AKOTHEE AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA
Mwanamuziki maarufu nchini Akothee ameachia rasmi Album yake mpya inayokwenda kwa jina la Sibuor Madhako. Sibuor Madhako Album ina jumla ya ngoma 8 za moto ambazo amewashirikisha wakali kama Tony Nyadundo na Kamanu. Album hiyo ina nyimbo kama Siponsa, Expensive Baby, Mpenzi, Nisimamie, Abebo, Dende Nyom, Nkoro Nditu na Mapenzi Chonyi. Akizungumza kwenye uzinduzi wa […]
Read More