HARMONIZE ATANGAZA UJIO WA GENGEFLEVA EP

HARMONIZE ATANGAZA UJIO WA GENGEFLEVA EP

Baada ya kuachia album yake mpya “High School” bila kuwashirikisha wasanii wa Kenya, Staa wa muziki wa Bongofleva Harmonize ametangaza ujio wa EP yake mpya iitwayo “Gengefleva”. Kupitia ukurasa wake wa instagram Harmonize amesema Ep hiyo itakuwa na jumla ya mikwaju 5 ya moto ambapo atawashirikisha wasanii wa kenya wenye vipaji bila kuangalia ukubwa wa […]

Read More
 STIVO THE SIMPLE BOY ADAIWA KUNYANYASWA NA MENEJA WAKE

STIVO THE SIMPLE BOY ADAIWA KUNYANYASWA NA MENEJA WAKE

Meneja wa msanii stivo the simple anayefamika kama Oyo ametuhumiwa kumtumia vibaya msanii huyo. Kulingana na chanzo cha karibu na Stivo the Simple Boy meneja wake huyo amekuwa akipora pesa za show zote ambazo msanii huyo amekuwa akizifanya, akitoa mfano kuwa Stivo the Simple Boy amekuwa akilipwa Elfu 70 kwa show moja lakini cha kushangaza […]

Read More
 RINGTONE ATUHUMIWA KUWATELEKEZA WATOTO WAKE

RINGTONE ATUHUMIWA KUWATELEKEZA WATOTO WAKE

Balaa linazidi kumuandama staa wa muziki nchini Ringtone, baada ya babay mama wake kujitokeza na kudai kuwa msanii huyo amewatelekeza watoto wake. Mwanamke huyo ambaye anadai ana watoto wawili na Ringtone, amesema msani huyo amegoma kabisa kutotoa pesa za huduma ya matumizi kwa watoto wake licha kumshinikiza kufanya hivyo mara kwa mara Aidha mwanamke huyo […]

Read More
 BAHATI AKANUSHA MADAI YA KUTUMIA UBUNIFU WA EDDIE BUTITA BILA RIDHAA YAKE

BAHATI AKANUSHA MADAI YA KUTUMIA UBUNIFU WA EDDIE BUTITA BILA RIDHAA YAKE

Staa wa muziki nchini Bahati hatimaye amejibu tuhuma zilizotolewa dhidi yake na mchekeshaji Eddie Butita ambaye alidai kwamba bahati aliiba wazo lake na kulitumia kwenye kipindi cha mapishi ambacho kinaendeshwa na mkewe diana marua kwenye mtandao wa Youtube. Akiwa kwenye moja ya Interview Bahati amesema hafahamu tuhuma za wizi wa haki miliki zilizoibuliwa na Butita […]

Read More
 WASANII WA KENYA WAMTOLEA POVU ZITO ERIC OMONDI

WASANII WA KENYA WAMTOLEA POVU ZITO ERIC OMONDI

Mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi amejipata pabaya mara ya baada ya wasanii wa muziki nchini kumsuta vikali kwa kauli yake aliyotoa majuzi kuwa muziki wa Kenya umekufa. Kupitia kurasa zao za instagram wasanii wa Kenya wakiongozwa na Jua Cali wameokana kukasirishwa na kauli hiyo ya Eric Omondi ambapo wamemtaka mchekeshaji huyo akome kuwavunjia heshima wa […]

Read More
 RICK ROSS KUACHIA ALBUM MPYA MWEZI DISEMBA,2021

RICK ROSS KUACHIA ALBUM MPYA MWEZI DISEMBA,2021

Mkali wa muziki wa Hiphop kutoka Marekani Rick Ross ametangaza tarehe rasmi ambayo album yake mpya itaingia sokoni. Kupitia ukurasa wake Instagram rozay amesema album yake mpya “Richer Than I Ever Been” itatoka rasmi Disemba 10 mwaka huu. Akizungumzia kuhusu jina la album hiyo ya “Richer Than I’ve Ever Been”, Rick Ross amesema kuwa wazo […]

Read More
 HARMONIZE AWATAKA MASHABIKI KUTOMPIGIA KURA KWENYE TUZO ZOZOTE

HARMONIZE AWATAKA MASHABIKI KUTOMPIGIA KURA KWENYE TUZO ZOZOTE

Staa wa muziki wa BongoFleva Harmonize  amewakata mashabiki zake kuto hangaika kupiga kura kwenye tuzo zozote. Kupitia Instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Harmonize amesema kwamba hajateuliwa kwenye tuzo zozote hivyo mashabiki zake wasipoteze bando kupiga kura. Hitmaker huyo wa “Teacher” amesema kuwa hataki kuwa miongoni mwa wasanii wanaotajwa kuwania tuzo ambazo ametajwa kuwania mwaka […]

Read More
 DESIRE LUZINDA KUTUNIKIWA TUZO YA HESHIMA NCHINI MAREKANI

DESIRE LUZINDA KUTUNIKIWA TUZO YA HESHIMA NCHINI MAREKANI

Desire luzinda ni moja ya wasanii wa kike ambao waliacha alama kwenye tasnia ya muziki nchini Uganda lakini alipata umaarufu zaidi mwaka wa 2018 wakati picha zake za utupu zilivuja mtandaoni. Lakini maisha yake yalikuja ya kabadilika baada ya kukumbatia ukristo na akahamua kuacha kabisa muziki wa kidunia na kuhamia kwenye muziki wa injili ambapo […]

Read More
 MAANDY AACHIA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

MAANDY AACHIA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa Kike nchini Maandy   hatimaye ameachia  rasmi Cover na orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Frisky” Kulingana na orodha ya nyimbo kupitia mtandao wa Instagram Maandy amethibitisha kuwa album yake ya Frisky inatarajiwa kuwa na nyimbo 12 ya moto, akiwa amewashirikisha wasanii watatu pekee ambao ni Breeder […]

Read More
 SOL GENERATION YAMSAINI BIEN WA SAUTI SOL

SOL GENERATION YAMSAINI BIEN WA SAUTI SOL

Lebo ya Sol Generation imetangaza kumsaini  msanii Bien Aime Baraza kwa mkataba wa shillingi millioni 50. Mkataba wa msanii huyo utadumu kwa kipindi cha miaka mitatu na umekuja wakati huu wasanii wa kundi la Sauti Sol wamezindua mpango wa kuachia kazi zao kama wasanii wa kujitegemea. Sauti Sol kama kundi  bado limesainiwa kwenye lebo ya […]

Read More