WHATSAPP KUWEKA MFUMO WA KUPOKEA NA KUTUMA CRYPTO
Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1. WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa moja kwa moja katika WhatsApp kwa kuunganisha Wallet […]
Read More