HARMONIZE KWENYE PENZI JIPYA NA MZUNGU NCHINI MAREKANI
Huenda mwanamuziki Harmonize yupo mapenzini sasa baada ya muda kupita bila ya kuweka wazi hali ya mahusiano yake kwa sasa. Hii ni kufuatia mfululizo wa post kutokea insta story yake kwenye mtandao wa Instagram zinazo ashiria kwamba huenda kwa sasa ameangukia kwenye penzi jipya na raia wa kigeni (mzungu) huku akiwa bado yupo nchini marekani. […]
Read More