WIMBO MPYA WA MEJJA WAFUTWA YOUTUBE

WIMBO MPYA WA MEJJA WAFUTWA YOUTUBE

Staa wa muziki nchini Mejja amepata pigo nyingine mara baada ya video ya wimbo wake mpya uitwao Maisha tiki kufutwa kwenye mtandao wa youtube. Video ya wimbo huo umeondolewa kwenye mtandao huo siku chache baada ya mejja kuweka wazi kwamba kuna mtu amewasilisha lalama ya hakimili dhidi ya wimbo wake huo kwa uongozi wa youtube. […]

Read More
 OLE GUNNAR BADO YUPO MAN UNITED LICHA KIPIGO CHA 5-0

OLE GUNNAR BADO YUPO MAN UNITED LICHA KIPIGO CHA 5-0

Kocha wa klabu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kuendelea kuifundisha klabu hiyo licha ya tetesi za kutimuliwa kushamiri huku Antonio Conte akihusishwa kumrithi. Haya yote yanajiri baada ya kipigo walichokipokea Man Utd juzi Jumapili kutoka kwa Liverpool cha mabao 5-0, dimbani Old Trafford. Ripoti mpya kutoka Sky Sports, inaelezwa kuwa, Uongozi unatarajia kujikita […]

Read More
 JACK HARLOW ATANGAZA KUWASAINISHA WANAWAKE MKATABA KABLA YA KUTOKA NAO

JACK HARLOW ATANGAZA KUWASAINISHA WANAWAKE MKATABA KABLA YA KUTOKA NAO

Rapa kutoka nchini Marekani Jack Harlow ameweka wazi kwamba ataanza kuwasainisha Wanawake mikataba maalum ya makubaliano kabla ya kuingia penzini. Akizungumza na Jarida la GQ, Jack Harlow amesema itabidi mwanamke asaini makubaliano hayo (Non-disclosure agreement) kwa ajili ya kutoanika mtandaoni kitu chochote ambacho kitafanyika baina yao wakiwa kwenye mahusiano. Jambo kama la ujumbe mfupi wa […]

Read More
 20 PERCENT AMJIBU HARMONIZE

20 PERCENT AMJIBU HARMONIZE

Hatimaye ahadi ya Harmonize ya kuingia studio na kufanya kolabo na 20 percent pindi tu akitua Tanzania kutoka nchini Marekani imepokelewa kwa mikono miwili na mkali huyo wa zamani. 20 Percent ametumia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram kumjibu Harmonize kuwa “Promise is like a debt”  kwa maana yupo tayari hivyo Harmonize atimize alichokiahidi. […]

Read More
 NAIBOI ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA OTERO EP

NAIBOI ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA OTERO EP

Mkali wa muziki nchini Naiboi ametoa taarifa muhimu kwa mashabiki zake kuhusiana na ujio wa EP yake iitwayo Otero EP. Akipiga stori na pulse Naiboi amethibitisha EP yake mpya Otero itatoka rasmi Oktoba mwaka huu ikiwa na jumla ya mikwaju kumi ya moto. Awali EP hiyo ilikuwa itoke Oktoba 8 mwaka huu, lakini ilishindikana kutokana […]

Read More
 MAANDY AKANUSHA KUTOKA KIMAPENZI NA BREEDER LW.

MAANDY AKANUSHA KUTOKA KIMAPENZI NA BREEDER LW.

Msanii wa muziki nchini Maandy amekanusha kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na rapa Breeder Lw. Akiwa kwenye moja ya interview Maandy amesema haoni shida yeyote rapa huyo akimzimia kimahusiano ila hawezi chumbiana naye kwani mitindo yao ya maishi ni tofauti. Hata hivyo hitmaker huyo wa Sirudi Home amewataka mashabiki kutofuatilia sana maisha yake ya mahusiano […]

Read More
 KRG THE DON AFUNGUA SHAURI LA TALAKA MAHAKAMANI

KRG THE DON AFUNGUA SHAURI LA TALAKA MAHAKAMANI

Msanii wa muziki wa dancehall nchini KRG The Don amefungua shauri la talaka mahakamani dhidi ya mke wake Linah Wanjiru, shauri hilo limefunguliwa katika Mahakama ya Milimani Jijini Nairobi. KRG ameweka wazi hilo kupitia instagram page yake baada ya kupost  nyaraka za kisheria kuhusiana na mchakato wa talaka na kusindikiza na caption inayosomeka “kwa wale […]

Read More
 BUCHAMAN ATOA WITO KWA SERIKALI YA UGANDA KUMLIPIA KODI

BUCHAMAN ATOA WITO KWA SERIKALI YA UGANDA KUMLIPIA KODI

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Buchaman alifurushwa nyumbani kwake mapema wiki iliyopita kutokana na malimbikizi ya kodi ya zaidi ya miezi sita. Kutokana na hilo Mwanamuziki huyo kwa sasa ametoa wito kwa serikali ya uganda kumnusuru kwani hana matumaini kama atapata pesa za kulipa kodi bila usaidizi wa serikali. Buchaman ameenda mbali zaidi na kusema  kuwa […]

Read More
 HARMONIZE ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

HARMONIZE ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva Harmonize hatimaye ameiweka wazi tarehe ya kuiachia album yake mpya iitwayo “High School”. Album hiyo ambayo ilipaswa itoke mwezi huu wa haitotoka kutokana na sababu mbalimbali hivyo imesogezwa mbele hadi Novemba 5 mwaka huu. Hii ni habari njema kwa mashabiki wa mkali huyo wa “Teacher” ambao wanaisubiri “High School album” kwa hamu […]

Read More