SERENA BATA AKANUSHA MADAI YA KURUDIANA NA SIPAPA

SERENA BATA AKANUSHA MADAI YA KURUDIANA NA SIPAPA

Kwa muda sasa, kumekuwa na majabizano makali kati ya sosholaiti maarufu nchini Uganda Sipapa na mpenzi wake wa zamani Serena Bata. Sipapa amekuwa akimshutumu  vikali Serena Bata  kwa kutunga nyimbo zilizomlenga moja kwa moja. Kwenye mahojiano yake wiki kadhaa zilizopita,  Sipapa alisikika akimuonya serena bata akome kumtaja kwenye nyimbo zake ambapo alienda mbali na kutishia […]

Read More
 OCTOPIZZO KUKATA KIU YA MASHABIKI NA MOTIVATION ALBUM

OCTOPIZZO KUKATA KIU YA MASHABIKI NA MOTIVATION ALBUM

Staa wa muziki wa hiphop nchini  Octopizzo ametangaza kuachia album yake mpya  inayokwenda kwa jina la “Motivation” Octopizzo ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter huku akiwawataka mashabiki zake wakae mkao wa kula kuipokea album hiyo ambayo kwa mujibu wake ipo njiani. Hitmaker huyo wa “Babylon” amesema  mashabiki wanaweza kui-pre-order kupitia majukwaa ya muziki […]

Read More
 YOUTUBE YAWEKA UWEZO WA KUFICHA DISLIKES.

YOUTUBE YAWEKA UWEZO WA KUFICHA DISLIKES.

Siku ya jana, YouTube imetangaza katika ukurasa wake wa News & Events, kuwa inaweka mabadiliko mapya ya kuficha jumla ya “Dislikes” katika video. Kwa kawaida, watazamaji wanaweza ku-Like au Dislike video, na idadi ya Likes na Dislikes imekuwa ikionekana chini ya video. Katika kuzuia ubaguzi, kuwatania Content Creators wadogo na kuzidi kuwapa moyo Content Creators, […]

Read More
 SPOTIFY KUWEKA UWEZO WA KUWA-BLOCK WATU

SPOTIFY KUWEKA UWEZO WA KUWA-BLOCK WATU

App ya Spotify kwa mara ya kwanza itaweka sehemu ya ku-block marafiki na watumiaji wa kawaida ambao sio wasanii. Spotify ilikuwa haijaweka sehemu ya ku-block mtu asiweze kuona unasikiliza nini au kufuata akaunti yako. Zamani ilikuwa kama unataka ku-block mtu, inakubidi uwasiliane na wahudumu wa wateja. Ilichukua muda sana kwa Spofity kuweka uwezo wa ku-block […]

Read More
 TANASHA DONNA AKIMBIA DENI LA SHILLINGI LAKI 8 ZA KENYA

TANASHA DONNA AKIMBIA DENI LA SHILLINGI LAKI 8 ZA KENYA

Mrembo  maarufu mitandaoni Risper Faith amemtuhumu msanii wa kike nchini Tanasha Donna kwa madai ya kukwepa kulipa deni la shillingi laki 8 baada ya kufanyiwa Upasuaji (Plastic Surgery) kwa ajili ya kutengeneza mwili wake. Kulingana na Risper Faith, licha ya kampuni ya Body by Design Kenya  kutoa huduma ya Plastic Surgery kwa Tanasha Donna, msanii […]

Read More
 FRENCH MONTANA AACHIA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA “THEY GOT AMNESIA”

FRENCH MONTANA AACHIA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA “THEY GOT AMNESIA”

Rapa kutoka Marekani French Montana, hatimaye ameachia tracklist ya album yake mpya iitwayo “They Got Amnesia” inayotarajiwa kutoka Ijumaa hii, Novemba 12. “They Got Amnesia” ina jumla ya ngoma 20 ikiwakutanisha wakali kama Rick Ross, Drake, Lil Durk, John Legend, Doja Cat ,Saweetie na wengine wengi. French Montana ambaye mzaliwa wa Rabat, Morocco alikuwa kwenye […]

Read More
 RAYVANNY KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS 2021

RAYVANNY KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS 2021

Mkurugenzi wa lebo ya Next Level Music Rayvanny ametajawa kuwa msanii pekee atayetumbuiza kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards ambazo kwa mwaka huu 2021 zitatolewa huko nchini Hungury. Kwa mara ya kwanza Rayvanny atatumbuiza kwenye jukwaa hilo la tuzo za kimataifa akiwa na msanii kutoka nchini Columbia aitwaye maluma ambaye amemshirikisha Rayvanny kwenye wimbo […]

Read More
 OTILE BROWN ADAI MBOSSO NA ZUCHU WAMEIBA MELODY YA WIMBO WAKE

OTILE BROWN ADAI MBOSSO NA ZUCHU WAMEIBA MELODY YA WIMBO WAKE

Nyota wa muziki Otile Brown ameingia kwenye headline katika mitandao ya kijamii  mara baada ya kudai kuwa Mbosso ameiiba idea ya wimbo wake na kuitumia kwenye wimbo wake mpya uitwao”For You Love” ambao amemshirikisha Zuchu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Otile Brown amedai kwamba Mbosso na Zuchu waliiba mdundo wa wimbo wake uitwao “Baby Love” […]

Read More
 OTERO EP YA NAIBOI YAWEKA REKODI BOOMPLAY

OTERO EP YA NAIBOI YAWEKA REKODI BOOMPLAY

Mkali wa muziki nchini Naiboi anazidi kufanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni na EP yake “Otero” ambayo tayari ina takriban wiki mbili tangu itoke rasmi. EP ya “Otero” ambayo ndio EP  ya kwanza kwa mtu mzima  Naiboi tangu aanze muziki imefanikiwa kufikisha  zaidi ya Streams laki moja kwenye mtandao wa kusikiliza na kupakua muziki wa […]

Read More