GLORIA MULIRO AFUNGA NDOA NA PASTA EVANS SABWAMI.

GLORIA MULIRO AFUNGA NDOA NA PASTA EVANS SABWAMI.

Msanii wa nyimbo za injili nchini Gloria  Muliro amefunga  rasmi ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Evans Sabwami kwenye hafla ya siri iliyohudhuriwa na wanafamilia huko New York chini Marekani. Hii imekuja wiki chache zilizopita baada ya kumvisha pete mchumba wake Evans Sabwami ambapo walienda mbali zaidi na kufunga ndoa ya kitamaduni maarufu kama […]

Read More
 EDY SHEERAN AINASA COVID-19

EDY SHEERAN AINASA COVID-19

Mwanamuziki kutoka nchini Uingereza Edy Sheeran ametangaza kunasa virusi vya Covid-19 ikiwa ni siku chache zimebaki kabla ya kuachia Album yake ya nne inayokwenda kwa jina la Equals Edy Sheeran ametoa taarifa hiyo kupitia ukursa wake wa Instagram ambapo ameandika “Ndugu zangu ningependa kuwajuza kuwa nimepimwa na kukutwa na Covid-191. Kwa hiyo kwa sasa nimejitenga […]

Read More
 BEKA FLAVOUR: SIENDEKEZI UTIMU KWENYE MUZIKI WANGU

BEKA FLAVOUR: SIENDEKEZI UTIMU KWENYE MUZIKI WANGU

Mwanamuziki wa Bongofleva, Beka Flavour amedai haweza kujihushisha na timu yoyote katika muziki huo ili kunufaika na mashabiki wa timu fulani kwani yeye anatengenezea kazi nzuri ambazo anajua zinaweza kupendwa na wote. Beka Flavour amesema anafanya muziki mzuri kwa ajili ya mashabiki wake ambao wapo naye kwa ajili ya ubora wa kazi zao na sio […]

Read More
 BAHATI APEWA TUZO BOOMPLAY

BAHATI APEWA TUZO BOOMPLAY

Nyota wa muziki nchini Bahati ametunukiwa tuzo ya silver Plaque na mtandao wa kupakua na kusikiliza muziki wa boomplay Kenya. Hii ni baada hitmaker huyo wa “Pete yangu” kufikisha zaidi ya streams millioni 8 kupitia nyimbo zake zote zilizopakiwa kwenye mtandao  huo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram bahati amewashukuru mashabiki zake kwa kuendelea kufuatilia kazi […]

Read More
 KESI YA CARDI B KUWASHUSHIA KICHAPO WAHUDUMU WA CLUB KUSIKILIZWA LEO

KESI YA CARDI B KUWASHUSHIA KICHAPO WAHUDUMU WA CLUB KUSIKILIZWA LEO

Rapa kutoka Marekani Cardi B  yuko hatarini kufungwa miaka minne  jela kufuatia mashtaka mawili yanayomkabili,ya kuwapiga na kuwafanyia fujo wahudumu wawili wa club iitwayo Angels-Strip-Club Mwaka 2018 Cardi B alikamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa makosa hayo mawili lakini mwaka wa 2019 alikanusha kwenye mahakama kuu ya queens akiwa kizimbani kwa kumwambia hakimu kuwa hana hatia […]

Read More
 WEASEL AFUNGUKA KWA MARA KWANZA KUHUSU KUMPIGA MFANYIKAZI WAKE WA NYUMBANI

WEASEL AFUNGUKA KWA MARA KWANZA KUHUSU KUMPIGA MFANYIKAZI WAKE WA NYUMBANI

Mwanamuziki kutoka Uganda Douglas Mayanja maarufu kama Weasel Manizo kwa mara ya kwanza amefunguka juu ya kile kilichotokea kati yake na mfanyikazi wake wa nyumbani ambaye aliripotiwa kupigwa na msanii huyo. Akiwa kwenye moja ya Interview, Weasel amekanusha kumshushia kichapo mfanyikazi wake wa nyumbani huku akisema kwamba alisikia uvumi huo kutoka kwa vyombo vya habari […]

