LADY MARIAM ATUHUMIWA KUKIMBIA NA PESA ZA DADAKE

LADY MARIAM ATUHUMIWA KUKIMBIA NA PESA ZA DADAKE

Msanii kutoka nchini Uganda Lady Mariam anayejulikana sana na wimbo wake maarufu uitwao “Tindatine” amerudi tena kwenye headlines. Msanii huyo anatuhumiwa na dadake mkubwa, Kirungi Swabra kwa kukimbia na pesa zake alizozichuma kwa bidii. Swabra ambaye anafanya kazi kama mjakazi katika miliki  za Kiarabu alitaka kutumia pesa hizo kununua nyumba huko Mityana nchini Uganda. Kulingana […]

Read More
 JAGUAR AKANUSHA KUMKIMBIA ERIC OMONDI WAKATI WA MAANDAMANO

JAGUAR AKANUSHA KUMKIMBIA ERIC OMONDI WAKATI WA MAANDAMANO

Mbunge wa Starehe Charles Njagua maarufu kama Jaguar amekanusha madai yanayotembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa alidinda kusimama na Eric omondi mapema wiki hii alipokuwa anawasilisha bungeni mswada wa kuleta mabadiliko kwenye muziki wa Kenya. Akizungumza na waandishi wa habari Jaguar ambaye ni mwanamuziki amesema yeye ndiye alimkingia kifua eric omondi hadi akaachiwa uhuru alipokamatwa […]

Read More
 DAVIDO AANZISHA KAMPENI YA KUCHANGIA BIRTHDAY YAKE

DAVIDO AANZISHA KAMPENI YA KUCHANGIA BIRTHDAY YAKE

Kwa kawaida, kwenye kila sherehe au matatizo, suala la michango huwa ni kigugumizi kikubwa kwa watu wengi duniani. Hii imekua tofauti kidogo kwa Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Davido ambaye amekuja na mbinu tofauti ya kupata zawadi kutoka kwa marafiki zake kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake. Davido ameamua kutumia mitandao ya kijamii […]

Read More
 FOBY AOMBA WASANII WA BONGOFLEVA WASITOE EP ZAO

FOBY AOMBA WASANII WA BONGOFLEVA WASITOE EP ZAO

Staa wa muziki wa Bongo fleva, msanii Foby ambaye yupo mbioni kuachia EP yake mpya mwezi ujao, ametoa ombi kwa wasanii wenzake kuto-achia EP zao katika kipindi cha siku 10. Foby ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa twitter, ambapo amewataka wasanii wa bongofleva wampe nafasi hiyo kwa ajili ya ku-promote na kuwapa nafasi mashabiki kuisikiliza […]

Read More
 TIP SWIZZY AMPA ZA UZO EDDY KENZO, ADAI ALIMDHULUMU KIFEDHA.

TIP SWIZZY AMPA ZA UZO EDDY KENZO, ADAI ALIMDHULUMU KIFEDHA.

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Tip Swizzy anaendelea kutupasha mpya kuhusu maisha yake chini ya lebo ya muziki  ya Big Talent Entertainment inayomilikwa na Eddy Kenzo. Tip swizzy anasema anajutia kufanya kazi lebo hiyo kwa sababu hakufaidika na muziki wake. Msanii huyo amesema Eddy kenzo alimnyanyasa kwa kumlipa malipo duni licha ya kwamba alitumbuiza kwenye matamasha […]

Read More
 FLAVIANA ATOA RAI KWA JAMII KUTOWADHIHAKI WANAWAKE WANAOPEWA TALAKA

FLAVIANA ATOA RAI KWA JAMII KUTOWADHIHAKI WANAWAKE WANAOPEWA TALAKA

Mwanamitindo wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Flaviana Matata ametoa rai kwa watu kutowadhihaki wanawake wanaopewa talaka kwani ni mengi wanayapitia mpaka kufikia uamuzi huo. Flaviana ameeleza hayo kwa kupitia mfano wa mwanamuziki Adele ambaye amefanya mahojiano hivi karibuni na Oprah na kufunguka kuhusu kutalakiwa kwake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Flaviana amesema kuwa ifike muda […]

Read More
 OCTOPIZZO KUWANIA TUZO ZA GRAMMY 2022

OCTOPIZZO KUWANIA TUZO ZA GRAMMY 2022

Habari nzuri na kubwa kwa muziki wa Kenya ni kuwa , Kwa mara ya pili  staa wa muziki nchini Octopizzo amefanikiwa kuingia kwenye hatua ya kujadiliwa yaani Consideration kwa ajili ya kuingia kuwania Tuzo za Grammy mwaka wa 2022. Kwa mujibu wa Grammy Awards Academy wamempendekeza mkali huyo kutoka Kenya katika vipengele vinne ambavyo ni […]

Read More
 KHALIGRAPH JONES AKANUSHA MADAI YA KUTUMIA MADAWA KUONGEZA MWILI WAKE

KHALIGRAPH JONES AKANUSHA MADAI YA KUTUMIA MADAWA KUONGEZA MWILI WAKE

Rapa Khaligraph Jones amekanusha madai yaliyoibuliwa na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuwa anatumia madawa  kuuweka sawa mwili wake. Hii ni baada ya rapa huyo kupost video Instagram akiwa gym huku akionekana anakunywa kinywaji  ambacho kiliwaaminisha watu kuwa anatumia madawa. Khaligraph amesema hatumii madawa kama jinsi watu wanavyodhani ila ilikuwa ni kinywaji laini cha kumuweka […]

Read More
 RAPA YOUNG DOLPH AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

RAPA YOUNG DOLPH AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Rapa kutoka marekani Young Dolph ameuawa kwa kupigwa risasi nje ya duka mjini Memphis. Rapa huyo mwenye umri wa miaka 36 ameuawa akiwa anatoka kwenye duka hilo kununua cookies. Mmiliki wa duka hilo amesema mtu mmoja alitokea na gari kisha kumchapa risasi Dolph mchana wa saa saba Novemba 17 mwaka huu wa 2021. Tovuti ya […]

Read More