NOTI FLOW KUMSHTAKI MPENZI WAKE WA ZAMANI KWA TUHUMU ZA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

NOTI FLOW KUMSHTAKI MPENZI WAKE WA ZAMANI KWA TUHUMU ZA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Msanii wa kike nchini Noti flow amefungulia mashataka aliyekuwa mpenzi wake wa zamani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Noti Flow amesema licha ya kwamba alimsamehe mpenzi wake huyo, lazima sheria ichukue mkondo wake ikizingatiwa kuwa tayari alikuwa amefungua shauri mahakamani. Hitmaker huyo “Foto Moto” amesema kwamba yeye kama kielelezo […]

Read More
 LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 11,ALIZALIWA MWANASOKA WA KIMATAIFA WA UHOLANZI GEORGINO WIJNALDUM

LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 11,ALIZALIWA MWANASOKA WA KIMATAIFA WA UHOLANZI GEORGINO WIJNALDUM

Siku kama ya leo Novemba 11 mwaka wa 1990 alizaliwa mwanasoka kimataifa wa Uholanzi Georgino Wijnaldum  ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Paris Saint-Germain inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa. Jina lake halisi ni Georgino Gregion Emile na alizaliwa huko Rotterdam nchini Uholanzi ambako alianza soka mwaka wa 2007 kwenye klabu  ya Feyernood ambapo aliisaidia klabu […]

Read More
 KANYE WEST ATAKA KUMALIZA BIFU YAKE NA DRAKE

KANYE WEST ATAKA KUMALIZA BIFU YAKE NA DRAKE

Staa wa muziki Hiphop kutoka Marekani  Kanye West amejitokeza hadharani kuomba kumaliza tofauti zake na Drake. Kanye West amefikia maamuzi hayo akiwa na lengo la kumshawishi Drake aungane naye wafanye tamasha la pamoja Disemba 7 mwaka huu kwa lengo la kumsaidia Larry Hoover aachiwe huru kutoka gerezani ambapo anatumikia kifungo cha maisha tangu mwaka 1973. […]

Read More
 RAYVANY ATANGAZA UJIO WA TOUR YA MSANII WAKE MACVOICE

RAYVANY ATANGAZA UJIO WA TOUR YA MSANII WAKE MACVOICE

Msanii wa bongofleva Rayvanny ameweka wazi ujio wa tour ya kimuziki ya msanii wake MacVoice ambaye ana mwezi mmoja tangu atambulishwe rasmi kuwa chini ya lebo ya Next Level Music. Rayvanny ambaye ni boss wa Next Level Music amebainisha ujio huo kupitia Insta story yake kwenye mtandao wa Instagram kwa kuandika  ujumbe unaosomeka “Macvoice tour.. […]

Read More
 ERIC OMONDI AMVUA NGUO FEMI ONE, ADAI HANA JIPYA KWENYE TASNIA YA MUZIKI NCHINI KENYA

ERIC OMONDI AMVUA NGUO FEMI ONE, ADAI HANA JIPYA KWENYE TASNIA YA MUZIKI NCHINI KENYA

Mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi amemtolea uvivu staa wa muziki nchini Femi One hii ni baada ya mrembo huyo kumshtumu vikali kwa kauli aliyoitoa majuzi kuwa muziki wa Kenya umekufa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Omondi ameshangazwa ni wapi Femi One ametoa nguvu ya kumshambulia ikizingatiwa kuwa amezembea kwenye suala la kuachia muziki mzuri kwani […]

Read More
 RODDY RICCH KUWAFARIJI WAHANGA WA TAMASHA LA TRAVIS SCOTT

RODDY RICCH KUWAFARIJI WAHANGA WA TAMASHA LA TRAVIS SCOTT

Rapa kutoka nchini Marekani Roddy Ricch alikuwa kwenye orodha ya wasanii ambao wangetumbuiza kwenye siku ya pili ya tamasha la Astroworld Music Festival mjini Houston, sasa ametangaza kutoa pesa zake ambazo alilipwa na kwamba zitakwenda kuwafariji wafiwa na wahanga wa tukio lililotokea kwenye onesho la kwanza, Novemba 5. Tamasha hilo ambalo liliandaliwa na Travis Scott […]

Read More
 TRAVIS SCOTT NA LIVE NATION WAFUNGULIWA MASHTAKA KUFUATIA VIFO VYA MASHABIKI

TRAVIS SCOTT NA LIVE NATION WAFUNGULIWA MASHTAKA KUFUATIA VIFO VYA MASHABIKI

Travis Scott pamoja na kampuni ya Live Nation wamefunguliwa mashtaka na shabiki mmoja ambaye alijeruhiwa kwenye tamasha la Astroworld Music Festival ambalo lilipelekea pia vifo vya watu takribani 11 na wengi kujeruhiwa. Shabiki huyo ambaye alikuwa sehemu ya majeruhi amefungua mashtaka hayo akidai fidia ya ($1 million) zaidi ya shillingi millioni 111.2 za Kenya. Aidha […]

Read More
 BEBE COOL AMVUA NGUO DIAMOND PLATINUMZ, ADAI ANAISHA MAISHA YA KUIGIZA

BEBE COOL AMVUA NGUO DIAMOND PLATINUMZ, ADAI ANAISHA MAISHA YA KUIGIZA

Msanii nguli nchini Bebe Cool amezilaumu vyombo vya habari nchini uganda kwa kuzitangaza sana nyimbo za msanii wa bongofleva Diamond Platinumz kuliko nyimbo za wasanii wa nchini hiyo. Akiwa kwenye moja ya Interview Bebe Cool amesema watangazaji wa redio na runinga wamewaaminisha mashabiki wa muziki nchini uganda kuwa Diamond Platinumz ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa […]

Read More