INSTAGRAM KUFUNGA APP YAKE YA THREADS

INSTAGRAM KUFUNGA APP YAKE YA THREADS

Disemba mwaka huu, Instagram itafuta app ya “Threads for Instagram” ambayo ilianzishwa Mwaka 2019 ili kushindana na Snapchat. Instagram imesema mwisho wa mwaka huu itafuta app ya Threads katika App Store na Google Play Store; na itakuwa haipatikani kwa watumiaji wote ambao bado wanaitumia. Threads ni App ambayo Instagram ilianzisha ili kushindana na soko la […]

Read More
 SNOOP DOGG AACHIA ALBUM YAKE MPYA – ALGORITHM

SNOOP DOGG AACHIA ALBUM YAKE MPYA – ALGORITHM

Nguli wa muziki wa hiphop duniani Snoop Dogg ameikata kiu ya mashabiki zake, kwani tayari ameiweka sokoni Album yake mpya  inayokwenda kwa jina la ALGORITHM. Kupitia ukurasa wake wa Instagram snoop dogg Amethibitisha hilo kwa kuandika ujumbe unaosomeka ” • ALGORITHM available Now” ikiashirikiana album hiyo tayari inapatika kwenye Digital platforms zote za kupakua na […]

Read More
 BEBE COOL ATOA SOMO KWA WASANII WA UGANDA

BEBE COOL ATOA SOMO KWA WASANII WA UGANDA

Bosi wa lebo ya muziki ya Gagamel msanii Bebe Cool amewashauri wanamuziki wa Uganda kuhakikisha wanakubalika nchini kwao kwanza kabla ya kuupeleka muziki wao kimataifa. Katika mahojiano na Urban TV, Bebe Cool amesema wasanii wanapaswa kufanya kazi kwa bidii na kuteka nyonyo za Waganda kabla ya kuanza kufanya muziki unaolenga soko la kimataifa. Hitmaker huyo […]

Read More
 WANAVOKALI WAACHIA RASMI ALBUM YAO MPYA

WANAVOKALI WAACHIA RASMI ALBUM YAO MPYA

Kundi la muziki nchini Wanavokali limeachia rasmi album yao mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wao. Album hiyo iitwayo “Wanavokali the Album” ina jumla ya ngoma 11 za moto ikiwa na collabo moja ambayo waamewashirisha wasanii wa kundi la Hart the band. Wanavokali the Album ni album ya kwanza kwa Wanavokali the Album tangu […]

Read More
 KIM KARDASHIAN NA PETE DAVIDSON WALIANIKA PENZI LAO HADHARANI

KIM KARDASHIAN NA PETE DAVIDSON WALIANIKA PENZI LAO HADHARANI

Kim Kardashian na Pete Davidson wamethibitisha rasmi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi. Mtandao wa Daily Mail imethibitisha hilo kufuatia wawili hao kuonekana pamoja wakiwa wameshikana mikono kimahaba Novemba 14 mwaka huu huko  Palm Springs, California nchini Marekani. Tetesi za Kim na Pete kutoka kimapenzi zilianza baada tu ya kipindi cha SNL mwezi uliopita ambapo Kim […]

Read More
 PENZI LA SHAWN MENDES NA CAMILA CABELLO LIMEFIKIA KIKOMO.

PENZI LA SHAWN MENDES NA CAMILA CABELLO LIMEFIKIA KIKOMO.

Wanamuziki maarufu wa nyimbo za ‘Pop’ Shawn Mendes na Camila Cabello wametangaza kuachana baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka miwili. Wasanii hao wawili kutoka bara la America wametumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kutangaza uamuzi wao wa pamoja wa kusitisha uhusiano wa kimapenzi. Hata hivyo, Mendes na Camilla wamehapa kuendelea na urafiki […]

Read More
 OCTOPIZZO AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “FUEGO”

OCTOPIZZO AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “FUEGO”

Hatimaye Mkali wa muziki wa Hiphop nchini Octopizzo ameachia rasmi album yake mpya aliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki zake. Hitmaker huyo  “Motivation” amewabarki mashabiki zake na  “Fuego” album ambayo ina jumla ya nyimbo 12, ikiwa na kolabo 2 pekee kutoka kwa wakali kama Freeman na Milo Madness. Album hiyo kwa sasa inapatikana kwenye majukwaa yote ya […]

Read More