ADELE ALETA MABADILIKO KATIKA MTANDAO WA SPOTIFY UPANDE WA ALBUM

ADELE ALETA MABADILIKO KATIKA MTANDAO WA SPOTIFY UPANDE WA ALBUM

Adele ni miongoni mwa wasanii wenye nguvu sana upande majukwaa ya kusikiliza muziki mtandaoni hasa mtandao wa Spotify. Sasa nguvu yake imepelekea mtandao huo kuondoa kipengele cha ‘Shuffle’ ambacho kilikuwepo upande wa kusikiliza album. Mtumiaji wa mtandao huo alikuwa hawezi kusikiliza nyimbo zilizopo kwenye album kwa mtiririko wa namba kama zilivyopangwa kwenye Tracklist. Kufuatia ombi […]

Read More
 WHATSAPP KUWEKA MABADILIKO KATIKA KUFICHA LAST SEEN

WHATSAPP KUWEKA MABADILIKO KATIKA KUFICHA LAST SEEN

WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts. Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote. Mabadiliko mapya ya WhatsApp yatawezesha watu kuzuia baadhi ya contacts zisionekane kwa baadhi […]

Read More
 NIKITA KERING ASHINDA TUZO AFRIMMA 2021

NIKITA KERING ASHINDA TUZO AFRIMMA 2021

Zoezi la ugawaji wa tuzo za muziki za AFRIMA (All Africa Music Awards) kwa mwaka 2021 limehitimishwa usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria katika Hoteli ya Eko. Mastaa kadhaa wameweza kujishindia tuzo hiyo kubwa ya muziki kama vile Wizkid, Eddy Kenzo, Fally Ipupa, Mr Flavour na wengineo. Kenya tumetoka kimasomaso kwenye hafla ya tuzo hizo […]

Read More
 YKEE BENDA AILILIA SERIKALI YA UGANDA KUPUNGUZA USHURU KWA HUDUMA ZA MTANDAO.

YKEE BENDA AILILIA SERIKALI YA UGANDA KUPUNGUZA USHURU KWA HUDUMA ZA MTANDAO.

Wanamuziki wa Uganda hawajaweza kuwatumbuiza mashabiki zao kwa takriban miaka miwili sasa kutokana na vikwazo vya kuzuia janga la Corona ambavyo vilipelekea kupigwa marufuku kwa mikusanyiko ya watu na matamasha ya muziki. Wasanii walilazimika kubuni njia za kupata pesa kupitia mitandaoni ya ku stream muziki, na mauzo ya albamu. Lakini mapato kutoka kwa majukwaa ya […]

Read More
 RAYVANNY ATHIBITISHA UJIO WA COLLABO YAKE NA JUSTIN BIEBER

RAYVANNY ATHIBITISHA UJIO WA COLLABO YAKE NA JUSTIN BIEBER

Habari nzuri kwa mashabiki wa muziki wa BongoFleva kutoka Tanzania ni kwamba tutarajie muda wowote ujio wa Collabo kati ya mwanamuziki rayvanny na Star wa RnB -Pop Justin Bieber. Kupitia insta story ya Rayvanny kwenye mtandao wa Instagram ameshare taarifa hiyo nzuri kwa mashabiki na wadau wa muziki nchini kwa kuthibitisha kuwa tayari wawili hao […]

Read More
 MENEJA WA MSANII ADASA ADAI MAISHA YAKE YAMO HATARINI

MENEJA WA MSANII ADASA ADAI MAISHA YAKE YAMO HATARINI

Meneja wa msanii Adasa Joss K Madala amefichua kuwa amelazimika kuandikisha tarifaa katika vituo vya polisi vya Bamburi na Nyali baada kupokea jumbe za vitisho kwa muda sasa wa miezi mitatu kupitia mitandao ya kijamii. Kwenye mahojiano na meza yetu ya habari Madala amesema kaunti takriban 7 na zingine kupitia nambari za simu zilizokuwa zimefichwa […]

Read More
 WILLY PAUL AMCHANA ERIC OMONDI

WILLY PAUL AMCHANA ERIC OMONDI

Nyota wa muziki nchini Willy Paul amemtolea uvivu mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi kwa madai ya kumlinganisha msanii wake mpya Queen P na aliyekuwa msanii wake Miss P. Kupitia instastory yake Willy Paul amemtaka Omondi akome kufuatilia maisha yake na badala yake ajishughulishe na mambo ambayo yatamuingizia kipato. Ikumbukwe juzi kati Willy Paul alimtambulisha Queen […]

Read More
 OLE GUNNAR ATIMULIWA MAN UNITED

OLE GUNNAR ATIMULIWA MAN UNITED

Hatimaye klabu ya Manchester United imefanya maamuzi ya kuachana na kocha wake Ole Gunnar Solskjaer baada ya timu hiyo kupokea kichapo cha kushtukiza cha mabao 4-1, kwenye mechi ya Ligi Kuu England iliyochezwa jana Jumamosi. Kwa mujibu wa Sky Sports, baada ya kipigo hicho cha kushtua, bodi ya Man United iliitisha kikao cha dharura kujadili […]

Read More
 KODAK BLACK ATAMANI UTAWALA WA DONALD TRUMP

KODAK BLACK ATAMANI UTAWALA WA DONALD TRUMP

Rapa Kodak Black kutoka Marekani ametaka rais wa zamani wa Marekani Donald Trump arejeshwa mamlakani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram rapa huyo ameandika ujumbe unaosomeka “Bring Trump Back” akiashairia Kwamba Ameukumbuka Utawala Wa Rais Donald Trump Kodak Black Aliachiwa huru kwa msamaha wa Rais Trump, Januari 20 mwaka huu Ambapo ilikuwa siku ya mwisho kwa […]

Read More
 ABBY CHAMZ ATUMBUIZA KWENYE MAONYESHO YA EXPO 2021 DUBAI

ABBY CHAMZ ATUMBUIZA KWENYE MAONYESHO YA EXPO 2021 DUBAI

Mwimbaji mpya wa bongo fleva Abby Champz ameendelea kupiga hatua kwenye muziki wake. Mrembo huyo ametumbuiza kwenye maonesho ya kibiashara ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Expo 2021 Dubai ambayo yalizinduliwa Oktoba 1 mwaka huu. Maonesho hayo ya kimataifa yamekuwepo katika aina mbalimbali kwa zaidi ya karne mbili, kama fursa kwa mataifa kuonyesha teknolojia mpya, […]

Read More
 SERGIO AGUERO KUSTAAFU SOKA

SERGIO AGUERO KUSTAAFU SOKA

Mshambuliaji wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, Sergio Aguero  ametangaza kustaafu soka kufuatia maradhi ya moyo. Hii ni kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa na mwandishi Gerard Romero ambaye amejikita kwenye kutoa taarifa za Klabu ya Barcelona. Maamuzi hayo tayari yameshafikiwa, klabu ya Barcelona imepewa taarifa huku ikipanga kutangaza rasmi wiki ijayo. […]

Read More
 SPOTIFY YAWEKA LYRICS KATIKA MUZIKI

SPOTIFY YAWEKA LYRICS KATIKA MUZIKI

Hatimaye, App ya Spotify imeanza kuweka Real-Time Lyrics katika Miziki kwa watumiaji wote duniani. Real-time lyrics ni uwezo wa kuona lyrics kuendana na muziki unaosikiliza. Feature hii ilikuwa inafanyiwa majaribio katika baadhi ya nchi, na Spotify imesema itaweka rasmi kwa watumiaji wote (kwa watumiaji wanaolipia na watumiaji ambao wanatumia huduma ya bure) katika apps (Android […]

Read More