Afande Sele Afunga Ndoa na Mpenzi wake wa Muda Mrefu

Afande Sele Afunga Ndoa na Mpenzi wake wa Muda Mrefu

Msanii mkongwe wa Bongofleva Seleman Msindi, maarufu kama Afande Sele, ameanza ukurasa mpya maishani baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake Wema Raphael Makongoro jana, Desemba 6, 2025, katika hafla iliyofanyika mkoani Morogoro. Ndoa hiyo imefungwa kiserikali mbele ya Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Hilary Sagara, na kuhudhuriwa na ndugu, wasanii, marafiki wa karibu […]

Read More
 Afande Sele apinga ujio wa kocha mpya Simba

Afande Sele apinga ujio wa kocha mpya Simba

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Seleman Msindi maarufu ‘Afande Sele’ amezijia juu Klabu za Simba na Yanga kwa kuzitaja kama makaburi ya Soka la Bongo. Afande Sele ametumia ukurasa wake wa Instagram akieleza kwenye andiko lake ambapo akizilaumu Simba na Yanga kwa kusema zimekua zikiua Soka la Tanzania na akaenda mbali zadi kwa kutoa […]

Read More