VANESSA MDEE MBIONI KUONGEZA MTOTO WA PILI NA ROTIMI

VANESSA MDEE MBIONI KUONGEZA MTOTO WA PILI NA ROTIMI

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee ni kama amenogewa na watoto, baada ya kumpata mtoto wake wa kwanza (Seven Adeoluwa Akinosho) na Rotimi mwezi Septemba mwaka huu. Vee Money leo kupitia ukurasa wake wa Instagram,ametangaza matamanio yake ya kuongeza mtoto mwingine. Vanessa ameweka video ya Rotimi akimbebeleza mtoto wao huyo wa Kiume na kisha kuacha caption […]

Read More
 CHRISTIAN BELLA AACHIA RASMI SWEET MELODY EP

CHRISTIAN BELLA AACHIA RASMI SWEET MELODY EP

Hatimaye msanii wa muziki wa dansi mwenye asili ya Congo Christian Bella amekata kiu ya mashabiki zake na EP mpya inayokwenda kwa jina la Sweet Melody. Christian Bella ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye jumla ya mikwaju 6 ya moto huku ikiwa na kolabo 3 ambazo amewashirikisha wakali kama Champagne, […]

Read More
 SIZE 8 ATAWAZWA RASMI KUWA KASISI

SIZE 8 ATAWAZWA RASMI KUWA KASISI

Sasa ni rasmi msanii nyimbo za injili nchini Size 8 ametawazwa kuwa mhubiri baada ya kukabidhiwa cheti rasmi ya kuhudumu kama mtumishi wa Mungu. Taarifa hiyo imethibitisha na Size 8 mwenyewe kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kushare baadhi ya picha ya kutawazwa kwake kuwa mhubiri,  hafla ambayo iliongozwa na kasisi Kelvin Ephraim na Jackie […]

Read More
 RAYVANNY ASHINDA TUZO UGANDA

RAYVANNY ASHINDA TUZO UGANDA

Mwanamuziki Rayvanny ameongeza tuzo katika kabati lake la tuzo baada ya kushinda tuzo ya Hipipo Music Award katika kipengele cha African Best Act 2021. Tuzo hizo kutoka Uganda zimemtaja Rayvanny kushinda tuzo kupitia wimbo wa Mama Tetema ambao ameshirikishwa na mwanamuziki kutoka Colombia Maluma, wimbo ambao ni Remix version ya wimbo wake wa Tetema. Wimbo […]

Read More
 TRAVIS SCOTT AONDOLEWA KWENYE ORODHA YA WATUMBUIZAJI WA TAMASHA LA COACHELLA 2022

TRAVIS SCOTT AONDOLEWA KWENYE ORODHA YA WATUMBUIZAJI WA TAMASHA LA COACHELLA 2022

Rapa kutoka nchini Marekani Travis Scott ameondolewa kwenye orodha ya watumbuizaji wa tamasha la Coachella kwa mwaka 2022 kufuatia tukio la vifo vya watu 10 kwenye tamasha lake Astroworld Festival mwezi November mwaka huu. Hii imekuja mara baada ya watu kuleta mapingamizi mtandaoni wakitaka rapa huyo kuondolewa kwenye orodha ya watumbuizaji, mapingamizi ambayo yalifikia saini […]

Read More
 SYLVIA SSARU ATANGAZA UJIO MPYA MWAKANI

SYLVIA SSARU ATANGAZA UJIO MPYA MWAKANI

Wakati tukielekea ukingoni kabisa mwa mwaka 2021, na kuukaribisha mwaka 2022, Female rapper kutoka Kenya anayetajwa kuwa na sauti ya kipekee yenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni, mwanadada Sylvia Ssaru ameweka wazi kuwa  mwakani ataachia album yake mpya. Lengo Ssaru ni kukata kiu ya mashabiki wake ambao wanatamani kuisikia sauti ya mwimbaji huyo hodari nchini […]

Read More
 SAUTI SOL,DIAMOND PLATINUMZ NA NANDY WANG’ARA KWENYE TUZO ZA AFRIMMA 2021

SAUTI SOL,DIAMOND PLATINUMZ NA NANDY WANG’ARA KWENYE TUZO ZA AFRIMMA 2021

Zoezi la ugawaji wa tuzo za muziki za AFRIMMA  kwa mwaka 2021 limehitimishwa usiku wa kuamkia huko Multiple Venues nchini Marekani. Mastaa kadhaa wameweza kujishindia tuzo hiyo kubwa ya muziki kama vile Wizkid, Flavour,  Fally Ipupa, Focalistic,Ruger na wengine wengi, pia tumeshuhudia tena wasanii kutoka Tanzania na Kenya wakiendelea kufanya vyema. Mwaka huu Afrika mashariki […]

Read More
 GIGY MONEY ADAI ALIKIBA ANATUMIA BIFU YAKE NA DIAMOND PLATINUMZ KUINGIZA KIPATO

GIGY MONEY ADAI ALIKIBA ANATUMIA BIFU YAKE NA DIAMOND PLATINUMZ KUINGIZA KIPATO

Msanii wa Bongofleva, Gigy Money amedai kuwa Alikiba ananufaika zaidi na bifu yake na Diamond Platnumz.  Akizungumza na Wanahabari jana katika hafla ya uzinduzi wa WasafiBet, Gigy amedai hilo ndio linafanya hawapatani kwani wote kuna namna wananufaika. “Alikiba ananufaika zaidi na bifu na Diamond, unataka kukataa?, wapatane basi, kwani shida ni nini?, kuna mtu kamuulia […]

Read More