GIGY MONEY ADAI HARMONIZE SIO MSANII MKUBWA KWAKE

GIGY MONEY ADAI HARMONIZE SIO MSANII MKUBWA KWAKE

Video vixen kutoka nchini Tanzania ambaye anatambulika kama msanii kwa sasa Gigy Money amedai kuwa msanii Harmonize si msanii mkubwa kwake bali amemzidi na kumpita mafanikio tu. Gigy Money amefunguka hayo akijibu swali kuhusu kufanya kazi na mwanamuziki huyo kutoka KondeGang katika mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni, kwa kudai kuwa mtu hawezi badilisha mtazamo wake, kwani […]

Read More
 OTILE BROWN AMTOLEA UVIVU WILLY PAUL KISA DISS-TRACK

OTILE BROWN AMTOLEA UVIVU WILLY PAUL KISA DISS-TRACK

Msanii Otile Brown ameonekana kumtupia dongo Willy Paul baada ya kudai kuwa anafanya kiki na matukio ili kuangaziwa. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram Otile Brown amesema hatua hii inasharia kuwa kuna wasaani ambao wameingiwa na wasiwasi kutokana na msukumo wakutaka kuzungumziwa huku akisema sio sawa. Kauli ya Otile Brown inakuja mara baada […]

Read More
 GILAD MILLO APATA URAIA WA KENYA

GILAD MILLO APATA URAIA WA KENYA

Hitmaker wa Sema Milele, Msanii wa Gilad Millo hatimaye amepata uraia wa Kenya baada ya miaka 21. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Millo ameshindwa kuficha furaha yake kwa kushare Cheti chake cha kusajiliwa kama Raia wa Kenya, ambapo amedokeza kwamba alituma ombi la kutaka Uraia huo miaka 6 iliyopita. Msanii huyo amesema alikuja Nairobi mara […]

Read More
 B CLASSIC AMZIMIA KIMAPENZI BABY MAMA WA MCHEKESHAJI MULAMWAH, CAROL SONNIE

B CLASSIC AMZIMIA KIMAPENZI BABY MAMA WA MCHEKESHAJI MULAMWAH, CAROL SONNIE

Waswahili wana msemo wao mmoja huwa wanasema “Penzi ni kikohozi halijifichi” msemo huu umethibitishwa na msanii b classic baada ya kukiri hadharani anamzimia kimapenzi baby mama wa mchekeshaji, Mulamwah,aitwaye Carol Sonnie. Kupitia ukurasa wake wa Instagram B classic amefunguka na kudai kwamba ameumizwa na kitendo cha mulamwah kumkimbia msichana mrembo kama sonnie ambaye kwa mujibu […]

Read More
 TAMASHA LA KOFFI OLOMIDE KENYA LAPIGWA MARUFUKU

TAMASHA LA KOFFI OLOMIDE KENYA LAPIGWA MARUFUKU

Tamasha la mwanamuziki nyota barani Afrika Koffi Olomide lililotarajiwa kufanyika Desemba 11 jijini Nairobi, limekatishwa baada ya mwanamuziki huyo kutumbuiza nchini Rwanda. Waandalizi wa tamasha la Kenya wameahidi kurejesha pesa kamili kwa mashabiki waliopata tiketi za onyesho hilo, wakitaja sababu kadhaa za kuhairishwa kwa tamasha hilo ikiwemo kuwahi kukutwa na hatia ya ubakaji mwaka 2019.

Read More
 FRENCH MONTANA AMALIZA BIFU LAKE NA RAPA 50 CENT

FRENCH MONTANA AMALIZA BIFU LAKE NA RAPA 50 CENT

Rapa kutoka nchini Marekani French Montana ametangaza kumalizika kwa bifu yake na 50 Cent. Kwenye mahojiano na Podcast ya Drink Champs, Montana amesema bifu hiyo iliisha baada ya kutazama series ya “Black Mafia Family” ambayo inaruka kupitia Starz. Sina tatizo na 50 Cent baada ya kuachia BMF. Hii ndio series yangu bora, ndio kazie yake […]

Read More
 MARIOO KUACHIA ALBUM NA EP HIVI KARIBUNI

MARIOO KUACHIA ALBUM NA EP HIVI KARIBUNI

Hitmaker wa wimbo ‘Beer Tamu’ msanii Marioo, ameweka wazi ujio wa EP (Extended Playlist) na album yake mpya siku za hivi karibuni. Marioo ambaye ni miongoni mwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya walioliteka anga la Bongofleva ndani ya muda mfupi, ameeleza kuwa amerekodi ngoma nyingi na bado anatamani kurekodi, akidai nyingine zitaoza ndani. Hivyo […]

Read More