SAUTI SOL KUJA NA ONESHO MAALUM KWA MASHABIKI ZAO DISEMBA 13
Kundi la muziki nchini Sauti Sol limetangaza kuja na tamasha spesheli kwa mashabiki wao wa kigeni ambao hawatapata nafasi yà kuhudhuria show yao ya Sol Fest wikiendi hii. Kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram Sauti Sol wamesema Desemba 13 mwaka huu wataanda tamasha spesheli kwa mashabiki zao walioko nje ya Kenya kwa ushirikiano na umoja […]
Read More