ESSENCE YA WIZKID YAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI

ESSENCE YA WIZKID YAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI

Ngoma ya Wizkid akiwa amemshiriki Tems, Essence imefanikiwa kufikisha kiwango cha mauzo ya platinum nchini Marekani. Essence imefanikiwa kuuza jumla ya nakala milioni 1 katika nchini hiyo tangu kuachiwa kwake Oktoba 29, mwaka wa 2020. Lakini pia wimbo huo ulifikisha mauzo ya Gold Septemba 2, mwaka wa 2021 kwa kuuza jumla ya nakala laki 5 […]

Read More
 DIAMOND ATAJWA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC 2021

DIAMOND ATAJWA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC 2021

Majina ya mastaa mbalimbali yametajwa kuwania tuzo za  Mtv Europe Music mwaka wa 2021 ambazo zitafanyika nchini Hungury mwishoni mwa mwaka huu. Kwenye orodha hiyo staa wa muziki kutoka Tanzania diamond platnumz ndiye msanii anayeiwakilisha Afrika Mashariki na kati. Diamond Platnumz ametajwa kwenye kipengele cha Best African Act ambapo atachuana na wakali wengine kutoka Afrika […]

Read More
 KAMPUNI YA FACEBOOK KUBADILI JINA LA BRAND YAKE

KAMPUNI YA FACEBOOK KUBADILI JINA LA BRAND YAKE

Baada ya miaka 17 ya kuwepo kwa brand kubwa ya mitandao ya kijamii; Facebook inapanga kubadilisha brand na jina lake mwisho wa mwezi huu. Tetesi zilizovuja mtandaoni zinasema kwamba Mark Zuckerberg atatambulisha jina jipya la kampuni ya Facebook Oktoba 28 katika mkutano wa Annual Connect Conference 2021. Malengo mapya ya Facebook ni kuingia katika teknolojia […]

Read More
 BURNA BOY ATAKA BANGI IRUHUSIWE NIGERIA, ADAI HAINA MADHARA

BURNA BOY ATAKA BANGI IRUHUSIWE NIGERIA, ADAI HAINA MADHARA

Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy amesema kwamba ni vyema sheria ikaruhusu matumizi ya bangi nchini humo kwani haina madhara kama ambavyo wengi wanasema. Akihojiwa kwenye kipindi cha ‘Home Grown Radio’ jijini Los Angeles, Burna ameeleza kwamba watu wengi wanatumia bangi lakini hawataki kutangaza hadharini lakini kiukweli hamna madhara mabaya yoyote mtu akitumia. […]

Read More
 SHATTA WALE ATIWA MBARONI KWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO

SHATTA WALE ATIWA MBARONI KWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA UONGO

Jeshi la Polisi nchini Ghana limemtia mbaroni mwanamuziki Shatta Wale kwa madai ya kusambaza taarifa zisizo za ukweli kiasi cha kuzua hofu na taharuki kwa jamii. Oktoba 19 mwaka huu zilienea taarifa zikidai kuwa mwanamuziki huyo amepigwa risasi mitaa ya East Legon, nchini Ghana. Mtu wa karibu na rapa huyo alienda mbali zaidi na kusema […]

Read More
 ZARI AVUNJA UKIMYA TAARIFA ZA KUOLEWA

ZARI AVUNJA UKIMYA TAARIFA ZA KUOLEWA

Mrembo Zari The Bosslady amewataka mashabiki wake kupuuzia taarifa zinazodai kuwa ameolewa. Zari ambaye ni baby mama wa msanii wa BongoFleva amesema picha hizo zinazodaiwa ni za ndoa yake, zimetoka kwenye kuandaa video ya msanii chipukizi wa muziki wa Injili. Utakumbuka mwaka wa 2020 ilisemekana kuwa Zari pia ameolewa na mwanaume aitwaye ‘King Bae’ lakini […]

Read More
 CARDI B AJIWEKA PEMBENI NA MAMBO YA SIASA, ATAJA CHANZO

CARDI B AJIWEKA PEMBENI NA MAMBO YA SIASA, ATAJA CHANZO

Rapa Cardi B alikuwa anapaza sauti yake kwenye mijadala mbali mbali ya siasa za nchini Marekani, lakini kuna muda alikuwa hasikiki tena na watu kuanza kujiuliza maswali. Akijibu swali hilo ambalo aliulizwa na shabiki mmoja kupitia ukurasa wake wa Twitter, Cardi B amesema aliamua kukaa kimya kutokana na kunyanyaswa na kambi ya chama cha Republican […]

Read More
 LAVA LAVA ATANGAZA UJIO MPYA,OKTOBA 23

LAVA LAVA ATANGAZA UJIO MPYA,OKTOBA 23

Msanii wa bongofleva kutoka WCB, Lava Lava ametangaza kuja na project mpya, Oktoba 23, mwaka wa 2021. Lava Lava ambaye hivi karibuni amefuta picha zake zote kwenye ukurasa wake wa Instagram, amechapicha ujumbe kuhashiria Oktoba 23, mwaka huu atakuwa na kitu. Ikumbukwe mwimbaji huyo ambaye mwaka huu ameachia  EP iitwayo ‘Promise’, tayari alitangaza kukamilika kwa […]

Read More
 ANGELINA ATANGAZA KUACHA MUZIKI

ANGELINA ATANGAZA KUACHA MUZIKI

Nyota wa muziki nchini uganda Angelina amedokeza mpango wa kuachana kabisa na masuala ya muziki. Angelina ameweka wazi hayo kupitia ukurasa wake wa twitter ambapo amesema ataacha muziki mwaka wa 2022 baada ya kuachia project yake ya mwisho ambayo amekuwa akiifanyia kazi kwa muda. Kulingana na mrembo huyo baada ya kuacha muziki ataelekeza nguvu zake […]

Read More
 HAPPY C AMPA ZA USO WILLY PAUL KWA KUKOSA UBUNIFU

HAPPY C AMPA ZA USO WILLY PAUL KWA KUKOSA UBUNIFU

Mkali wa muziki nchini Happy Chondo maarufu kama Happy C kutoka lebo ya 001 Music amemtolea uvivu staa wa muziki nchini Willy Paul kwa madai ya kukosa ubunifu kwenye uandishi wa nyimbo zake. Happy C ametoa kauli hiyo kupitia insta story kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya Willy Paul kuachia wimbo wake mpya uitwao […]

Read More