KING KAKA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA “HAPPY HOUR”
Hatimaye rapa King Kaka amekata kiu ya mashabiki zake na EP mpya inayokwenda kwa jina la Happy Hour EP. King Kaka ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye jumla ya mikwaju 11 ya moto huku ikiwa na kolabo 7 ambazo amewashirikisha wakali kama Ykee Benda, Kristoff, Wakadinali, Rich Mavoko, Amos and […]
Read More