RIHANNA ADAIWA KUWA MJAMZITO

RIHANNA ADAIWA KUWA MJAMZITO

Siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Barbados Mia Mottley kumtaja mwanamuziki Rihanna kama shujaa wa Taifa wa Barbados,  ripoti zimemtaja mwimbaji huyo ambae pia ni billionea wa kike, kuwa mjamzito.  Taarifa hiyo inaripotiwa na kuthibitishwa na verified-Twitter account ya The Academy, ikimtaja kuwa na ujauzito wa mpenzi wake rapper Rakim Athelaston Mayers maarufu kama […]

Read More
 LEO KATIKA HISTORIA DESEMBA MOSI KILA MWAKA ULIMWENGU HUADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

LEO KATIKA HISTORIA DESEMBA MOSI KILA MWAKA ULIMWENGU HUADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Siku kama ya leo Desemba mosi kila mwaka ulimwengu huadhimisha siku ya Ukimwi duniani, siku ambayo imetengwa na Umoja wa Mataifa kutafakari na kuwakumbuka wale wote waliopoteza maisha yao kutokana na ugonjwa huu. Maadhimisho ya leo  ambayo ni ya 32 yamefanyika katika maeneo mbalimbali duniani na kuambatana na semina, mikutano na warsha mbalimbali zilizohimiza juu […]

Read More
 INSTAGRAM KUONGEZA UREFU WA INSTA STORIES

INSTAGRAM KUONGEZA UREFU WA INSTA STORIES

Instagram inafanya majaribio ya kuongeza urefu wa video katika Instagram Stories. Kwa kawaida limit ya urefu wa video ni Sekunde 15, hivyo ukiweka video ya urefu wa Sekunde 60 inakatwa mara nne, kitu ambacho wengi hawapendi. Instagram imeanza majaribio ya kuongeza urefu wa video katika Insta Stories kuwa sekunde 60 (Dakika 1). 

Read More
 WHATSAPP YAONGEZA IDADI YA WATUMIAJI HADI MILLIONI 60

WHATSAPP YAONGEZA IDADI YA WATUMIAJI HADI MILLIONI 60

WhatsApp imepata kibali cha kuongeza watumiaji Milioni 40 katika service yake ya WhatsApp Pay nchini India.  Hapo awali, WhatsApp ilikuwa na kibali cha kuwa na watumiaji Milioni 20 hivyo kwa sasa ina limit ya watumiaji Milioni 60. Bado WhatsApp Pay ipo katika sehemu ya majaribio nchini Brazil na India. Ni sehemu ya mfumo ambao utawezesha […]

Read More
 WANAHARAKATI RWANDA WAPINGA TAMASHA LA KOFFI OLOMIDE

WANAHARAKATI RWANDA WAPINGA TAMASHA LA KOFFI OLOMIDE

Wanaharakati wa haki za wanawake nchini Rwanda wamelipinga tamasha la mkongwe wa Rhumba wa Congo, Koffi Olomide kwa tuhuma za ubakaji na unyanyasaji wa kingono anazokabiliwa nazo katika Mahakama za Ufaransa. Mwezi huu wa Desemba, Mahakama ya Paris nchini Ufaransa itatoa uamuzi wa rufaa iliyoombwa kwa mashtaka dhidi ya Le Grand Mopao Mokonzi ambaye alipatikana […]

Read More
 NINA ROZ ATAMANI KURUDI SHULE

NINA ROZ ATAMANI KURUDI SHULE

Staa wa muziki nchini uganda Nina Roz anaweza kuwa msanii aliyefanikiwa kutoa hits nyingi tangu aanze safari yake ya muziki, lakini bado anatamani kupata shahada kutoka chuo kikuu. Katika mahojiano na Galaxy FM, Nina Roz amefunguka na kudai  kwamba aliacha shule akiwa mwaka wa pili alipokuwa akisomea shahada ya Business Administration katika Chuo Kikuu cha […]

Read More
 CAROL NANTOGO MBIONI KUTAFUTA UONGOZI MPYA

CAROL NANTOGO MBIONI KUTAFUTA UONGOZI MPYA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Carol Nantogo anatafuta meneja ambaye yupo tayari kumsimamia kwenye kazi zake za muziki. Mrembo huyo amesema kuwa meneja wake wa sasa KT amemwaambie atafute uongozi mwingine kwa sababu ameshikaka na shughuuli zake lakini atakuwa akimsaidia wakati wowote akimhitaji. Nantogo amesema kuwa anatafuta mtu ambaye ana uelewa mpana kwenye masuala ya muziki. […]

Read More
 VANESSA MDEE AANIKA DENI ANALODAI BENKI YA STANDARD CHARTED TANZANIA

VANESSA MDEE AANIKA DENI ANALODAI BENKI YA STANDARD CHARTED TANZANIA

Staa wa muziki wa Bongofleva Vanessa Mdee,  ameanika kutomaliziwa malipo yake na benki ambayo aliifanyia kazi kama balozi. Vee Money ametumia ukurasa wake wa Twitter kueleza hilo pamoja na kuwataka wasanii na watu maarufu Afrika mashariki kutoruhusu makampuni kuwatumia kwa maslahi yao binafsi. “Artists na watu maarufu Tanzania please don’t let these corporate companies take […]

Read More
 CHIDI BENZ AWABARIKI MASHABIKI NA WA2 WANGU ALBUM

CHIDI BENZ AWABARIKI MASHABIKI NA WA2 WANGU ALBUM

Album mpya ya rapa Chidi Beenz iitwayo WA2 WANGU imetoka rasmi na sasa inapatikana kupitia majukwaa mbalimbali ya ku-stream muziki mtandaoni. Album ya WA2 WANGU yenye jumla ya nyimbo 18, ina kolabo 5 pekee, Chidi akiwapa mashavu wasanii kama Baddest, Brian Simba na wengineo kusikika kwenye album hiyo. Hata hivyo, Chidi tayari alishaachia nyimbo 6 […]

Read More