OCTOPIZZO ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

OCTOPIZZO ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Mkali wa muziki wa hiphop nchini Octopizzo amedokeza ujio wa album yake mpya. Octopizzo ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter huku akiwawataka mashabiki zake wakae mkao wa kula kuipokea album hiyo ambayo kwa mujibu wake ipo njiani. Licha ya kutoweka maelezo zaidi kuhusu ujio wa album yake mpya, hii itakuwa ni Album ya sita […]

Read More
 KAMPUNI YA FACEBOOK YABADILISHA JINA RASMI

KAMPUNI YA FACEBOOK YABADILISHA JINA RASMI

Kampuni ya Facebook hatimaye ameamua kubadili jina la mtandao wa kijamii wa Facebook na kuwa META. Akizungumza kwenye mkutano wa kila mwaka wa kampuni hiyo, Annual Connect Conference Afisa Mtendaji Mkuu wa mtandao huo Mark Zuckerberg amesema kuwa hatua hii ni sehemu ya mabadiliko katika ruwaza yake kutoka kwenye mitandao ya kijamii na kuelekea katika […]

Read More
 DOGO RICHIE AMTIMUA MSANII WAKE

DOGO RICHIE AMTIMUA MSANII WAKE

Msaani Dogo Richie amesitisha kufanya kazi na msanii wake Ruchi Wakanda. Kwa mujibu wa taarifa, wawili hao ambao wamekuwa wakifanya kazi kwa ukaribu, kwa sasa hawaonani uso kwa uso. Dogo Richie na Ruchi kwa pamoja wamehusika katika utayarishi wa nyimbo kama Controller na Naringa naye ambayo Ruchi amemshirikisha Dogo Richie. Kulingana na chanzo cha karibu […]

Read More
 SPICE DIANA: NITAPATA MTOTO BAADA YA SHEEBAH

SPICE DIANA: NITAPATA MTOTO BAADA YA SHEEBAH

Staa wa muziki nchini Uganda Spice Diana,, alisherehekea kumbukizi yake ya kuzaliwa mwishoni mwa juma lilopita katika hoteli ya Serena kwenye hafla ya iliyohudhuriwa na wanafamilia pamoja na marafiki. Sasa akiwa kwenye moja ya interview hitmaker huyo wa body amedai kwamba hana mpango wa kuaanzisha familia hivi karibuni, ikizingatiwa kuwa hakuna wakati maalum wa kuolewa […]

Read More
 RAY C ACHUKIZWA NA KITENDO CHA DIAMOND KUZOMEWA MAREKANI

RAY C ACHUKIZWA NA KITENDO CHA DIAMOND KUZOMEWA MAREKANI

Mara baada ya kuwepo kwa kile kinachoonekana ni kubezana kwa watu waliokaribu na Diamond Platnumz na Harmonize kufuatia show za wasanii hao nchini Marekani, Mkongwe wa Bongofleva, Ray C ametaja huo kama Ulimbukeni. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Ray C amesema kwamba kumbeza harmonize na diamond kutokana shows zao za nchini marekani sio sawa kwani […]

Read More
 AKOTHEE AWAPA SOMO WAZAZI

AKOTHEE AWAPA SOMO WAZAZI

Rais wa singles mothers nchini Esther Akoth maarufu kama Akothee amewaonya wazazi kukoma kuwatumia watu mashuhuri kama daraja la kulea watoto wao. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Akothee ameweka wazi kuwa mastaa hawatengenezi majina au chapa zao ili kuwa mfano wa kuigwa katika jamii. Hit maker huyo wa ‘Kula Ngoma’ ameongeza kuwa baadhi ya vijana […]

Read More
 NBA YOUNGBOY AACHIWA HURU KWA DHAMANA

NBA YOUNGBOY AACHIWA HURU KWA DHAMANA

Baada ya takribani miezi saba kusota rumande, hatimaye rapper NBA YoungBoy ametoka jela kwa dhamana ya shillingi millioni 55.6 baada ya jaji wa Louisiana kumpa dhamana. Rapper huyo ameripotiwa kuachiliwa huru kabla ya kifungo kuisha kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na tabia nzuri aliyoionesha. Hata hivyo kwa sasa yupo kwenye kifungo cha nyumbani […]

Read More
 WINNIE NWAGI AWEKA REKODI INSTAGRAM

WINNIE NWAGI AWEKA REKODI INSTAGRAM

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Winnie Nwagi amefikisha zaidi ya followers millioni moja kwenye mtandao wa instagram. Winnie Nwagi ambaye juzi kati aliweka wazi mpango wa kuacha muziki kutokana na skendo hakuficha furaha yake ya kuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao huo kwani ametumia ukurasa wake wa instagram kuwapa shavu mashabiki wake kwa kumpa support kwenye […]

Read More
 BOW BOW AJIKUTA AKIWA BABA WA WATOTO WAWILI

BOW BOW AJIKUTA AKIWA BABA WA WATOTO WAWILI

Rapa kutoka Marekani Bow Wow amekuwa akijiita Baba wa mtoto mmoja kwa kipindi cha miaka 10 ambayo amekuwa na binti yake Shai Moss. Hivi karibuni alikuwa akikataa maswali ya kuwa na mtoto mwingine, kupitia ukurasa wake wa twitter, aliwahi kukanusha kwa kusema ana mtoto mmoja tu. Kwa mujibu wa mitandao mbali mbali, Bow Wow alikuwa […]

Read More
 MWANAMKE MMOJA AJITOKEZA NA KUDAI KWAMBA NI MTOTO WA DMX

MWANAMKE MMOJA AJITOKEZA NA KUDAI KWAMBA NI MTOTO WA DMX

Vita ya urithi wa mali kwenye familia ya DMX inaendelea kushika kasi, wiki hii amejitokeza mwanamke mmoja na kudai kwamba ni mtoto wa marehemu DMX, hivyo kufanya namba ya watoto wake kufikia 15. Kwa mujibu wa Page Six, wiki kadhaa zilizopita mwanamke huyo aitwaye Raven Barmer-Simmons alimtafuta mtoto mkubwa wa DMX na kumwambia kwamba yeye […]

Read More
 NANDY KUFUNGA MWAKA NA SHOWS ZAIDI YA 15

NANDY KUFUNGA MWAKA NA SHOWS ZAIDI YA 15

Staa wa Bongofleva, Nandy ameweka wazi ratiba ya show zake katika kuufunga mwaka 2021 ambapo anatarajia kufanya show zaidi ya 15 ndani ya nje ya nchi. Show za kimataifa atazifanya Nairobi, Kenya, Lagos, Nigeria, Dubai na Afrika Kusini. Hatua hiyo ya Nandy inakuja baada ya hivi karibuni kutaanza ziara yake ya kimuziki nchini Marekani kuanza […]

Read More
 WASANII WA P-UNIT WATIA NIA YA KUGOMBEA UONGOZI MWAKA 2022

WASANII WA P-UNIT WATIA NIA YA KUGOMBEA UONGOZI MWAKA 2022

Wasanii wanaounda kundi la P-Unit, Frasha na Gabu wametia nia ya kugombea nyadhifa za uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Wawili hao wametangaza kuwa watawania viti vya uwakilisha wadi. Francis Aamisi maarufu kama Frasha amesema atasimama kiti cha uwakilisha wadi huko Athi River huku Gabriel Kagundu maarufu kama Gabu akiwania kiti cha uwakilishi […]

Read More