. Akothee ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kusema kwamba alikimbizwa hospitali Disemba 11 alipougua ghafla nyumbani kwake. Hitmaker huyo wa “Sweet Love”  amesema ameshindwa kubaini maradhi yanayomsibu ila kwa sasa ni mwingi wa […]

Read More
 KOCHA WA TUSKER ROBERT MATANO AKIRI KUUMIZWA NA HATUA YA BONIFACE MUCHIRI KUJIUNGA NA ULINZI STARS

KOCHA WA TUSKER ROBERT MATANO AKIRI KUUMIZWA NA HATUA YA BONIFACE MUCHIRI KUJIUNGA NA ULINZI STARS

Kocha wa Klabu ya Tusker Robert Matano amedai kwamba hatamzuia nyota wa timu ya taifa Harambee Stars Boniface Muchiri kuondoka klabuni humo. Matano amesema ameumizwa na kitendo cha mchezaji wake Boniface kucheza mechi yake ya mwisho kwenye klabu hiyo ikizingatiwa alikuwa kiungo muhimu kwenye klabu ya Tusker FC. Hata hivyo Matano amekiri kwamba haijakuwa jambo […]

Read More
 BRIANA AMTOA HARMONIZE KWENYE ULIMWENGU WA ANDROID

BRIANA AMTOA HARMONIZE KWENYE ULIMWENGU WA ANDROID

Mpenzi wa Harmonize, Briana amemzawadi bosi huyo wa lebo ya muziki ya Konde Gang Worldwide simu aina ya i-Phone 13. Harmonize amethibitisha hilo kupitia InstaStory yake kwenye mtandao wa Instagram ambapo ameonyesha kuanza kutumia simu aina iphone kwa mara ya kwanza.  Hitmaker huyo wa “Teacher” amempongeza mpenzi wake mpya Briana kwa kusema kwamba amekuwa chachu […]

Read More
 BILLIE EILISH AJUTA KUTIZAMA VIDEO ZA NGONO AKIWA MDOGO

BILLIE EILISH AJUTA KUTIZAMA VIDEO ZA NGONO AKIWA MDOGO

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Billie Eilish amesema kutazama video za ngono mtandaoni kuliharibu ubongo wake kwani alianza kuzitazama akiwa mdogo. Billie ambaye kwa sasa ana miaka 19 amesema hay wakati akihojiwa kwenye The Howard Stern Show. “Kama mwanamke, nadhani video za ngono ni aibu,” alisema kwenye mahojiano hayo. “Nilikuwa naziangalia sana, kusema ukweli. Nilianza kuangalia […]

Read More
 ED SHEERAN AKOSHWA NA WIMBO WA PERU WAKE FIREBOY DML

ED SHEERAN AKOSHWA NA WIMBO WA PERU WAKE FIREBOY DML

Mwimbaji hodari wa nchini Uingereza Ed Sheeran amezimika na dundo la Fireboy DML ‘Peru’ hivyo ameamua kufanya Remix ya wimbo huo. Kwenye mahojiano na Elton John, Ed Sheeran amesema mkali huyo kitoka nchini Nigeria alimtafuta kupitia mtu mwingine na kuomba aibariki ngoma hiyo. Baada ya kuisikiliza, Ed Sheeran anakiri kwamba ilimuingia na kumtengenezea uraibu (addiction) […]

Read More