TANASHA DONNA AWATOLEA UVIVU WANABLOGU WANAOENEZA UMBEA KUHUSU MAISHA YAKE

TANASHA DONNA AWATOLEA UVIVU WANABLOGU WANAOENEZA UMBEA KUHUSU MAISHA YAKE

Staa wa muziki nchini Tanasha Donna ameonyesha kusikitishwa na jinsi habari kuhusu maisha na muziki wake inavyoripotiwa. Kupitia waraka mrefu aliyochapisha kwenye mtandao wa Instagram Tanasha Donna amesema watu wamekuwa wakiangazia sana mabaya yake propaganda badala ya kumuunga mkono kwenye muziki wake. Mrembo huyo amewataka wanablogu na vyombo vya habari nchini kuwatangaza wasanii wa Kenya […]

Read More
 MR. SEED AWEKA REKODI BOOMPLAY KUPITIA BLACK CHILD ALBUM

MR. SEED AWEKA REKODI BOOMPLAY KUPITIA BLACK CHILD ALBUM

Nyota wa muziki nchini Mr. Seed anazidi kufanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni na Albamu yake ya “Black Child” ambayo tayari ina takriban miezi miwili tangu itoke rasmi. Album ya “Black Child” ambayo ndio albamu ya kwanza ya Mr. Seed tangu aanze muziki imefanikiwa kufikisha zaidi ya Streams millioni mbili kwenye mtandao wa kusikiliza na […]

Read More
 MISS P AAGIZWA KUFUTA VIDEO YA SAKATA LA WILLY PAUL KUMYANYASA KIMAPENZI

MISS P AAGIZWA KUFUTA VIDEO YA SAKATA LA WILLY PAUL KUMYANYASA KIMAPENZI

Mahakama imemuagiza msanii Miss P kufuta video zote akimtuhumu Willy Paul kuwa alimdhulumu kimapenzi kwenye mtandao wa Youtube. Kupitia nyaraka ambazo Willy Paul ameshare kwenye ukurasa wake wa Instagram mahakama imemtaka msanii huyo afute video hizo mara moja la sivyo atakabiliwa kisheria iwapo atakwenda kinyume na agizo la mahakama. Ikumbukwe mwishoni mwa mwezi Agosti mwaka […]

Read More
 BRITNEYS SPEARS APEWA UHURU WA KUMILIKI MALI ZAKE

BRITNEYS SPEARS APEWA UHURU WA KUMILIKI MALI ZAKE

Baada ya miaka 13 kupita bila kuwa na uhuru na mali zake hatimaye mwanamuziki kutoka nchini Marekani Britney Spears amepewa uhuru na mahakama Mwanamuziki huyo nguli duniani aliwekewa kizuizi cha maamuzi juu ya mali zake na baba yake mzazi Jamie Spears kupitia mahakama ya nchini humo, mnamo mwaka wa 2008 kotokana na kushindwa kujimudu kimwili […]

Read More
 CINDY SANYU ACHUKUA MAPUMZIKO MAFUPI KWENYE MUZIKI WAKE

CINDY SANYU ACHUKUA MAPUMZIKO MAFUPI KWENYE MUZIKI WAKE

Nyota wa muziki nchini Uganda Cindy Sanyu amesitisha maombi ya kutumbuiza kwenye matamasha ya jukwaani akisema kuwa hayuko katika hali nzuri ya kuwaburudisha mashabiki wake kutokana na uja uzito wake. Msanii huyo maarufu wa muziki wa dancehall amesema amekuwa akipokea simu za kimataifa kwa ajili ya kutumbuiza kwenye matamasha ya muziki  lakini amehamua kusitisha maombi […]

Read More
 NAY WA MITEGO AMTOLEA UVIVU KUSAH, ADAI MAHUSIANO YAKE YANA PROMO KUBWA KULIKO MUZIKI

NAY WA MITEGO AMTOLEA UVIVU KUSAH, ADAI MAHUSIANO YAKE YANA PROMO KUBWA KULIKO MUZIKI

Rapa kutoka nchini Tanzania Ney wa Mitego  ameeleza kuwa msanii kusah ni msanii mzuri sana ,lakini watu wanashindwaa kumzingatia kwa sababu ya mambo yake ya mahusiano. Ney wa Mitego amefunguka hayo kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram, akieleza kuwa hata yeye humsikiliza sana msanii huyo, lakini watu wanashindwa kumzingatia kwa sababu anaonekana mtu […]

Read More
 KAYUMBA AACHIA RASMI SWEET PAIN EP

KAYUMBA AACHIA RASMI SWEET PAIN EP

Msanii wa muziki  Bongofleva Kayumba ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Sweet Pain. Sweet Pain  EP ina jumla ya ngoma sita za moto na bonus track moja ambapo amewashirikisha wakali kama Nadia mukami,na Marioo EP hiyo ina nyimbo kama Bomba Remix,Mapenzi Yanauma, Baishoo,Move on, Coco na Nimegonga ambayo ni Bonus track. Sweet […]

Read More
 DAVID WONDER AFUNGUKA JUU YA UKIMYA WAKE KWENYE MUZIKI

DAVID WONDER AFUNGUKA JUU YA UKIMYA WAKE KWENYE MUZIKI

Msanii wa nyimbo za injili nchini David Wonder amefunguka kuhusu ukimya wake kwenye muziki. Akipiga stori na mpasho David Wonder amesema kwamba aliamua kuacha kila kitu na kujifirikia kwanza kama njia ya kujitibu baada ya kukumbwa na tatizo  la afya ya akili. Aidha ameenda mbali zaidi na kukiri  kutopata chochote kwenye muziki wake ikiwemo kutomiliki […]

Read More