MSWADA WA ERIC OMONDI WA KUTAKA MABADILIKO KWENYE MUZIKI WA KENYA KUWASILISHWA BUNGENI LEO

MSWADA WA ERIC OMONDI WA KUTAKA MABADILIKO KWENYE MUZIKI WA KENYA KUWASILISHWA BUNGENI LEO

Kama kuna kitu ambacho Mchekeshaji Eric Omondi anajivunia kuwa nacho ni kujiamini, baada ya jaribio lake la kwanza la kuikingia kifua muziki wa kenya kutibuka na hata kupelekea kukamatwa kwake, mchekeshaji huyo Hatimaye amewasilisha mswada bungeni kutaka muziki wa Kenya upewe hadhi. Mswada huo umepokelewa na wabunge Babu Owino wa Embakassi Mashariki na mwenzake Charles […]

Read More
 WIZKID ATAJWA KUWANIA VIPENGELE VIWILI VYA TUZO ZA GRAMMY

WIZKID ATAJWA KUWANIA VIPENGELE VIWILI VYA TUZO ZA GRAMMY

Staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid ametajwa kwenye vipengele viwili vya tuzo za Grammy mwaka wa 2022. Wizkid atawania kipengele cha Best Global Music Perfomance kupitia wimbo wake wa ‘Essence’ aliyomshirikisha Tems na pia kipengele cha Best Global Music Album kupitia album yake, Made In Lagos. Hii ni mara ya kwanza kwa Wizkid kutajwa kwenye […]

Read More
 SPOTIFY IMEONDOA MFUMO WA SHUFFLE PLAY KATIKA ALBUM.

SPOTIFY IMEONDOA MFUMO WA SHUFFLE PLAY KATIKA ALBUM.

Adele ni moja kati ya wasanii ambao wamekuwa wakipinga Streaming Platforms zinavyolazimisha kuweka button ya “Shuffle” ambayo inapiga nyimbo kuendana na Algorithm inavyopanga na sio kama nyimbo zinavyojipanga katika Album. Spotify imekubali maombi ya Adele na imetoa alama ya “Shuffle” katika button ya “Play”. Sasa hivi ukibonyesha button ya “Play” katika album yoyote utaweza kusikiliza […]

Read More
 HARMONIZE NA ALI KIBA WALAMBA DILI NONO LA UBALOZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM.

HARMONIZE NA ALI KIBA WALAMBA DILI NONO LA UBALOZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Wasanii wa Bongofleva, Alikiba na ‘Harmonize wameteuliwa kuwa mabalozi wa ‘Safisha, Pendezesha’ Dar es Salaam, ukiwa ni mkakati wa usafi na uhifadhi wa mazingira mkoani humo. Akizungumza katika hafla ya kunadhifisha jiji la Dar es Salaam,Ali Kiba amepongeza shughuli ya kuwahamisha wafanyabiashara kuhusu usafi ilivyofanyika na kuwataka wajue kwamba serikali ya Tanzania ina nia nzuri […]

Read More
 MCHUMBA WA JAMAL KHASHOGGI AMUANDIKIA BARUA JUSTIN BIEBER

MCHUMBA WA JAMAL KHASHOGGI AMUANDIKIA BARUA JUSTIN BIEBER

Mchumba wa aliyekuwa mwandishi wa habari maarufu wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi, amemwandikia barua staa wa muziki wa Pop, Justin Bieber, akimwomba kutokwenda kufanya ‘shoo’ katika taifa hilo la Kiarabu. Katika ujumbe wake kwa Bieber, Hatice aliyekwishavishwa pete na Khashoggi, amesema: “Usiende kuwaimbia watu waliohusika kumuua mpenzi wangu, Jamal” – aliandika katika barua iliyochapishwa na […]

Read More
 ANJELLA KUACHIA EP MPYA MWEZI DISEMBA MWAKA 2021

ANJELLA KUACHIA EP MPYA MWEZI DISEMBA MWAKA 2021

Nyota wa kizazi kipya ktoka lebo ya Konde Gang, msanii Anjella ametangaza rasmi ujio wa Extended Playlist (EP) yake mpya na ya kwanza tangu aanze muziki. Anjella ambaye hupenda kujiita ‘The Black Angel’ ame-share taarifa hiyo kupitia insta story yake na kusema EP itaingia sokoni Disemba 5 mwaka wa 2021 ambapo hajaweka wazi ameipa jina […]

Read More
 YKEE BENDA KUSTAAFU MUZIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 45

YKEE BENDA KUSTAAFU MUZIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 45

Bosi wa Mpaka Records, Msanii Ykee Benda, ametimiza miaka 5 katika tasnia ya muziki nchini kwa kuachia albamu ya muziki iitwayo “Kirabo”. Katika kipindi cha miaka mitano ykee benda, amefanikiwa kutoa nyimbo nyingi, ameanzisha lebo ya muziki, amefungua studio ya kurekodi audio na video pamoja na kampuni ya kutangaza biashara ya makampuni. Sasa akiwa kwenye […]

Read More
 MEJJA MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

MEJJA MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

Nyota wa muziki nchini Mejja ametangaza ujio wa album yake mpya ambayo ana mpango wa kuiachia hivi karibuni. Akiwa kwenye moja ya Interview mkali huyo wa “Siskii” amewataarifu mashabiki zake wawe tayari kwa Album hiyo ambayo ameanza kuifanyia kazi. Mejja amedai kuwa amechukua hatua ya kuiachia album hiyo kutokana na uhitaji wa mashabiki zake huku […]

Read More
 WHATSAPP IMETOA APP MPYA KWA WATUMIAJI WA WINDOWS

WHATSAPP IMETOA APP MPYA KWA WATUMIAJI WA WINDOWS

WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows. Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya sehemu mpya ya kuchora picture, kuweka texts, na emoji […]

Read More
 MAUA SAMA AFUNGUKA KUACHIA NGOMA BACK TO BACK

MAUA SAMA AFUNGUKA KUACHIA NGOMA BACK TO BACK

Baada ya kuwa na muendelezo mzuri wa kuachia ngoma back to back ambapo tayari ana mwezi mmoja tangu aachie smash hit yake ya ‘Zai’, Maua Sama ana kazi nyingine mpya ambayo ni ‘Baba Jeni’, na kupitia taarifa yake kwa umma ameeleza kwanini anaachia kazi hivyo. Msanii huyo amebainisha kuwa hiyo ni staili tu ya kutoa […]

Read More