MARIOO MBIONI KUJA NA “I’AM MARIOO TOUR”

MARIOO MBIONI KUJA NA “I’AM MARIOO TOUR”

Hitmaker wa Beer Tamu, Marioo ametangaza ujio wa tour yake nchini Tanzania aliyoipa jina la “I’am Marioo tour.” Marioo ameweka wazi ujio wa tour yake hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiwaachia mashabiki swali kupendekeza ni mkoa gani nchini Tanzania ambao asiache kukanyaga kwenye tour yake hiyo. Pamoja na kuweka wazi ujio wa tour […]

Read More
 WILLY PAUL AHIRISHA TENA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

WILLY PAUL AHIRISHA TENA TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Staa wa muziki nchini Willy Paul ametangaza hataachia album yake mpya iitwayo “The African Experience” kama ilivyokuwa imepangwa. Kupitia ukurasa wake wa instagram Willy Paul amesema hatua ya kuahirisha kutoka kwa album hiyo ni fursa nzuri kwake kujiandaa vilivyo na kuwapa mashabiki wake kazi nzuri. Hata hivyo, bosi huyo wa Saldido records hajasema album hiyo […]

Read More
 BROWN MAUZO AACHIA RASMI V ALBUM

BROWN MAUZO AACHIA RASMI V ALBUM

Mwanamuziki kutoka Kenya Brown Mauzo ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la V. V album imebeba jumla ya mikwaju 12 ya moto huku ikiwa na kolabo 5 pekee. Brown Mauzo amewashirikisha wasanii mbali mbali kama Masauti, Baraka the Prince,Ndovu Kuu, Mwasi, na Kaa La Moto. Kupitia ukurasa wake wa Instagram mauzo amesema ameachia […]

Read More
 CATHERINE KUSASIRA AFUNGUKA SABABU ZA KUUZA GARI LAKE

CATHERINE KUSASIRA AFUNGUKA SABABU ZA KUUZA GARI LAKE

Mwanamuziki Catherine Kusasira aliuza gari lake aina ya Toyota Land cruiser V8 ambalo alizawadiwa na rais Yoweri Museveni. Inadaiwa kuwa mwanamama huyo aliuza gari lake kwa sababu alikuwa anaandamwa na madeni. Sasa akiwa kwenye moja ya interview Catherine Kusasira amejitokeza na kukanusha madai kuwa aliuza gari lake kutokana na madeni. Hitmaker huyo “I love you” […]

Read More
 JUMA NATURE ATHIBITISHA KUKAMILIKA KWA ALBUM YAKE MPYA

JUMA NATURE ATHIBITISHA KUKAMILIKA KWA ALBUM YAKE MPYA

Msanii mkongwe wa Bongofleva, Juma Nature amesema anajiandaa kuachia albamu yake mpya ambayo imekamilika. Nature amesema anachokifanya kwa sasa ni kutayarisha video kadhaa za nyimbo zinazopatikana kwenye albamu hiyo kabla ya kuingia sokoni hivi karibuni. Hata hivyo Sir Nature hajatuambia jina la album, idadi nyimbo na wasanii aliyowashirikisha kwenye album yake hiyo ila ni jambo […]

Read More
 PENZI LA WEEZDOM NA MYLEE STAICEY LAVUNJIKA RASMI

PENZI LA WEEZDOM NA MYLEE STAICEY LAVUNJIKA RASMI

Msanii Weezdom  hatimaye amethibitisha kuwa yeye na  mpenzi wake wa siku nyingi Mylee Staicey sio wapenzi tena. Katika kikao cha Maswali na Majibu kwenye mtandao wa Instagram, shabiki mmoja alimuuliza msanii huyo kama bado ni wapenzi na  Mylee Staicey na ndipo  alipoweka wazi kuwa waliachana zamani. Kutokana na hilo kama ulikuwa unadhani penzi la weezdom […]

Read More
 KENDRICK LAMAR MBIONI KUKATA KIU YA MASHABIKI ZAKE

KENDRICK LAMAR MBIONI KUKATA KIU YA MASHABIKI ZAKE

Mkali wa michano kutoka Marekani Kendrick Lamar anaweza kudondosha album yake mpya kesho Ijumaa. Hii imekuja kufuatia kuvuja kwa ngoma iitwayo “Therapy Session 9” lakini pia mabadiliko ya picha ya Kendrick Lamar kwenye mtandao wa Spotify. Ni miaka minne tangu Kendrick Lamar asikike kwa upana kwenye masikio ya mashabiki zake kupitia album yake ya mwisho […]

Read More
 INSTAGRAM KUWEKA SEHEMU YA KUPOST KATIKA TOVUTI YAKE

INSTAGRAM KUWEKA SEHEMU YA KUPOST KATIKA TOVUTI YAKE

Mtandao wa Instagram unatarajiwa kuweka uwezo wa kupost kwa kutumia tovuti ya Instagram katika kompyuta. Watumiaji wa kompyuta watakuwa na uwezo wa ku-upload videos na picha katika akaunti za Instagram kwa kupitia website ya Instagram. Hii ni feature ambayo watu wengi sana wanaihitaji hasa Account Managers na watu ambao wanatumia kompyuta katika shughuli mbalimbali. Badala […]

Read More
 WILLY PAUL ATOA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

WILLY PAUL ATOA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA

Staa wa muziki nchini Willy Paul amewapa mashabiki wake orodha nzima ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya  “The African Experience”. “The African Experience” ina jumla ya nyimbo 17, ikiwa na kolabo 5 pekee kutoka kwa wakali kama Juma Jux, Eddy Kenzo,Daphne,Fik Fameica na wengine. Hitmaker huyo wa “Lenga” anatarajiwa kuiachia album hiyo wakati wowote […]

Read More