HARRY KANE MBIONI KUONDOKA SPURS

HARRY KANE MBIONI KUONDOKA SPURS

Imefichuka kuwa mshambuliaji wa  klabu ya Tottenham, Harry Kane, anajiandaa kuondoka zake baada ya klabu hiyo kumwajiri kocha mpya, Antonio Conte. Hayo yanasemwa huku Kane akisema Conte ni mmoja kati ya makocha bora duniani, ikiwa ni mara ya kwanza kwa mchezaji huyo kuzungumza tangu Tottenham ilipomtimua Nuno Espirito Santo. Mfungaji bora huyo wa Ligi Kuu […]

Read More
 CONTE ATANGAZWA KOCHA MPYA TOTTENHAM

CONTE ATANGAZWA KOCHA MPYA TOTTENHAM

Klabu ya Tottenham imemtangaza Antonio Conte kuwa kocha wake mpya akichukua nafasi ya Nuno Espirito Santo aliyefukuzwa kazi Novemba mosi mwaka huu. Kocha huyo wa zamani wa Klabu za Juventus, Chelsea na Inter Milan amesaini kandarasi ya miezi 18. Kocha Nuno Espirito Santo amefungashiwa virago na Klabu hiyo ya Jijini London ikiwa ni miezi minne […]

Read More
 DIAMOND AHITIMISHA TOUR YAKE NCHINI MAREKANI

DIAMOND AHITIMISHA TOUR YAKE NCHINI MAREKANI

Baada ya kuweka kambi nchini Marekani kwa takribani wiki tatu, hatimaye staa wa Muziki wa bongofleva diamond platnumz amehitimisha ziara yake nchini humo. Diamond alianza ziara yake Jijini Atlanta mnamo October 8, mwaka wa 2021 na kuhitimisha Dallas mnamo October 31, mwaka 2021. Baada ya kumalizana marekani Diamond anatarajia kuanza tour yake barani Ulaya. Hii […]

Read More
 DRAKE ANUNUA CHANUO LA GHARAMA KWA DOLA MILLIONI 1.1

DRAKE ANUNUA CHANUO LA GHARAMA KWA DOLA MILLIONI 1.1

Rapa kutoka nchini Marekani Drake ameingia kwenye headlines baada ya kununua chanuo la gharama zaidi aina ya Rolls Royce Brush kwa ajili ya kuchania nywele zake . Chanuo hilo ambalo limenakshiwa kwa Led Lights linatajwa kuwa na thamani ya zaidi ya dola million 1.1 ambazo ni zaidi ya shilling million 122 za Kenya. Hii si […]

Read More
 ZLATAN IBILE MBIONI KUWABARIKI MASHABIKI NA ALBUM MPYA

ZLATAN IBILE MBIONI KUWABARIKI MASHABIKI NA ALBUM MPYA

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Zlatan Ibile ameidondosha tracklist ya album yake mpya Resan. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo kwa kusema kuwa album yake hiyo ina jumla ya mikwaju 12 iliyowakutanisha wakali Barani Afrika kama Rayvanny , Davido , Sho Madjozi na wengine wengi. Resan album inatarajiwa kuingia sokoni rasmi Novemba 5, […]

Read More
 CLEVER J AKATA TAMAA KUFANYA KAZI NA JOSE CHAMELEONE.

CLEVER J AKATA TAMAA KUFANYA KAZI NA JOSE CHAMELEONE.

Msanii kutoka nchini Uganda Clever J hatomsamehe Jose Chameleone kwa kumpa ahadi ya uongo. Kipindi cha nyuma, Chameleone aliahidi kufanya wimbo wa pamoja na Clever J lakini hakufanikisha suala hilo. Kulingana na Clever J, aliingia studio na Chameleone lakini bosi huyo wa Leone Island alitumia muda mchache tu kwenye kipasa sauti, na kisha akaondoka huku […]

Read More
 SANAIPEI TANDE AWABARIKI MASHABIKI NA EP MPYA

SANAIPEI TANDE AWABARIKI MASHABIKI NA EP MPYA

Nyota wa muziki nchini Sanaipei Tande ameachia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Nabo. Sanaipei ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye nyimbo sita huku ikiwa na kolabo mbili ambazo amewashirikisha wakali kama Khaligraph jone na Nyanshinski. Nabo Ep ina nyimbo kama Jali akiwa amemshirikisha Nyashinski, Chukua, Nakuthamini,Kiwango akiwa amemshiriisha […]

Read More
 ERIC OMONDI AZUA GUMZO MTANDAONI, ADAI MISS P ANA UJA UZITO WAKE.

ERIC OMONDI AZUA GUMZO MTANDAONI, ADAI MISS P ANA UJA UZITO WAKE.

Mchekeshaji mashuhuri nchini Eric Omondi amezua gumzo mtandaoni baada ya kudai kuwa anatarajia mtoto pamoja na mwanamuziki Miss P. Kupitia ukurasa wake wa Instagram omondi ameshare picha inayomuonyesha Miss P akiwa mjamzito  na kumhakikishia kuwa atawajibikia mahitaji ya mtoto wao ajaye ikizingatiwa kuwa watoto ni baraka kutoka kwa Mungu. Hata hivyo watumiaji wa mitandao ya […]

Read More
 BROWN MAUZO ATAMANI VERA SIDIKA AMZALIE WATOTO WENGI ZAIDI

BROWN MAUZO ATAMANI VERA SIDIKA AMZALIE WATOTO WENGI ZAIDI

Staa wa muziki nchini Brown Mauzo amedai kwamba anataka kupata watoto wengi na mke wake Vera Sidika ambaye ni Socialite maarufu Afrika Mashariki. Kupitia ukurasa wake wa instagram Mauzo amewataka wakenya wamsaidie kumshawishi mrembo huyo ili aweze kufanikisha azimio lake la kupata watoto wengi nae. Hata hivyo watumiaji wa mitandao ya kijamii wameonekana kufarahishwa na […]

Read More
 WASANII WA KENYA WANG’ARA KWENYE TUZO ZA AEAUSA

WASANII WA KENYA WANG’ARA KWENYE TUZO ZA AEAUSA

Hatimaye mtandao wa tuzo za African Entertainment Awards USA, umetoa majina ya wateule watakaowania tuzo hizo kwa mwaka 2021, huku wasanii chipukizi trio mio na nikita kering  wakiwa miongoni mwa wanaowania tuzo hizo. Trio Mio na Nikita Kering, katika tuzo hizo wameingia kwenye kipengelea cha msanii Bora chipukizi mwaka wa 2021 ambapo atachuana na wasanii […]

Read More