KANYE WEST AFUNGULIWA MASHTAKA JUU YA BIDHAA ZAKE ZA YEEZY

KANYE WEST AFUNGULIWA MASHTAKA JUU YA BIDHAA ZAKE ZA YEEZY

Mamlaka ya mji wa California imemshtaki Rapa Kanye West kwa kile kilichoelezwa kwamba amevunja sheria za usafirishaji wa mizigo ambapo anadaiwa kuchelewesha bidhaa za YEEZY (shipping delays) ambazo watu huagiza mtandaoni. Kanuni zinamtaka msafirishaji wa mizigo kutumia siku 30 tu kusafirisha mzigo na kumfikia mteja ndani ya siku hizo. Mamlaka ya mji huo umesema Kanye […]

Read More
 PENZI LA NOTI FLOW NA KING ALAMI LAFUFUKA TENA

PENZI LA NOTI FLOW NA KING ALAMI LAFUFUKA TENA

Waswali wanasema Penzi ni kikohozi na halifichiki msemo huo umethibitishwa na mwanamuziki Noti flow  mara baada ya kuandika ujumbe ambao umetafisiriwa na wajuzi mambo kwenye mitandao ya kijamii kuwa huenda msanii huyo amerudia na mpenzi wake mwanadada King Alami. Kupitia ukurasa wake wa instagram Noti Flow amepost picha ya King Alami akiwa amechora tattoo ya […]

Read More
 SHATTA WALE AACHIWA UHURU

SHATTA WALE AACHIWA UHURU

Staa wa muziki nchini Ghana Shatta Wale ameachiwa huru kutoka jela ikiwa ni siku chache tu tangu kukamatwa kwake. Shatta Wale alitiwa mbaroni na polisi nchini humo baada ya kusambaza taarifa zisizo za ukweli na kuzua taharuki katika jamii. Kumbuka Oktoba 19, mwaka huu zilisambaa taarifa zikidai nyota huyo ameshambuliwa kwa risasi na pengine huenda […]

Read More
 SPICE DIANA AFUNGUKA SIRI YA MUZIKI WAKE KUPENYA TANZANIA

SPICE DIANA AFUNGUKA SIRI YA MUZIKI WAKE KUPENYA TANZANIA

Mwanamuziki Spice Diana ni miongoni mwa wasanii wachache kutoka Uganda waliofanikiwa kupenya kwenye soko la muziki nchini Tanzania. Akizungumza kuhusu kufanya kazi na wasanii wa Tanzania, mrembo huyo amesema huwa hatumii pesa nyingi kwenye kolabo kwani kigezo kikubwa ambacho yeye hutumia ni kuwakodisha waongozaji wazuri wa muziki wanaopendwa na wasanii wa Tanzania. Hitmaker huyo wa […]

Read More
 KRG THE DON AONYESHA JEURI YA PESA ZAKE

KRG THE DON AONYESHA JEURI YA PESA ZAKE

Mwanamuziki wa dancehall nchini Krg The Don ameamua kutuonyesha jeuri ya pesa zake baada ya kutoa zawadi ya shilllingi laki 6 kwa kundi la Mbuzi Gang. Hitmaker huyo β€œGiddem” ametumia ukurasa wake wa instagram kujinasibu kwa kupost video akihesabu shillingi laki sita za Kenya ambazo amezitaja kuwa ni zawadi kwa wasaniii wa kundi la Mbuzi […]

Read More
 NYOTA NDOGO AKANUSHA TUHUMA ZA UCHAWI

NYOTA NDOGO AKANUSHA TUHUMA ZA UCHAWI

Msanii mkongwe nchini Nyota Ndogo amekanusha madai kuwa anatumia hirizi kuwarubuni wanaume wa kizungu na kufanikisha biashara zake nyingi. Akijibu shabiki aliyemshutumu kuwa amekuwa akiwatembelea ‘waganga’ ili awavutie wanaume maishani mwake kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nyota Ndogo amesema kuwa kwa upande wake hana imani na mambo ya kishirikina kwani anamuamini mungu kama mganga wake […]

