GRAMMY WARIDHIA OMBI LA DRAKE KUJIONDOA KWENYE TUZO HIZO 2022

GRAMMY WARIDHIA OMBI LA DRAKE KUJIONDOA KWENYE TUZO HIZO 2022

Hatimaye teuzi mbili za rapa Drake za tuzo za Grammy kwa mwaka 2022 zimeondolewa kwenye tovuti rasmi. Kwa mujibu wa taarifa, uamuzi huo umefikia kutokana na ombi la Drake na uongozi wake. Chanzo kotoka Recording Academy kimeiambia Newsbeat kwamba, Academy ilichagua kuheshimu matakwa yake. Hata hivyo sababu za hilo bado hazijafahamika, na wawakilishi wa rapa […]

Read More
 MTOTO WA NICK CANNON AFARIKI DUNIA KWA SARATANI YA UBONGO

MTOTO WA NICK CANNON AFARIKI DUNIA KWA SARATANI YA UBONGO

Staa wa vipindi vya tv, na mchekeshaji toka Marekani, Nick Cannon ametangaza kumpoteza mtoto wake wa Kiume Zen aliyekuwa na umri wa miezi mitano. Akizungumza hilo kwa mara ya kwanza jana Jumanne kupitia show yake ya The Nick Cannon Show, amesema mtoto huyo amefariki kufuatia kusumbuliwa na saratani ya ubongo. “Over the weekend I lost […]

Read More
 BRUNO K ASIKITISHWA NA HATUA YA WASANII UGANDA KUKOSA UMOJA

BRUNO K ASIKITISHWA NA HATUA YA WASANII UGANDA KUKOSA UMOJA

Bruno K ni mtu mwenye moyo wa uhuruma na mara nyingi amekuwa akionyeshwa ukarimu wake kupitia vitendo kwa watu wenye uhitaji katika jamii. Juzi kati alimchukua msanii, Oscar Bigtym (Scar) ambaye alikuwa akilala kwa vibanda huku akiuza vyuma kujikimu kimaisha. Oscar Bigtym alikuwa moja kati ya wasanii waliokuwa wanafanya vizuri nchini uganda lakini alipoteza mweelekeo […]

Read More
 VINKA AKIRI HADHARANI UOGA WA KUFANYA KAZI NA SONY MUSIC

VINKA AKIRI HADHARANI UOGA WA KUFANYA KAZI NA SONY MUSIC

Staa wa muziki kutoka Uganda Vinka amekiri  kwamba aliogopa kusaini mkataba na lebo ya muziki ya Sony music, alipotafutwa na lebo hiyo kubwa duniani. Hitmaker huyo “Thank God” amesema alikuwa ameridhishwa na utendakazi wa usimamizi wake wa Swangz Avenue, hivyo hakuona umuhimu wa kufanya kazi na lebo nyingine ya muziki. Vinka amesema kwa sasa anafurahia […]

Read More
 G-NAKO KUWABARIKI MASHABIKI NA MINI TAPE IJUMAA HII

G-NAKO KUWABARIKI MASHABIKI NA MINI TAPE IJUMAA HII

Rapa mahiri kutoka kundi la Weusi, G-Nako ametangaza ujio wa Mini Tape yake inayokwenda kwa jina la “Kitimoto” ambayo itatoka Ijumaa hii, Desemba 10, mwaka wa 2021. Mkali huyo ambaye jina lake halisi ni George Mdemu, huu unakuwa ujio wake mpya baada ya miezi tisa kupita bila ya kuachia kazi zake mwenyewe kama solo artist. […]

