KID LAROI AWEKA REKODI SPOTIFY KUPITIA WIMBO WA STAY

KID LAROI AWEKA REKODI SPOTIFY KUPITIA WIMBO WA STAY

Wimbo wa The Kid LAROI “Stay” alioshirikiana na Justin Bieber umeandika rekodi mpya kwenye mtandao wa Spotify kwa kufikisha streams zaidi ya Billioni moja ikiwa ni kwa haraka zaidi katika historia ya mtandao huo. Wimbo huo uliachiwa rasmi Julai 9 mwaka huu, moja kati ya singo inayopatikana kwenye mixtape yake iitwayo ‘F*ck Love’. Tayari pia […]

Read More
 BEBE COOL ASHINIKIZA KUFUNGULIWA KWA MATAMASHA YA MUZIKI UGANDA

BEBE COOL ASHINIKIZA KUFUNGULIWA KWA MATAMASHA YA MUZIKI UGANDA

Msanii mkongwe kwenye muziki Bebe Cool ameitaka serikali ya Uganda kufungua matamasha ya muziki mwezi Disemba mwaka huu. Bebe cool amesema hatua hiyo itawasaidia wasanii kupata riziki ya kuwasaidia maishani ikizingatiwa kuwa mwezi huo ndio watu wengi huandaa sherehe nyingi. Kauli ya Bebe Cool imekuja mara baada ya rais yoweri museveni kutangaza kwamba serikali yake […]

Read More
 BAHATI ALAMBA DILI NONO YA UBALOZI, HAVA CABS

BAHATI ALAMBA DILI NONO YA UBALOZI, HAVA CABS

Nyota wa muziki nchini Bahati ameingia ubia wa kufanya kazi na kampuni ya magari ya Hava Cabs inayojihusisha na uchukuzi. Bahati ametengaza habari hiyo njema kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa instagram huku akieleza kuwa ana furaha kujiunga na familia ya Hava Cabs. Hitmaker huyo wa “Pete Yangu” sasa atatakiwa kutangaza huduma za Hava […]

Read More
 KHALIGRAPH JONES AACHIA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

KHALIGRAPH JONES AACHIA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

Rapa Khaligraph Jones amewapa mashabiki wake orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya ya “Invisible Currency” (Sarafu isiyoonekana) anayoitarajia kuitoa hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa instagram ameachia tracklist ya album yake hiyo mpya ambapo ina jumla ya nyimbo 17 huku ikiwa na collabo 10 pekee. Hitmaker huyo wa “Luku” amewapa mashavu wakali kama […]

Read More
 LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 5, ALIZALIWA MKONGWE WA MUZIKI WA ROCK DUNIANI, BRYAN ADAMS.

LEO KATIKA HISTORIA NOVEMBA 5, ALIZALIWA MKONGWE WA MUZIKI WA ROCK DUNIANI, BRYAN ADAMS.

Siku kama leo Novemba 5, mwaka wa 1959 alizaliwa mwanamuziki, mwimbaji, prodyuza, mpiga gitaa, mpiga picha, mwanaharakati na mtoaji kwa jamii, raia wa Canada Bryans Guy Adams. Bryan Adams alizaliwa Kingston Ontario nchini Canada kwa wazazi kutoka Uingereza Elizabeth Watson na Caotain Conrad J. Adams waliohamia miaka ile ya 1950 wakitokea Plymouth, England. Aliibuka na […]

Read More
 HARMONIZE AIACHIA RASMI HIGH SCHOOL ALBUM

HARMONIZE AIACHIA RASMI HIGH SCHOOL ALBUM

Baada ya listening party ya album mpya ya harmonize “High School” iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenda vizuri, boss huyo wa Konde Gang, ambaye tayari ana miaka mitano tangu atoke na kutambulika rasmi kwenye muziki wa Bongo Fleva, ameichia rasmi album hiyo yenye jumla ya mikwaju  20 ya moto na collabo 6 pekee. Hitmaker huyo […]

Read More
 FRENCH MONTANA MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

FRENCH MONTANA MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

Rapa  kutoka nchini marekani French montana ametangaza kuachia album yake mpya November 12, mwaka huu French amewajuza taarifa hiyo mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema album hiyo ameipa jina la “Thet Got Amnesia” Kwa mujibu wa French Montana Album hiyo inaelezea changamoto ya kiafya ambayo aliipitia miaka miwili iliyopita ambayo ilimfanya kupoteza […]

Read More
 SPICE DIANA AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA

SPICE DIANA AWAACHA MASHABIKI NJIA PANDA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Spice Diana amekuwa akikana kuwa kwenye uhusiano wowote wa kimapenzi na meneja wake, Roger Lubega. Katika mahojiano ya hivi karibuni mrembo huyo amewaacha mashabiki zake na maswali mengi kama kweli anatoka kimapenzi na meneja wake au la. Hii ni baada ya Spice Diana kusikika akisema kwamba kwa sasa hawapo kwenye uhusiano […]

Read More
 AKOTHEE AMPA SOMO ERIC OMONDI

AKOTHEE AMPA SOMO ERIC OMONDI

Nyota wa muziki nchini Akothee amempa somo mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi. Hii ni baada ya mchekeshaji huyo kukataa kutoa mahitaji ya msingi kwa mtoto wake aliyempata na Mwanahabari Jackline Maribe hadi pale watakapofanya vipimo vya DNA. Kupitia ukurasa wa Instagram Akothee amemtaka Eric Omondi amshughulikie mtoto wake huyo badala ya kushinikiza mtoto wao huyo […]

Read More
 WILLY PAUL AWACHANA MAPROMOTA WA MUZIKI NCHINI KENYA

WILLY PAUL AWACHANA MAPROMOTA WA MUZIKI NCHINI KENYA

Staa wa muziki nchini Willy Paul amewatolea uvivu mapromota wa muziki nchini kwa madai ya kuwadhulumu wasanii wa kenya wanapowaalika wasanii wa nje kufanya matamasha ya muziki nchini. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Willy Paul ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba kuna kipindi karibu avunjwe mgongo na mabaunsa kwenye harakati za kumpokea msanii wa Tanzania […]

Read More