MEEK MILL KUTOA MSAADA WA SHILLINGI MILLIONI 56.7 MSIMU HUU WA SIKUKUU MJINI KWAO PHILADELPHIA

MEEK MILL KUTOA MSAADA WA SHILLINGI MILLIONI 56.7 MSIMU HUU WA SIKUKUU MJINI KWAO PHILADELPHIA

Rapa kutoka nchini Marekani Meek Mill anarudisha fadhila kwao, tovuti ya TMZ imeripoti kwamba rapa huyo atatumia zaidi ya shillingi milllioni 56.7 za Kenya kwa ajili ya kutoa zawadi pamoja na mahitaji mengine mbali mbali kwa familia zenye uhitaji mjini kwao Philadelphia msimu huu wa Sikukuu. Meek Mill ambaye alizaliwa na kukulia Philadelphia amepanga kutoa […]

Read More
 SPICE DIANA AWACHANA WANAKOSOA MUZIKI WAKE,ADAI WAMELIPWA KUMSHUSHA KIMUZIKI

SPICE DIANA AWACHANA WANAKOSOA MUZIKI WAKE,ADAI WAMELIPWA KUMSHUSHA KIMUZIKI

Staa wa muziki nchini Uganda Spice Diana amewatolea uvivu watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaodai muziki wake ni takataka. Kupitia video aliyochapisha kwenye mitandao yake ya kijamii Spice Diana amesema ana mashabiki wengi wa muziki Afrika mashariki ambao wanapenda muziki wake,  hivyo hatatishwa na watu wachache ambao wamelipwa kumharibia jina. Hitmaker huyo wa “Upendo” amesema […]

Read More
 RINGTONE ATIA NENO SAKATA LA WILLY PAUL NA DIANA MARUA

RINGTONE ATIA NENO SAKATA LA WILLY PAUL NA DIANA MARUA

Baada ya sakata la Willy Paul na Diana Marua kugonga vichwa vya habari nchini Staa wa muziki wa injili Ringtone ameamua kuvunja kimya chake juu ya suala hilo. Akipiga stori na online Media Ringtone ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba Wakenya wamechoshwa na kile ambacho kinaendelea kati ya Willy Paul, Bahati na Diana Marua, hivyo […]

Read More
 TEMS AKUMBUKA MAGUMU ALIYOPITIA GEREZANI UGANDA

TEMS AKUMBUKA MAGUMU ALIYOPITIA GEREZANI UGANDA

Mwanamuziki wa kike kutoka nchini Nigeria Tems amekumbuka kipindi ambacho aliwekwa gerezani mwishoni mwa mwaka 2020 nchini Uganda. Kupitia akaunti yake ya Twitter Terms ameandika “ Nyakati kama hizi mwaka jana nilikua gerezani na watoto na kina mama nchini Uganda. Sitaki kuamini vitu nilivyo viona” Ikumbukwe Terms pamoja na mwanamuziki omahlay walitiwa mbaroni nchini Uganda […]

Read More
 AUBAMEYANG AVULIWA KITAMBAA CHA UNAHODHA  ARSENAL

AUBAMEYANG AVULIWA KITAMBAA CHA UNAHODHA ARSENAL

Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang amevuliwa kitambaa cha Unahodha katika Klabu ya Arsenal. Hii imekuja kufuatia vitendo vya utovu wa nidhamu baada ya kuchelewa kuwasili toka Ufaransa safari ambayo haikuwa rasmi. Kocha Mikel Arteta ametangaza rasmi hilo leo kwenye mkutano na Waandishi wa habari kuelekea mchezo wa West Ham Aubameyang ambaye ni nyota wa timu ya Taifa […]

Read More
 KOFFI OLOMIDE AFUTIWA MASHTAKA YA KUWASHAMBULIA KIGONO DANCERS WAKE.

KOFFI OLOMIDE AFUTIWA MASHTAKA YA KUWASHAMBULIA KIGONO DANCERS WAKE.

Mahakama ya rufaa nchini Ufaransa imemuondolea Koffi Olomide mashtaka ya kuwashambulia kingono dancers wake wanne, lakini imemhukumu kwa kuwashikilia pasipo ridhaa yao. Mahakama hiyo ya huko Versailles, haijamkuta Koffie na hatia ya ubakaji ambapo jaji amedai kuwa ushahidi wa walalamikaji ulikuwa unakinzana na wenye kubadilikabadilika. Hata hivyo imemhukumu kwa kuwanyima uhuru dancers hao kwa kuwaweka […]

Read More
 WILLY PAUL APOTEZA TAKRIBAN SHILLINGI MILLIONI 96 BAADA YA TUHUMA ZA UBAKAJI KUIBULIWA DHIDI YAKE

WILLY PAUL APOTEZA TAKRIBAN SHILLINGI MILLIONI 96 BAADA YA TUHUMA ZA UBAKAJI KUIBULIWA DHIDI YAKE

Staa wa muziki nchini Willy Paul amedai kwamba amepoteza takriban shillingi millioni 96 tangu diana marua amtuhumu kuwa alijaribu kumbaka. Kupitia waraka aliyochapisha kwenye ukurasa wake Instagram Willy Paul amesema amepoteza matangazo ya takriban shillingi millioni 10 kutoka kwa kampuni moja ya mawasilioni, shillingi milioni 4 kutoka kwa kampuni ya magodoro na dili la kurekodi […]

Read More
 BABY MAMA WA MULAMWAH CAROL SONNIE AWACHARUKIA WANAOMPONDA MTANDAONI

BABY MAMA WA MULAMWAH CAROL SONNIE AWACHARUKIA WANAOMPONDA MTANDAONI

Baby mama wa mchekeshaji Mulamwah, Carol Sonnie amesikitisha na namna baadhi ya watu ambao wameanza kufanya mzaha na ishu ya kuachana na mchekeshaji huyo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Carol Sonnie ameandika waraka mrefu akiwataka wanaotumia picha yake wakidai kwamba wanachumbia kushusha picha hizo ujumbe ambao umetafsiriwa unamlenga mchekeshaji Propesa ambaye juzi kati alipost picha […]

Read More