AKOTHEE AWAKOSOA WANAWAKE WASIOWAPOSTI WAPENZI WAO MTANDONI

AKOTHEE AWAKOSOA WANAWAKE WASIOWAPOSTI WAPENZI WAO MTANDONI

Mwanamuziki asiyeishiwa na vituko kila leo nchini Akothee amezua ngumzo mtandaoni mara baada ya kudai kwamba wanawake wengi ambao hawaposti wapenzi wao kwenye mitandao ya kijamii wapo kwenye mahusiano mengine. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram Akothee amesema wanawake sampuli hiyo wanashiriki vitendo vya usaliti kwa kutoka kimapenzi na wanaume tofauti ambao mara […]

Read More
 AKOTHEE ADOKEZA MPANGO KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE MPYA

AKOTHEE ADOKEZA MPANGO KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE MPYA

Mwimbaji na mjasiriamali maarufu nchini, Akothee anayafurahia sana mahusiano yake mapya na hivi karibuni huenda tukashuhudia akifunga ndoa na mpenzi wake mzungu. Siku chache tu baada ya kumtambulisha mpenzi wake mpya, mama huyo wa watoto watano sasa amebainisha kuwa baada ya kuhangaika miaka mingi akitafuta mapenzi, hatimaye amempata mwenzi wa maisha. “Sikujua kijiji changu kingeweza […]

Read More
 AKOTHEE AKANUSHA KUSHIRIKI BIASHARA YA ULANGUZI WA BINADAMU

AKOTHEE AKANUSHA KUSHIRIKI BIASHARA YA ULANGUZI WA BINADAMU

Staa wa muziki nchini Akothee amekanusha vikali tuhuma za kujihusisha na biashara ya ulanguzi wa binadamu. Hii ni baada ya walimwengu kwenye mitandao kuibua madai kuwa anamiliki kampuni inayosajili watoto wa kike nchini na kisha kuwatafutia kazi kwenye nchi za miliki ya kiarabu. Kupitia mfululizo wa Instastory mama huyo wa watoto 5 amepuzilia mbali madai […]

Read More
 AKOTHEE AWAPA SOMO WANAUME MTANDAONI

AKOTHEE AWAPA SOMO WANAUME MTANDAONI

Staa wa muziki nchini Akothee amewataka wanaume kuacha kumtumia jumbe tamu za kimahaba kwenye mitandao kwa nia ya kumtongoza. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mama huyo wa watoto watano ameweka wazi kuwa hawezi kuanguka kwenye mtego wa mapenzi ya mitandaoni kwa kuwa anapendelea kukutana na mtu ana kwa ana. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Sweet […]

Read More
 AKOTHEE MBIONI KUFUNGUA SHULE YA WATOTO WENYE UHITAJI KATIKA JAMII

AKOTHEE MBIONI KUFUNGUA SHULE YA WATOTO WENYE UHITAJI KATIKA JAMII

Msanii na mfanyabiashara maarufu nchini Akothee, ametangaza kuwa anajenga shule ambayo watoto wanaotoka katika familia maskini wataweza kusoma bila malipo. Akothee ameweka wazi taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema kuwa alitoa ekari 7 za ardhi kupitia wakfu wake, Akothee Foundation kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo aliyoipa jina la Akothee Foundation […]

Read More
 AKOTHEE AFUNGUKA NAMNA TUHUMA ZA ILLUMINATI ZILIVYOATHIRI BINTI YAKE KIMASOMO.

AKOTHEE AFUNGUKA NAMNA TUHUMA ZA ILLUMINATI ZILIVYOATHIRI BINTI YAKE KIMASOMO.

Mwanamuziki asiyeishiwa na matukio kila leo Esther Akoth maarufu Akothee amefunguka sababu zilizompelekea binti yake Prudence Otieno aka Fancy Makadia kusomea shule mbali mbali nchini. Kulingana na mwimbaji huyo Fancy alituhumiwa kuwa ni mshirika dhehebu la kishetani la illuminati akiwa shule ya upili ya wasichana ya Ulanda jambo ambalo lilimlazimu kumhamisha kwenye shule ghali zaidi […]

Read More
 AKOTHEE AWEKA WAZI KIASI CHA PESA ANAYOTOZA KWA SHOW MOJA

AKOTHEE AWEKA WAZI KIASI CHA PESA ANAYOTOZA KWA SHOW MOJA

Msanii nyota Akothee ameamua kutaja kiasi cha pesa anacholipisha kwa show zake  iwapo utahitaji kufanya kazi nae. Katika mahojiano yake hivi karibuni Akothee ametangaza kuongeza pesa anazozilipisha kwa show moja kutoka shillingi millioni 1.5 hadi 2.3 za Kenya. Akothee ambaye anafanya vizuri na album yake mpya iitwayo Akothee the lioness amesema amechukua hatua hiyo kutokana na bidii anayoweka kila siku kwenye shughuli […]

Read More
 PENZI LA AKOTHEE NA NELLY OAKS LAFIKIA KIKOMO

PENZI LA AKOTHEE NA NELLY OAKS LAFIKIA KIKOMO

Mwanamuziki na mfanyibiashara maarufu nchini Akothee amewaacha wafuasi wake na maswali mengi baada ya kukiri hadharani kuchoshwa na mapenzi. Kupitia ukarasa wake Instagram Akothee amethibitisha kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu Nelly Oaks huku akisema kwamba hatoweka wazi sababu za kuachana na mpenzi wake huyo . Msanii huyo amesema kwa sasa ameelekeza nguvu zake […]

Read More
 AKOTHEE AZINDUA RASMI KITABU CHAKE

AKOTHEE AZINDUA RASMI KITABU CHAKE

Mwanamuziki na mfanyibiashara maarufu nchini, Akothee amezindua rasmi kitabu chake ambacho amekipa jina la “Akothee Quotes”. Akothee Ametumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kuthibitisha Hilo ambapo amesema kwamba kitabu hicho kinaelezea namna ya kufanikiwa kwenye maisha katika nyanja mbalimbali. Kwenye kitabu hicho ambacho kinapatikana kwenye maduka kadhaa ya kuuza vitabu nchini, Akothee amesimulia kuhusu maisha yake […]

Read More