BUCHAMAN ATOA ONYO KWA WATOTO WA KIKE DHIDI YA UAVYAJI MIMBA
Msanii mkongwe kutoka nchini Uganda Buchaman amewaonya wasichana wadogo dhidi ya uavyaji mimba akisema maamuzi hayo ni hatari sana kwa maisha yao. Msanii huyo amewashauri wanawake kujifungua kila mara wanapopata mimba na kuchukua tahadhari za usalama zinazohitajika wakati wa uja uzito. Hitmaker huyo wa “Thank you” ametoa mfano wa jinsi mkewe Claire Naganjja almaarufu kama […]
Read More