LIL WAYNE ASHIKILIWA NA POLISI KWA KUTAKA KUMUUA MLINZI WAKE

LIL WAYNE ASHIKILIWA NA POLISI KWA KUTAKA KUMUUA MLINZI WAKE

Idara ya polisi mjini California imeanzisha uchunguzi dhidi ya Lil Wayne kufuatia madai ya kumtishia Silaha bodyguard wake katika tukio ambalo limetokea nyumbani kwake. Kwa mujibu wa TMZ, moja ya walinzi wa rapa huyo amewaambia polisi kwamba Wayne aliingia kwenye majibizano na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake mjini Hidden Hills, California. Sababu kubwa inayotajwa ni […]

Read More
 HARMONIZE ATANGAZA UJIO WA TAMASHA LAKE MWAKANI

HARMONIZE ATANGAZA UJIO WA TAMASHA LAKE MWAKANI

Nyota wa muziki wa Bongofleva Harmonize ametangaza ujio wa tamasha lake liitwalo Afro East Carnival ambapo ameweka wazi kwamba litafanyika Februari 14 mwaka 2022. Kwenye andiko lake kupitia insta story kwenye mtandao wa Instagram, Konde Boy amesema tamasha hilo litawajumuisha wakali wa muziki Afrika Mashariki kwenye uwanja mmoja Jijini Dar Es Salaam. Hii si mara […]

Read More
 PENZI LA MULAMWAH NA BABY MAMA WAKE CAROL SONNIE LIMEFIKIA KIKOMO.

PENZI LA MULAMWAH NA BABY MAMA WAKE CAROL SONNIE LIMEFIKIA KIKOMO.

Mpenzi wa siku nyingi  wa mchekeshaji Mulamwah Carol Sonnie ametangaza kuachana na mchekeshaji huyo baada ya kupata mtoto Miezi miwili iliyopita. Kupitia ukurasa wake wa instagram  Carol Sonnie amesema amechukua maamuzi ya kuachana na mpenzi wake huyo baada ya kuafikia makubaliano ya pamoja ambapo amedai kuwa wataendelea kuwa marafiki huku wakimlea mtoto wao kama wazazi […]

Read More
 BENNIE GUNTER ADAI WASANII WANAWEZA KUFANIKIWA KIMUZIKI BILA UWEPO WA MAMENEJA.

BENNIE GUNTER ADAI WASANII WANAWEZA KUFANIKIWA KIMUZIKI BILA UWEPO WA MAMENEJA.

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Bennie Gunter amesainiwa chini ya lebo ya muziki ya Talent Africa group ambayo inasimamiwa na Aly Bhai.Msanii huyo anaamini wasanii wanaweza afikia malengo yao bila ya kuwa na uongozi ikilinganishwa na mameja ambao hawawezi kukaa kwenye biashara ya muziki bila uwepo wa wasanii. Gunter amesema wasanii wana uwezo mkubwa wa kufanikiwa […]

Read More
 NANDY AWATOLEA UVIVU WAANDAJI WA TUZO ZA AFRIMMA 2021

NANDY AWATOLEA UVIVU WAANDAJI WA TUZO ZA AFRIMMA 2021

Staa wa muziki bongofleva Nandy amefunguka ya moyoni yale aliyoyapitia nchini Nigeria alipohudhurua halfa ya tuzo za Afrima mwaka  wa 2021 zilizotolewa usiku wa Novemba 21. Akiongea na Waandishi wa habari Nandy amesema, licha ya kukosa tuzo lakini yeye pamoja na mwimbaji mwenzake kutoka Tanzania, msanii Zuchu walionyeshewa dharau na kuchukuliwa poa wa kile alichokiita […]

Read More
 WILLY PAUL AMSHAMBULIA BAHATI, ADAI ANANUNUA VIEWS YOUTUBE

WILLY PAUL AMSHAMBULIA BAHATI, ADAI ANANUNUA VIEWS YOUTUBE

Staa wa muziki nchini Willy Paul amemshambulia mke wa Bahati, Diana B kwa madai ya kununua views Youtube. Kupitia ukurasa wake wa instagram Willy Paul amemsuta vikali Diana B kwa hatua ya wimbo wake uitwao “Hatutaachana” kufikisha zaidi ya views millioni moja ndani ya siku nne kitu ambacho hakijakuwa kikifanyika kwa nyimbo za wasanii nchini. […]

Read More
 FOBY AACHIA RASMI EP YAKE MPYA “ME, MYSELF AND I

FOBY AACHIA RASMI EP YAKE MPYA “ME, MYSELF AND I

Msanii wa Bongo Fleva, Frank Fredrick maarufu kama Foby,ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Me Myself and I. Me Myself and I EP ina jumla ya ngoma 5 ambazo amezifanya kama msanii wa kujitegemea. Ep hiyo ina ngoma kama Joto, Muda, Put It Down,Nitamsea wapi  na inapatikana kwenye majukwaa yote ya kupakua […]

Read More