FRANK LAMPARD MBIONI KUKINOA KIKOSI CHA LEICESTER CITY

FRANK LAMPARD MBIONI KUKINOA KIKOSI CHA LEICESTER CITY

Kocha wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard, anaamini amekaa nje ya kazi kwa muda mrefu, hivyo yuko tayari kurudi kabla ya msimu huu kufikia ukomo. Lampard mwenye umri wa miaka 43, ambaye aliinoa Chelsea kwa miezi 10 kabla ya kufukuzwa, alikuwa akihusishwa na Crystal Palace, Newcastle na Norwich City, kabla ya timu zote hizo kupata […]

Read More
 KANYE WEST NA DRAKE WAMALIZA BIFU YAO

KANYE WEST NA DRAKE WAMALIZA BIFU YAO

Hatimaye rapa Kanye West na Drake wamezika tofauti zao baada ya vita vya maneno iliyokuwepo kati yao. Inadaiwa kuwa drake na Kanye West walikuwa pamoja backstage kwenye show ya mchekeshaji “Dave Chapel na baadae walikula nae chakula cha usiku. Kwa mujibu wa dj wa mchekeshaji Dave, DJ Trauma kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram […]

Read More
 VIDEO VIXEN JACK CLIFF AACHIWA UHURU

VIDEO VIXEN JACK CLIFF AACHIWA UHURU

Baada ya kutumikia kifungo cha miaka zaidi ya 7 jela nchini China kwa mashtaka ya kukutwa na madawa ya kulevya video vixen na x-girlfriend wa msanii Juma jux, Jack Cliff hatimaye ameachiwa uhuru. Wawili hao wamewahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa muda kadhaa kabla ya mrembo huyo kukamatwa. Kwa mujibu wa Juma Jux baada […]

Read More
 SANAIPEI TANDE AFUNGUKA SABABU ZA KUITOSA KOLABO YA WILLY PAUL

SANAIPEI TANDE AFUNGUKA SABABU ZA KUITOSA KOLABO YA WILLY PAUL

Msanii mkongwe nchini Sanaipei Tande amefungukwa kwa mara ya kwanza sababu za kutofanya collabo na msanii Willy Paul. Hitmaker huyo wa “Najuta” amesema alidinda kufanya collabo na Willy Paul kwa sababu msanii huyo ana skendo nyingi lakini pia anapenda sana kujihusisha na masuala ya kiki kuutangaza kazi za muziki kitu ambacho anadai kwamba hakipendi kabisa. […]

Read More
 RIHANNA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA HIVI KARIBUNI

RIHANNA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA HIVI KARIBUNI

Staa wa muziki kutoka Marekani , Rihanna kwa sasa amechoshwa na maswali ya mashabiki ya ni lini ataachia Album yake mpya. Kupitia video inayosambaa kwenye mitandao ya kjamii ameonekana akirekodi bango lililoandikwa “Drop The Album Rihanna” lililokuwa kwenye kumbi moja ya starehe. Hatua hiyo imewaaminisha mashabiki kuwa rihanna yupo mbioni kukata kiu yao na album […]

Read More
 BEBE COOL AKANUSHA TUHUMA ZA KUMNYANYASA MSANII CHIPUKIZI

BEBE COOL AKANUSHA TUHUMA ZA KUMNYANYASA MSANII CHIPUKIZI

Mwezi mmoja uliopita, msanii nguli nchini uganda Bebe Cool aliachia wimbo uitwao “Gyenvudde” ambao unasimulia maisha yake kwenye muziki. Wimbo huo ambao bado haujapata mapokezi mazuri unadaiwa kwamba uliandikwa na msanii chipukizi kwa jina la black Skin. Juzi kati msanii huyo aliibuka na kudai kwamba Bebe Cool alishindwa kumlipa licha ya kumuandikia wimbo wa Gyenvudde”. […]

Read More
 ERIC OMONDI AHAPA KUREJEA BUNGENI KUIKINGIA KIFUA TASNIA YA MUZIKI NCHINI KENYA

ERIC OMONDI AHAPA KUREJEA BUNGENI KUIKINGIA KIFUA TASNIA YA MUZIKI NCHINI KENYA

Baada ya mchekeshaji Eric Omondi kukamatwa na kuachiwa uhuru akiwa kwenye harakati za kuwasilisha mswada bungeni wa kutaka asilimia 75 ya muziki wa Kenya upigwe kwenye vituo vya redio na runinga nchini, mchekeshaji huyo ameahapa kurejea tena bungeni. Katika mkao na wanahabari Omondi amesema licha ya kwamba alipata changamoto kwenye jaribio lake la kwanza kufika […]

Read More
 MARIOO AMUUNGA MKONO ERIC OMONDI

MARIOO AMUUNGA MKONO ERIC OMONDI

Kufuatia mjadala ambao anauendeleza mchekeshaji Eric Omondi akipaza sauti juu ya wasanii wa Kenya kutotendewa haki na waandaaji wa matamasha ya muziki, Staa wa muziki wa Bongofleva Marioo ameamua naye kuuvunja ukimya. Kwa asilimia mia moja Marioo ameziunga mkono harakati za Eric Omondi, ameamua kufunguka ya moyoni kwa kuisemea tasnia ya muziki Bongofleva  ambapo amedai […]

Read More
 KENDRICK LAMAR ADOKEZA KUHUSU UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

KENDRICK LAMAR ADOKEZA KUHUSU UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Mkali wa hiphop duniani Kendrick Lamar hakuwa ametumbuiza kwenye ardhi ya Marekani kwa siku 730, tamasha la Day n Vegas lililofanyika Novemba 12 mwaka huu ndio lilikuwa onesho lake la kwanza kutumbuiza katika kipindi chote hicho cha miaka miwili. Hakuondoka hivi hivi stejini, Kendrick Lamar amedokeza juu ya ujio wa album yake kwa kuwaambia mashabiki […]

Read More