AZAWI AFUNGUKA JUU YA KUKAMATWA KWAKE

AZAWI AFUNGUKA JUU YA KUKAMATWA KWAKE

Msanii wa Swangz Avenue Azawi, amekiri kukamatwa  pamoja na meneja wake kwa tuhuma za kufuja shillingi millioni 1.6 za bwenyenye mmoja nchini uganda. Katika taarifa aliyoitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram Azawi amesema kwamba alikamatwa pamoja na meneja wake kwa madai ya kutoelewana  na waandaji wa show ambayo alipaswa kutumbuiza. Lakini pia amesema amelazimika kuweka […]

Read More
 ALICIA KEYS MBIONI KUJA NA ALBUM MPYA

ALICIA KEYS MBIONI KUJA NA ALBUM MPYA

Mwanamuziki Alicia Keys kutoka nchini Marekani, hajataka kuumaliza mwaka 2021 bila kuwapa zawadi mashabiki wake. Nyota huyo ametangaza rasmi kuachia album yake mpya iitwayo “Keys”, Desemba 10 mwaka huu. Amebainisha kuwa album hiyo itakuwa na matoleo mawili (Two versions) yaani itatoka na toleo la Originals na Unlocked. Upande wa “Original” utakuwa na “Vibes laidback piano,” […]

Read More
 KRG THE DON AFUNGUKA CHANZO CHA KUACHANA NA MKE WAKE.

KRG THE DON AFUNGUKA CHANZO CHA KUACHANA NA MKE WAKE.

Mwanamuziki wa dancehall nchini Krg The Don amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya tuhuma za kutalikiana na mke wake. Kulingana na Krg waliachana na mke wake kwa sababu kuna baadhi ya watu ambao waliingilia ndoa yao na kumfanya mke wake huyo kuingia na kiburi. Mwanamuziki huyo ambaye amekuwa akijinasibu kuwa ni tajiri amesema baada […]

Read More
 MAJIRANI ATANGAZA KUACHA MUZIKI KISA KUBEZWA NA WATU.

MAJIRANI ATANGAZA KUACHA MUZIKI KISA KUBEZWA NA WATU.

Msanii wa muziki nchini Majirani ametangaza kuacha muziki rasmi baada ya kukosa support kutoka kwa wakenya. Kupitia waraka mrefu aliouchapisha kwenye mitandao yake ya kijamii majirani amesema ameahamua kuacha muziki kabisa kutokana na kubezwa na watu kipindi alikuwa anapitia magumu kwenye maisha yake. Hitmaker huyo wa “Tukumbukeko” ameenda mbali zaidi na kutasanua kuwa kwa sasa […]

Read More
 TWITTER YAWEKA UWEZO WA KUREKODI TWITTER SPACE

TWITTER YAWEKA UWEZO WA KUREKODI TWITTER SPACE

App ya Twitter imeweka sehemu mpya ya kurekodi mijadala ya Live-Audio (Twitter Spaces). Wasikilizaji watakuwa na uwezo wa kusikiliza Twitter Space baada ya Live-Audio kuisha. Twitter imesema itahifadhi file kwa muda wa siku 120, ili kuhakiki kama maudhui yake ni sahihi. Hivyo hata ukifuta, bado file litabaki Twitter ili kusaidia uchunguzi endapo kama itakuwa reported. […]

Read More
 GRAVITY OMUTUJJU AMPA ZA USO BEBE COOL,ADAI WIMBO WAKE MPYA NI FEKI.

GRAVITY OMUTUJJU AMPA ZA USO BEBE COOL,ADAI WIMBO WAKE MPYA NI FEKI.

Juzi kati mwanamuziki kutoka nchini Uganda Bebe Cool aliachia wimbo wake mpya uitwao”Gyenvudde” ambao unasimulia mafanikio yake katika tasnia ya muziki. Katika wimbo huo, ameelezea safari yake ya muziki na changamoto ambayo amekutana nayo hadi hapa alipofika. Mapokezi ya wimbo huo kutoka kwa mashabiki zake yamekuwa mazuri sana kwani wengi wamejitokeza kwenye mitandao yake ya […]

Read More
 HARMONIZE AWEKA HADHARANI TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

HARMONIZE AWEKA HADHARANI TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

Mwanamuziki wa Bongofleva na mkurugenzi wa lebo ya Konde music worldwide Harmonize ametangaza orodha ya nyimbo zitakazounda album yake ya pili, High School. Kwa mujibu wa post ya Harmonize kupitia ukurasa wake wa Instagram album hiyo itakuwa na jumla ya nyimbo 20. Hitmaker huyo wa “Teacher” amewapa mashavu wasanii wageni kama rapa Sarkodie kutoka Ghana, […]

Read More
 TANASHA DONNA MBIONI KUJA NA “THIS IS ME” EP

TANASHA DONNA MBIONI KUJA NA “THIS IS ME” EP

Nyota wa muziki nchini Tanasha Donna ametangaza kuachia EP yake mpya aliyoipa jina la “This is Me” Kupitia Instagram Live mrembo huyo ameweka wazi kuwa November 12, mwaka huu ataachia wimbo wa kwanza utakaopatikana kwenye EP yake ambayo hajaweka wazi tarehe ya kutoka ila amesema kuwa itaitwa “This is Me“. Lakini pia Tanasha amesema kuwa […]

Read More
 NAIBOI AACHIA RASMI OTERO EP

NAIBOI AACHIA RASMI OTERO EP

Mkali wa muziki nchini Naiboi ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Otero EP. Otero EP ina jumla ya ngoma tisa za moto na bonus track moja ambazo  zimetayarishwa na maprodyuza kama  Baseman 254, Hamadoo on the Beat pamoja Naiboi mwenyewe. Lakini pia hitmaker huyo wa “usipime mwanaume” amewashirikisha wakali kama nyashinski, Arrow […]

Read More
 BEBE COOL AAHAPA KUIKINGIA KIFUA FAMILIA YA BOBI WINE

BEBE COOL AAHAPA KUIKINGIA KIFUA FAMILIA YA BOBI WINE

Mwanamuziki Bebe Cool hana mahusiano mazuri na msanii mwenzake Bobi Wine, lakini katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Bebe Cool amehibitisha kwamba hawezi kumvumilia mtu yeyote atakayeitupia matusi familia ya Bobi Wine hasa mkewe na watoto wake. Hitmaker huyo wa “Wire Wire” amesema licha ya kwamba yeye na Bob wine sio marafiki wa karibu, ataikingia […]

Read More
 RAYVANNY AACHIA EP MPYA

RAYVANNY AACHIA EP MPYA

Mshindi pekee wa tuzo ya BET Tanzania na Mkurugenzi wa lebo ya Next Level Music Rayvanny ameachia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la NEW CHUI. Rayvanny ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye nyimbo sita huku ikiwa na kolabo moja tu ya Abby Chamz. Hii inakuwa EP ya pili kutoka […]

Read More