Read More
 DAVIDO KUPIGA SHOW YA KUFA MTU O2 ARENA 2022

DAVIDO KUPIGA SHOW YA KUFA MTU O2 ARENA 2022

Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria davido ametangaza kufanya show kwenye ukumbi maarufu wa burudani duniani 02 Arena uliopo nchini Uingereza. Davido ametoa tangazo hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameweka wazi kuwa March 5,mwaka wa 2022 ndio tarehe rasmi ambayo watu takribani Elfu 20 watashuhudia show yake nchini Uingereza. Hii si mara ya […]

Read More
 SHILOLE AMVUA NGUO ALI KIBA

SHILOLE AMVUA NGUO ALI KIBA

Baada ya interview ya Ali Kiba kutrend akizungumzia sakata la kutomualika msanii mwenzake shilole katika uzinduzi wa album yake ya Only One King ,tayari mrembo huyo ameweza kumjibu Ali Kiba kupitia ukurasa wake wa Instagram. Katika maelezo yake Shilole ameonekana kutoridhishwa na kauli ya ali kiba kuwa hakumualika kwenye listening party ya album yake na […]

Read More
 MEEK MILL AIBWATUKIA LEBO YAKE,ADAI KUTOLIPWA PESA ZAKE.

MEEK MILL AIBWATUKIA LEBO YAKE,ADAI KUTOLIPWA PESA ZAKE.

Rapa kutoka nchini Marekani, Meek Mill ameamua kuichana Lebo yake kwa kile anachodai kwamba haijamlipa pesa zake zilizotokana na muziki wake kuuzwa. Kupitia mfululizo wa tweets zake  kwenye mtandao wa Twitter Meek Mill amesema hajalipwa na hafahamu ni kiasi gani cha pesa lebo yake imeingiza kutoka kwenye muziki wake ambapo ameenda  mbali zaidi na kusema […]

Read More
 EDDY KENZO ATANGAZA KUACHA MUZIKI

EDDY KENZO ATANGAZA KUACHA MUZIKI

Bosi wa lebo ya muziki Big Talent Eddy Kenzo amejiunga na orodha ya wasanii kutoka nchini Uganda wanaotaka kuacha tasnia ya muziki. Katika mahojiano yake wiki hii , Kenzo ameelezea nia yake ya kuacha kabisa biashara ya muziki na kwenda kujikita kwenye kilimo huko Masaka nchini Uganda. Eddy Kenzo, ambaye amepata mafanikio mengi kwenye muziki […]

Read More
 MALKIA KAREN NI MJAMZITO,AACHIA VIDEO KWA MARA YA KWANZA

MALKIA KAREN NI MJAMZITO,AACHIA VIDEO KWA MARA YA KWANZA

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Malkia Karen amejibu kwa vitendo tetesi za kubeba ujauzito. Karen ametumia ukurasa wake wa Instagram kupost video ambayo ni kionjo cha video ya wimbo wake mpya alioupa jina la Haina Haja huku akionekana kuwa ni mjamzito wa mimba kubwa. Kwenye kionjo cha wimbo huo Malkia Karen anasikika akimlaumu mwanume […]

Read More
 KOEMAN ATIMULIWA BARCELONA

KOEMAN ATIMULIWA BARCELONA

Hatimaye kocha Ronald Koeman amefutwa kazi ya kuendelea kukitumikia kikosi cha FC Barcelona baada ya kuwa usukani kwa miezi 14 pekee. Barca imevuna alama 15 pekee katika mechi 10 za La Liga msimu huu, ambapo tayari wamepoteza mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Ulaya. Koeman anafukuzwa akiwa kwenye nafasi ya tisa kwenye msimamo wa Ligi […]

Read More