Read More
 KHALIGRAPH JONES AGOMA KUTOA MATUMIZI KWA MTOTO WAKE

KHALIGRAPH JONES AGOMA KUTOA MATUMIZI KWA MTOTO WAKE

Aliyekuwa mpenzi wa msanii Khaligraph Jones,Cashy ameshambulia mwanamuziki huyo akidai kuwa amhudumii mtoto wake wa kiume aliyezaa naye mwaka wa 2018 pindi tu walipoachana. Cashy ameshukuru kufunguliwa kwa nchi ambapo amesema kuwa itakuwa afueni kwa wasanii kupata angalau matamasha ya kuwaingizia pesa kwani wengi wao walikuwa wanategemea matamasha kupata riziki. Kutokana na hilo amesema Papa […]

Read More
 “CRYPTO” WALLET MPYA YA FACEBOOK YAANZA KUFANYA KAZI

“CRYPTO” WALLET MPYA YA FACEBOOK YAANZA KUFANYA KAZI

Baada ya Facebook kusumbuliwa na fedha ya kidigitali ya Libra, iliamua kuipa jina la “Diem” na kuwekeza katika kutengeneza Wallet ya Novi ambayo itatumika kutuma na kupokea fedha na itaunganishwa na crypto, metaverse, mfumo wa matangazo, na apps za Instagram, Facebook na WhatsApp ambapo watumiaji wataweza kutuma na kupokea fedha bure kwa urahisi. Kwa sasa […]

Read More
 KALIFAH AGANAGA ADAI MUSEVENI AMESHINDWA KUTIMIZA AHADI YA KUMFADHILI KIMASOMO

KALIFAH AGANAGA ADAI MUSEVENI AMESHINDWA KUTIMIZA AHADI YA KUMFADHILI KIMASOMO

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Kalifah Aganaga amefichua kuwa Rais Museveni ameshindwa kutimiza ahadi yake aliyotoa ya kumfadhili kusomea kozi ya uhandisi wa sauti nchini Marekani. Akiwa kwenye moja ya interview, Hitmaker huyo wa “Kiboko” amesema kwamba Museveni alikubali kumfadhili kimasomo nje ya nchi walipokutana katika Ikulu ya rais mwaka wa 2020 ila kwa watu wake […]

Read More
 CHRIS BROWN AMUUNGA MKONO KYRIE IRVING KUKATAA KUCHANJWA

CHRIS BROWN AMUUNGA MKONO KYRIE IRVING KUKATAA KUCHANJWA

Chris Brown amemuunga mkono mcheza Kikapu Kyrie Irving ambaye amegoma kuchanjwa chanjo ya COVID-19. Kupitia Insta Stories yake kwenye mtandao wa Instagram Chris Brown amesema ana simama na nyota huyo wa Brooklyn Nets na kumuita shujaa wa ukweli. Kyrie Irving anaendelea kuvigusa vichwa vya habari duniani kwa kuigomea chanjo ya COVID-19 ambayo imefanywa kuwa lazima […]

Read More
 DR. DRE AFIKISHIWA NYARAKA ZA TALAKA AKIWA MAKABURINI.

DR. DRE AFIKISHIWA NYARAKA ZA TALAKA AKIWA MAKABURINI.

Sakata la kuvunjika kwa ndoa ya mtayarishaji mkongwe Dr. Dre bado linashika vichwa vya habari duniani, Sasa jipya limeibuka ambapo tovuti ya TMZ imeripoti kwamba Dre amefikishiwa nyaraka za kisheria kuhusiana na mchakato wa talaka, lakini amefikishiwa nyaraka hizo akiwa makaburini. Tunaambiwa Dr. Dre alikuwa akimzika Bibi yake ndipo mtu mmoja alipofika na karatasi hizo […]

Read More