CHIKUZEE MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

CHIKUZEE MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

Mkali wa muziki nchini Chikuzee ametusanua kuwa album yake mpya imekamilika. Hitmaker huyo wa ngoma ya “In Love” ameweka wazi hilo kwenye moja ya Interview sambamba na kuwapa challange mashabiki wake kupendekeza jina kali ambalo atalitumia kwenye album hiyo. Hata hivyo Chikuzee hajatuambia idadi ya ngoma zitakazopatikana kwenye album hiyo wala tarehe rasmi ya album yenyewe […]

Read More
 WIZKD AANDIKA HISTORIA AFRIKA KUPITIA MADE IN LAGOS ALBUM

WIZKD AANDIKA HISTORIA AFRIKA KUPITIA MADE IN LAGOS ALBUM

Wizkid ameandika rekodi mpya kwenye muziki wa Afrika, album yake “Made In Lagos” imetajwa kuwania kipengele cha Album Bora ya Mwaka kwenye Tuzo za Soul Train Awards za nchini Marekan. Hivyo imekuwa album ya kwanza ya Kiafrika kwenye historia kutajwa kwenye kipengele hicho. Rekodi ya pili Wizkid  imeiweka kupitia wimbo wake wa  Essence ambao umekuwa […]

Read More
 WATU 11 WAFARIKI DUNIA KWENYE TAMASHA LA TRAVIS SCOTT

WATU 11 WAFARIKI DUNIA KWENYE TAMASHA LA TRAVIS SCOTT

Takribani watu 11 wanasadikika kufariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kufuatia rabsha zilizotokea wakati wa tamasha la msanii Travis Scott Astro world Fest likiendelea mjini Houston usiku wa kuamkia jana. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, imearifiwa kwamba kuna mtu mmoja miongoni mwa wahudhuriaji wa tamasha la Travis Scott alipagawa na kuanza kuwachoma watu sindano […]

Read More
 LENGO LA JAY Z KUJIUNGA NA INSTAGRAM LAWEKWA WAZI

LENGO LA JAY Z KUJIUNGA NA INSTAGRAM LAWEKWA WAZI

Lengo la Jay-Z kujiunga na mtandao wa instagram limefahamika. Deina Kirk, mwanamke ambaye anahusika na masuala ya masoko katika kampuni ya Netflix, amesema alimshauri Jay-Z ajiunge na mtandao huo kwa masaa 24 kwa ajili tu ya kuitangaza filamu yake mpya “The Harder They Fall” ambayo amehusika kama mtayarishaji. Baada ya kutikisa vichwa vya habari kwa […]

Read More
 RAPA TORY LANEZ HUENDA AKAFUNGWA MIAKA 23 JELA

RAPA TORY LANEZ HUENDA AKAFUNGWA MIAKA 23 JELA

Mwaka mmoja baada ya kukanusha mashtaka ya kumpiga risasi Megan Thee Stallion, Mwanamuziki Tory Lanez amegoma kuingia makubaliano na waendesha mashtaka kwenye shauri hilo ambalo Tory anadaiwa kumpiga risasi mbili za mguu Megan Thee Stallion mwezi Julai mwaka wa 2020. Kwa mujibu wa Rolling Stone, Tory Lanez atatakiwa kufika mahakamani Disemba 14, 2021 kutoa ushuhuda […]

Read More
 SHILOLE ATOA ANGALIZO KWA MASHABIKI ZAKE FACEBOOK

SHILOLE ATOA ANGALIZO KWA MASHABIKI ZAKE FACEBOOK

Staa wa muziki wa bongofleva Shilole amesikitishwa na watu wanaotumia akaunti fake yenye jina lake katika mtandao wa Facebook kufanya uhalifu. Kupitia ukurasa wake wa instagram Shilole amesema hajawahi waitisha mashabiki zake pesa kupitia mtandao wa facebook ambapo amewataka mashabiki kuwa makini na matapeli wanaotumia jina lake kujipatia pesa kwani ukurasa wa facebook ambao walaghai […]

Read More
 BEBE COOL ATAKA KUPAMBANISHWA KIMUZIKI NA JOSE CHAMELEONE

BEBE COOL ATAKA KUPAMBANISHWA KIMUZIKI NA JOSE CHAMELEONE

Kwa muda mrefu, mashabiki wa muziki nchini Uganda wamekuwa wakitamani pambano la muziki kati ya Jose Chameleone na Bebe Cool. Sasa akiwa kwenye moja ya Interview Bebe Cool, amerithia ombi la mashabiki la kutaka pambano la muziki kati yake na Chameleone kuandaliwa kwa kusema kwamba yupo tayari kushindana na hitmaker huyo wa “Valu valu.” Bebe […]

Read More
 ERIC OMONDI ATAJWA KUWA MSHEREHESHAJI WA TUZO ZA AEAUSA

ERIC OMONDI ATAJWA KUWA MSHEREHESHAJI WA TUZO ZA AEAUSA

Mchekeshaji Eric Omondi ambaye anafanya vizuri kupitia sanaa ya ucheshi barani Afrika kwa ujumla, ametajwa kuwa mshereheshaji (host) kwenye tuzo za burudani Afrika huko Marekani yaani Africa Entertainment Awards USA (AEAUSA) zitakazo fanyika Desemba mwaka huu. Eric Omondi atakuwa akisaidiana na mtangazaji maarufu wa runinga kutoka Nigeria, Nancy Isime. Kwenye tuzo hizo mwaka huu, eric […]

Read More
 WEEZDOM AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE YA MAPENZI

WEEZDOM AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE YA MAPENZI

Msanii wa muziki nchini Weezdom ameendelea kutoa ushuhuda wa ndani kuhusu maisha yake, amefunguka kwamba ana watoto wanne aliowapata na wanawake tofauti. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni, mkali huyo wa ngoma ya “Testify” amefunguka mengi kuhusu familia yake kwa kusema kwamba kati ya wanawake wanne aliozaa nao, wawili ni maafisa wa polisi. Weezdom ameenda […]

Read More
 NADIA MUKAMI NA MEJJA MBIONI KUACHIA COLLABO MATATA

NADIA MUKAMI NA MEJJA MBIONI KUACHIA COLLABO MATATA

Staa wa muziki nchini Nadia mukami ametangaza ujio wa ngoma yake mpya ambayo amemshirisha mkali wa muziki nchini Mejja Kupitia ukurasa wake wa instagram Nadia Mukami Amepost clip fupi kutoka kwenye wimbo wake mpya na mejja huku akiwataarifu mashabiki wake wakae mkao wa kula kuipokea ngoma yao mpya kwa jina la “Legeza” ambayo itaachiwa rasmi […]

Read More