Read More
 HIGH SCHOOL YA HARMONIZE YAWEKA REKODI BOOMPLAY TANZANIA

HIGH SCHOOL YA HARMONIZE YAWEKA REKODI BOOMPLAY TANZANIA

Huenda mapokezi ya album ya High School kutoka kwa mwanamuziki Harmonize yalikuwa makubwa katika mtandao wa Boomplay ukilinganisha na album yake ya kwanza ya ‘Afro East’ Hili limekuja kufuatia Album hiyo kufikisha zaidi ya streams Million 10 katika mtandao wa Boomplay Tanzania ikiwa ni mwezi mmoja tangu alivyo iachia rasmi live kupitia ukurasa wake wa Instagram […]

Read More
 TRIO MIO KUTUMBUIZA KWENYE KONGAMANO LA AZIMIO LA UMOJA IJUMAA HII

TRIO MIO KUTUMBUIZA KWENYE KONGAMANO LA AZIMIO LA UMOJA IJUMAA HII

Rapa anayekuja kwa kasi nchini Trio Mio ametajwa kuwamiongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye kongamano la  Azimio la Umoja linalotarajiwa kufanyika katika uwanja wa kimataifa wa moi kasarani Ijumaa hii, Disemba 10. Rapa huyo ambaye ni mchanga kwenye tasnia ya muziki nchini amethibitisha hilo kupitia video iliyochapishwa kwenye ukurasa rasmi wa twitter wa kinara wa ODM […]

Read More
 CHIKUZEE APINGA MADAI YA KUTUMIA MADAWA YA KUJICHIBUA NGOZI

CHIKUZEE APINGA MADAI YA KUTUMIA MADAWA YA KUJICHIBUA NGOZI

Mkali wa muziki nchini Chikuzee amekanusha madai yaliyoibuliwa na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuwa ni mtumizi wa madawa ya kujichibua ngozi. Chikuzee amewajibu mashabiki hao kwa kusema kuwa utumizi ya maji masafi na kula matunda kwa wingi ndio sababu iliofanya yeye kupata mabadiliko makubwa ya Ngozi. Hata hivyo amewataka mashabiki hao kuangazia mziki anaofanya […]

Read More
 WILLY PAUL AMALIZA BIFU YAKE NA ERIC OMONDI

WILLY PAUL AMALIZA BIFU YAKE NA ERIC OMONDI

Hatimaye staa wa muziki nchini Willy Paul ametangaza kumaliza bifu yake na mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi baada ya wawili hao kurushiana maneno makali kwenye mitandao ya kijamii kwa muda. Kupitia ukurasa wake wa instagram willy paul amemtaka Eric Omondi kuwa waache matukio yasioyokuwa na msingi na badala yake waupambanie muziki wa kenya uweze kusikilizwa […]

Read More
 SAKATA LA NDOA YA MSANII KRG THE DON LACHUKUA SURA MPYA

SAKATA LA NDOA YA MSANII KRG THE DON LACHUKUA SURA MPYA

Sakata la ndoa ya msanii KRG The Don  na mkewe Linah wanjiru linaendelea kuwaka moto. Mtandao wa Nairobi gossip umeripoti kwamba, Linah Wanjiru ameorodhesha kiasi ambacho anataka alipwe na KRG The Don baada ya kuachana.  Linah amesema anahitaji kiasi cha shillingi elfu 350  za kenya kwa mwezi kwa ajili ya matunzo yaani Spousal Support. Linah […]

Read More
 WASANII UGANDA WAMTAKA BEBE COOL AMSAMEHE BLACK SKIN

WASANII UGANDA WAMTAKA BEBE COOL AMSAMEHE BLACK SKIN

Mtunzi wa nyimbo Black Skin alipelekwa katika gereza la Kitaalya Alhamisi wiki iliyopita kwa mashtaka ya kumlaghai bosi wa Gagamel, Bebe Cool. Wasanii kadhaa nchini Uganda wamejitokeza na kumtaka Bebe Cool amsamehe msanii huyo kwani wanaweza kutatua tofauti zao bila kuhusisha vyombo vya usalama. Mwanamuziki Vampino, ambaye ni rafiki wa karibu wa Black Skin ametoa […]

Read More